ukweni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilidanganya umri ukweni sasa penzi limekolea nachomokaje?

    Nilikutana na huyu binti mwaka jana akiwa mmbichi kabisa, kutokana na muonekano wangu hakuwahi kuniuliza umri. ila nimempita miaka 15. Kuna siku akanipa simu niongee na mama yake, mama mtu akaanza kuniuliza maswali mengi sana nikayapangua, alivyouliza umri nikapunguza miaka kumi. Sasa naona...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweni ni kuzuri ukiwa na uwezo wa kuwabadilishia maisha yao kuwa bora

    Umekutana na mchumba, anakupeleka nyumbani unakuta ni nyumba ya mbavu za mbwa. Wazazi waliwekeza hela zao nyingi katika elimu ya binti yao, amefanikiwa kumaliza kidato cha nne na ana certificate ya chuo lakini haja pata ajira. Wakwe ni wakarimu na ni waungwana. Unaamua kupeleka barua ya posa...
  3. sepema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliokutana mjini nendeni ukweni mkatambulishane

    Nawasalimu nyote Rafiki yangu yupo kikazi Dodoma tangu mwaka2013. Mwaka huo aliripoti kazi na dada mmoja mwenyeji wa Babati.Jamaa kwao ni Tanga. Hapa na pale baada ya miezi kadhaa wawili hawa wakajikuta niwapenzi. Mapenzi yalivyokolea wakaamua waoane kimjini mjini.Yaani waliishi pamoja bila...
  4. LIKUD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ukiwa na sifa ya ukorofi bado uko salama kwa wakwe zako

    Sifa ya ukorofi. A mister No Nonsense. HII ndio sifa Bora kabisa Kwa wakwe zako. Wakwe zako wanatakiwa wajue kwamba wewe mwanaume uliye muoa binti Yao. 1. Ni mkorofi Sana. 2. Hutaki Nonsense. 3. Mbinafsi/ mchoyo. 4. Hupendi kusaidia ndugu wa Pande zote mbili si ndugu wa ukoo wako Wala...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko ukweni kwa mapumziko ya Xmas, ninachokishuhudia hakielezeki

    Wasalaam waungwana. Amani ipitayo akili na fahamu za binadamu iwe pamoja nami. Tangu nioe nina mwaka wa kumi sasa ndoani. Wakwe zangu ni wakarimu sana na wacheshi mno. Ni marafiki na washauri wazuri sana kiasi kwamba unaweza kutamani kuwasimulia jinsi mchepuko wako ulivyo pasta kichwa. Kwa...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Muoaji na mshenga wakiwa ukweni

    Jukumu la kuwa mshenga ni zito, linaambatana na ulaji wa chakula kizito.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni hali ya kawaida kwa wale wenye uzoefu?

    Saalam! Wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua, nami leo nimeona niweke wazi mambo yangu ili niweze kusaidiwa kupitia jukwaa hili ambalo kwangu limejipambanua kuwa suluhisho la matatizo mbalimbali katika jamii. Nisiwachoshe ndg wasomaji niende moja kwa moja kwenye lengo mahususi. Mimi...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Najiandaa kwenda kutambulishwa ukweni kwenye familia ambayo baba na mkwe ni wakorofi

    Nina week nimebakiza niende kujitambulisha ukweni kwenye familia ambayo kwa jinsi binti alivyonieleza baba na mama mkwe ni wakorofi Sana. Ameniambia pia nijiandae kujibu maswali kwani unaweza kuulizwa maswali ya maudhi yakakutoa kwenye reli au ya kawaida kwani familia yake anailewa jinsi ilivyo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ukiwa vegetarian ghafla unafika ukweni, unakuta wamechinja mbuzi na kuku kwa heshima yako

    Mchumba ulikutana nae kazini. Wazazi walisikia uwepo wako katika maisha ya binti yao. Kilichokupeleka ghafra ni taalifa ya ugonjwa wa mama yake. Mezani mnakuta vyakula vyote na kilichokosa nyama ni kachumbali tu. Unaishia kula wali na kachumbali.
  10. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayopelekea watu wengi kushindwa kuishi kwa ndugu au ukweni na baadaye kutimuliwa

    Habari wanajamvi..! Leo nimeamua kuja na mada inayowahusu watu wanaoishi kwa ndugu, shemeji au ukweni. Ndugu asikwambie mtu kuishi kwa ndugu baadhi kunaitaji huwe na kiwango cha hali ya juu cha hekima na busara la sivyo unatimuliwa haraka tu. Mambo yanayopelekewa kutimuliwa 1. Tabia mbaya...
  11. Mboka man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kwenda kutambulishwa ukweni kama mchumba mtarajiwa

    Takribani siku chache tangu nitambulishwe ukweni kama kijana mtarajiwa mambo nilioweza kuyaona. 1.Nilikaribishwa salama salmini kwa vifijo na vigelele msosi ulipikwa tukala na kusaza. 2.Baada ya hapo talisman mazungumzo tukiwa watu watatu mimi, baba mkwe na mama mkwe ila yote tisa kumi ni pale...
  12. Mboka man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nakwenda kutambulishwa kama mchumba ukweni

    Baada ya mgogoro na kelele za muda mrefu za lini utakuja kwetu kujitambulisha mara nyumbani hawanielewi kila siku wananiuliza lini utakuja, mara unavyozidi kuchelewa unaniweka katika wakati mgumu sana haya ni maneno ya mtoto wa kike aliokuwa akiniimbia takribani miaka miwili tangu tuanzishe...
Back
Top Bottom