Nimepata aibu kubwa ukweni

Magical power

JF-Expert Member
Sep 27, 2022
356
1,606
AIBU

Kama kawaida mzee wa visa nakuletea kisa kingine iki apa twende sawa.

Dada naomba nipeleke huko kwa wamama kuna aibu imenipata nilikuwa ukweni yani nilienda kwa mara ya kwanza na nilifika usiku nikapewa chumba nililala peke yangu sasa usiku nikabanwa na haja kubwa na chooni sipajui na kutoka nje naogopa ikabidi nichukue chupi yangu nikanyea halafu nikaificha chini ya kitanda lengo langu asubuhi nikatupe.

Sasa asubuhi nimeamka nataka kutoka nikamuona mkwe wangu na wifi yangu wamekaa ikabidi nirudishe mzigo ndani uvunguni nikatoka mwenyewe nikasalimia wifi yangu akainuka akaingia chumbani kwangu sijui alienda kufanya usafi maana aliingia na ufagio gafla naona anamuita mkwe wangu jamani hapo nawaza wasije wakauwona mzigo ila nikasema mbona upo uvunguni.

Mara nikaona wanatoka huku wifi kashika mavi kwenye zoleo halafu mama mkwe anaguna huku anasema kweli kuishi kwingi kuona mengi.
 
images (6).jpeg
 
Ni hadithi au ndoto!
 
Hata Uongo ndugu yangu huwa una kipimo...
Ila hpa kipimo umezidisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom