Serikali imesema itakodi ndege kupeleka matunda na mbogamboga nje ya nchi kutoka katika viwanja vya ndege vya Songwe na Mwanza, wakati huu ikijiandaa kununua ndege ya mizigo kwa kazi hiyo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe alisema hayo wakati akijibu swali la nyongeza la...