ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mwanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya afukuzwa nchini Benin akidaiwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo

    Serikali ya Benin imemshutumu balozi wa Umoja wa Ulaya Oliver Nette kuhusika na harakati za kutaka kuipindua serikali, baada ya kumuamuru kuondoka katika taifa hilo la Afrika Magharibi ifikapo Desemba mosi. Msemaji wa serikali Alain Orounla aliwaambia waandishi habari kwamba ushirikiano kati...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wadau wa clouds Fm njia panda: Jembe Ulaya alimalizaje?

    Wiki iliyopita nilimsikiliza mchezaji nyota wa Yanga hapo zamani. Alihojiwa mambo mengi na kuahidi kuhitimisha jumapili hii. Sijapata muda wa kusikiliza kipindi Leo. Je kamalizaje? Aliomba msaada gani kama ilivyo kwa wana njia panda wengi? Kama naweza kutoa msaada nipm nimsaidie pia mchezaji...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali kukodi ndege ya mizigo kupeleka maua, samaki nje

    Serikali imesema itakodi ndege kupeleka matunda na mbogamboga nje ya nchi kutoka katika viwanja vya ndege vya Songwe na Mwanza, wakati huu ikijiandaa kununua ndege ya mizigo kwa kazi hiyo. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe alisema hayo wakati akijibu swali la nyongeza la...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

    Wadau mimi nahitaji kwenda Ulaya kutafuta maisha, nauli ninayo hivyo naombeni ushauri kwa anaefahamu nchi gani in Europe ina urahisi wa kupata kazi yoyote pia urahisi wa visa pia mahali pa kufikia? Wadau naombeni msaada wenu kwa anaefahamu.
Back
Top Bottom