Nimewashangaza sana ukweni kwa dada. Hawakutegemea haya kwa kweli

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,365
11,520
Nashukuru sana nyumbani kwao Shemeji yangu wamenikubali wanasema mimi Jembe.

Ile tarehe 22 usiku niliona home wana heka heka sana. Wanapanga nguo, wakawa wananituma vitu kununua n.k

Kumbe asubuhi wananifanyia sapraiz. Wakaniamsha saa 10 alfajili na kuniambia nijiandae tunaenda Kilimanjaro.daaah nlishituka sana kwa furaha maana ilikuwa bonge la sapraiz.

Nikachukua tu suruali zangu mbili nikavaa ndani nlitanguliza pensi mbili. Nikavaa na tshirts mbili na shati juu yake.

Tukaenda kilimanjaro. Ile gari ni mpya wanaita tako la nyani. So ikawa tukifika sehemu wanaenda kula mimi wananicha nalinda gari linanguruma.shem yeye hapendi kuzima zima gari.

Wananiletea chapati na soda.tunaendelea na safari.tulifika kilimanjaro ukweni jioni sana. Wakawa wao na watoto wao wameenda ndani wakaniachia kamanda wao ku shusha mizigo na kupeleka ndani. Walikuwa wamechoka sana...mimi wala hata sikuwa na uchofu nikabebelea nikapeleka ndani.

Sasa wakawa wanazungumuza kuwa mbona mimi sijashusha bag langu... Nikatabasamu tu moyoni nikasema hawanijui hawa. Mimi kamanda.

Kumbe mwenzao nguo zote nimezivaa 🤣.asubuhi nliamshwa mapema nisaidie kazi pale home. Nlisikitika sana. Sister aliendeleza uvivu wake na shem. Yaani wao mpaka saa tatu wamelala tu. Daaah....nlijisikia aibu sana. Huyu mdogo wangu kwa kweli ni shidaaa.

Basi kukawa na kikao wakaitwa mimi sababu nilikuwa mbali nadhani sikusikia. Nilipoona wote hawaonekani nikajiongeza nikaenda sebuleni nikawakuta wapo kwenye kikao.

Sasa hapo ndo nikaona pa kuonesha umuhimu wangu. Nikanyorosha mkono...aaargh yule mzee wake shemeji yangu mimacho yake ilikuwa mibovu akawa hanioni. Nikaona hapa nisije onekana sijachangia chochote nami nimetoka mjini.

Nikasimama... Aaargh wale jamaa waliniwahi kunikamata huku wakilalamika... "unataka kuleta fujo....kikao kilikuwa kimetulia tu kinaenda vizuri" shem ikabidi atoe 5,000 akaniambia niende nunua mbege nilete home. Shem wangu ananiamini sana.

Basi nliporudi tu akaniambia tena nitafute vijana tusaidiane kutengeneza hema pale nje. Kwa kweli nliona jinsi ambavyo naonekana kuwa na mchango mkubwa sana. Nliwaza bila mimi hawa jamaa wangepata tabu sana.

Nikaambiwa nikahusike kukusanya kuni. Nikafanya haraka haraka nikaenda. Wakati huo watoto wa sister wamekaa wanashangaa shangaa tu. Mimi ndo nawaonesha kuchapa kazi.

Baadaye tukakaa nje tunapiga stories wageni wanakuja kutusalimia. Kwa heshima kabisa shem alikuwa ananiambia niwapishe kiti. Na wengine niwaletee.

Kwa kweli kule kwa wakwe wamenikubali sana wananiita Kamanda.nilikuwa nalala hoi... Chumba cha nje ili niwe huru hata kama nina demu nlilete maana nlikuwa mimi tu na kijana wa shamba pale home.

Shughuli zile mimi ndo nlikuwa kinara mpaka wanaulizana huyu kaka yake shemeji atakuwa na umri gani..mi nacheka tu. Wale watoto wa sister wananiita uncle kamanda tuletee hili,tuletee kile.....basi tu sherehe imeenda vyema na leo tumerudi dar. Nashukuruni jamiii wenzangu kwa maombi yenu.
 
Hahahahaha safi sana. Kule uchagani kama huna hela wakati wa kikao unatolewa kwenye kiti inawekwa ndoo ya mbege.
 
Shule unafungua lini
 
Duuh tafuta hela boss na ww uje uwaite makamanda
 
Hahaaa Inamana unazalaulika kiasi iko kwamba hata safari ya kili hawakushirikishi mana wanakujua huna la kufanya kwakuwa hina mchango wowote kwa familia
 
Ww ni komeo la plastic sio chuma
 
Back
Top Bottom