ukweni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    Ndugu wajitafakari wanapotaka kutembelea watoto wao wenye familia

    Ni meshindwa kuweka kichwa cha habari vizuri ila mtaelewa kuhusu mada hii. Kijana anapoingia kujitafuta na mwenzake pande hizo mbili mnageuza studio p funk majani kila mtu kuja ijalishi mwenzenu ana vyumba vingapi. Kuna kijana hapa bodaboda ana chumba kimoja yani katembelewa na mama mkwe ,dada...
  2. M

    Ukweni hawanitaki, wanasema nimempa dawa kijana wao. Nifanye nini?

    Habari wana jf, Mimi ni binti wa miaka 26 na nipo kwenye mahusiano na Tunatarajia ndoa ila Ukweni wanaweka pingamizi sana na sijawahi fanya chochote kibaya na wala sina mazoe na wakwe zangu ila chakushangaza mama mkwe Anamuuliza Kijana wake "Hivi Bado upo na yule mwanamke tu kwani amekupa...
  3. Donnie Charlie

    Ajikuta polisi baada ya kwenda ukweni mikono mitupu

    Awali kabla ya kwenda ukweni kwake walikubaliana na baba wa bibi harusi mtarajiwa kuwa watakwenda na ng’ombe na mbuzi. Lakni aliwasili ukweni bila kuwa na mifugo hiyo. Uganda. Mzee Samuel Maikut (6O) amejikuta mikononi mwa polisi baada ya kwenda kwenye sherehe ya utambulisho na kutoa mahari...
  4. Magical power

    Nimepata aibu kubwa ukweni

    AIBU Kama kawaida mzee wa visa nakuletea kisa kingine iki apa twende sawa. Dada naomba nipeleke huko kwa wamama kuna aibu imenipata nilikuwa ukweni yani nilienda kwa mara ya kwanza na nilifika usiku nikapewa chumba nililala peke yangu sasa usiku nikabanwa na haja kubwa na chooni sipajui na...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Ukishaoa au kuolewa Ukweni panakuwa Kwenu

    UKISHAOA AU KUOLEWA UKWENI PANAKUWA KWENU, Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Kwenu(ulipozaliwa) sio kwako. Weka Akilini. Kwako patageuka "kwenu" ya watoto wako. Ukiwa kijana ambaye hujaoa na unaishi kwenye na unaakili unatambua kabisa hapo unapoishi kwa wazazi wako sio Kwako bali ni kwenu na...
  6. Jemima Mrembo

    Rose Mhando achumbiwa, atambulishwa ukweni Kahama

    ROSE MUHANDO ACHUMBIWA NA KUTAMBULISHWA UKWENI KAHAMA. Wiki hii imekuwa wiki ya baraka kwa Malkia wa nyimbo za Injili Tanzania, Rose Muhando baada ya kwenda kutambulishwa ukweni Kahama kwa ndugu wa mchumba wake. Kama wanavyoonekana pichani Rose Muhando akiwa na mawifi zake na mwanaume wa...
  7. Zee la madawa

    Ajinyonga kisa kukosa nauli ya kwenda ukweni.

    Kijana William Bahati (20) Mkazi wa Kijiji cha Kashero Wilayani Mbogwe Mkoani Geita amefariki Dunia kwa kujinyonga na kamba ya kufungia mbuzi huku sababu zikitajwa kuwa ni kukosekana kwa nauli ya kwenda ukweni kumzika Baba Mkwe wake. Akiongea kuhusu tukio hilo Mke wa Marehemu, Grace Jeremiah...
  8. Ngurukia

    Unaweza kukubali kuadhibiwa endapo umekosea ukweni/mkeo?

  9. Chizi Maarifa

    Bro hafai kabisa. Ukweni wamechoka sana. Hawana hamu

    Last three years bro alikuwa anaenda kutoa mahari kwa kabila moja huko Kanda ya Kaskazini. Ni bro wangu wa damu kabisa baada ya yeye ndo mimi. Hivyo tukachukuana kwenye usafiri hao mpaka huko. Mimi, bro, uncle, rafiki na mshenga tuliambiwa tungempata kule kule. Tukaenda Ukweni. Siku ya kwanza...
  10. mdukuzi

    Nilienda ukweni wakidhani sijui lugha yao wakaanza kuniteta, nikaamua kumuacha binti yao

    Kabisa letu niliite kabila X linadharauliwa sana na kabila Y. Sasa nilipata binti wa kabila Y akaniambia kabla ya yote niende kwao kumsalimia mama yake. Nilienda na nikajitambulisha jina na kabila langu, wakaanza kuniteta wajomba na mashangazi kwa lugha yao! Yalikuwa masimango mabaya nikamtosa...
  11. Kiranja Mkuu

    Mke wangu alibakwa na baba yake mdogo aliyekuwa anamlea akiwa na miaka 13, leo ukweni akataka arudie tena!

    Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili. Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua. Uzuri wife akawa amefaulu...
  12. tpaul

    Ajinyonga ukweni baada ya kunyimwa mke

    Mwanaume mmoja ambaye jina lake halijafahamika amejinyonga na kufariki dunia ukweni kwake baada ya juhudi za kupatanisha na mke wake kugonga mwamba. Mwanaume huyo alikuwa amekwenda ukweni kwake Kijiji cha Kolondo Mashariki mwa Homa Bay, ambapo inaelezwa lengo lake ilikuwa ni kumrudisha mke wake...
  13. Komeo Lachuma

    Nimewashangaza sana ukweni kwa dada. Hawakutegemea haya kwa kweli

    Nashukuru sana nyumbani kwao Shemeji yangu wamenikubali wanasema mimi Jembe. Ile tarehe 22 usiku niliona home wana heka heka sana. Wanapanga nguo, wakawa wananituma vitu kununua n.k Kumbe asubuhi wananifanyia sapraiz. Wakaniamsha saa 10 alfajili na kuniambia nijiandae tunaenda...
  14. 666 chata

    Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

    Sio mpenzi wa jf na hafagilii mitandao mitandao hii so hakuna noma. Mwamba huyu alikutana na demu wa kishua yaan kishua haswa, mwana ni un employee kwa sasa, kama ujuavyo mjini maisha ni gharama na mapenzi ni gharama haswa, sasa hakujua kama huyu binti ni wakishua yaan mama baba tajiri ni zali...
  15. Kusini pride

    Tayari nimetoa mahari ukweni

    Saludo senora y senor Wakuu sio kwamba naongea kujisifu au kuwalinganishia? Hapana la hasha nataka niwamotivate vijana wa ki leo au wa kisasa kuhusu suala la kuoa wakuu! Kwanza nishukuru hili jukwaa hili la MMU kuweza kupata mke wangu kipenzi miss A kiukweli wakuu kwa hapa nilipofikia hauwezi...
  16. mzaza

    Hivi mwanaume unaweza kutenga siku kadhaa za likizo ukazitumia ukweni?

    Habari zenu wanajamvi, Ni miaka 8 sasa tangu nioane na mke wangu na tuna watoto watatu. Kwa ufupi tunaishi kwa amani sana. Tumejiwekea utaratibu kila mwisho wa mwaka huwa nachukua likizo na tunaenda na familia kijijini kwetu. Mwaka huu amenikazia amesema inabidi twende nyumban kwao katika...
  17. Rabonn

    Almanusura brother kunyimwa mke ukweni

    Habari zenu wadau, mambo vipi? Moja kwa moja kwenye mada. Juzi kati nikiwa katika harakati zangu za kuzunguka sana mikoani kuuza maneno (marketing) kulingana na nature ya kazi nayofanya ili mradi tu nipate wateja (sales) wa kunipatia mkate wa kila siku nikajikuta niko Iringa mjini. Hapa mimi...
  18. J

    Tukio gani umewahi kufanya ukweni na hutokuja kulisahau?

    Mwenzenu nimewahi kukaa ukweni zaidi ya miezi nane, nikiwa na ujauzito wa miezi mitatu mpaka nikajifungua, nilikuja kuondoka mtoto anamiezi mitatu. Katika muda wote huo niliwahi kufanya tukio ambalo najutia sana ingawa lilitokea kwa bahati mbaya tu. Mume wangu alinikataza kitu fulani nikakubali...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Nimekuta wamenimalizia vitafunwa ukweni!

    Anaandika, Robert Heriel Sitaki matusi, hata Mimi najua kutukana Sana tuu! Kila mtu na maisha yake. Kwanza Niko na hasira Kama Simba mwenye njaa. Taikon niliwahi kuleta uzi humu 👉👉 Nimesikitishwa sana! Kumbe mama mkwe kaweka CCTV camera kwenye nyumba aliyotupa Wakwe zangu wakaniambia Mimi na...
  20. M

    Nilidanganya umri ukweni sasa penzi limekolea nachomokaje?

    Nilikutana na huyu binti mwaka jana akiwa mmbichi kabisa, kutokana na muonekano wangu hakuwahi kuniuliza umri. ila nimempita miaka 15. Kuna siku akanipa simu niongee na mama yake, mama mtu akaanza kuniuliza maswali mengi sana nikayapangua, alivyouliza umri nikapunguza miaka kumi. Sasa naona...
Back
Top Bottom