ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Eric Cartman

    JamiiForums Tanzania NBAA inatakiwa kuchunguza madai ya Kigwangala na kama yana ukweli kuwafutia leseni ya kufanya auditing wahusika

    Auditing is a profession na trustworthy ya report is key to stakeholders. Iwapo madai ya Kigwangala yanaukweli upande wake aujachunguzwa na control measures za matumizi ambazo ahusiki nazo kuamua matumizi. Wahusika wa hiyo report wamevunja kanuni za auditing ethics and obligations, makosa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ijue ukweli CCM haina 100% ya Watanzania

    Nimekuwa nikifuatilia serikali hata wakati wa Magufuli . Tatizo moja ni serikali ya Tanzania imejiaminisha kwamba wana support ya 100% ya Watanzania. Tatizo ni moja tu huwezi kuyeyusha 30%-40% ambayo hao CCM wamesema wapinzani wamepata kura. Yaani pamoja wa wizi wote wa 2020 hakuna mtu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TFF hongereni kwa Kumfungia Shaffih Dauda aliyewaambieni Ukweli na Kumuacha Haji Manara aliyehatarisha Usalama wa Taifa na Kuuchafua Mpira

    Endeleeni tu Kumchekea huyo Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Upuuzi wake, ila ipo Siku mtatukumbuka tunaowaonya 24/7 kwa Madhara makubwa ambayo yatatokana nae huku mkimuogopa au mkiogopa kwakuwa kuna baadhi yenu mlifaidika mno Kibinafsi na Pesa za GSM.
  4. aleesha

    JamiiForums Tanzania Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

    Waarabu na Wazanzibari ni ndugu wa damu na wa asili kabisa maana Waarabu ndio walioleta ukombizi kwa Taifa la Zanzibar. Waarabu ndio watu walioweza kuishi kijamii pamoja na Wazanzibari kwa miaka mingi hadi kuchanganya damu na Wazanzibar walio wengi na kuishi km jamii moja tena kwa upendo...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hili la Mugalu kutolipwa fedha zake za tuzo lina ukweli gani wadau? Bodi ya Ligi ina cha kujibu

    Asubuhi ya leo nimeamka na taarifa niliyoikuta mitandaoni kuwa Bodi ya Ligi inayosimamia Ligi Kuu kwamba haijamlipa mshambuliaji wa Simba, Chriss Mugalu fedha zake za Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa Ligi Kuu. Nimejaribu kupekenyua sijajua hasa ni ipi inayozungumzia lakini niliyoiona labda ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kufurahia Ushindi dhidi ya Asec Mimosa FC na nilivyowaona Gendamarie FC na Berkane FC sasa tuambiane tu Ukweli tuisaidie Simba SC yetu

    1. Bado Simba SC yetu haichezi Mpira wa Kuvutia na pia watuambie kwanini Kipa mzuri, mzoefu na makini namba Mbili Beno Kakolanya haonekani na badala yake mbadala wake anakuwa Kipa Kinda ambaye Mightier simkubali na simuamini pia Ally Salim? 2. Simba SC yetu upande wa Stamina hatuko 100% Fit...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuna uzalendo wa kiwango hiki, bali naamini watu wana masilahi binafsi huko Ngorongoro na ipo siku ukweli utajulikana

    Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma...
  8. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu Ukweli usiosemwa na Wanawake kuhusu Kupenda?

    Ipo nadharia au msemo au ukweli unaofichwa kusudi na wanawake. Ukweli huo au nadharia hio ni kwamba wanawake hupenda kwa dhati Mwanaume mmoja tu kati ya wengi anaokuwa nao. Wengine wote anakuwa nao kwa (Sababu) tu na sababu hizo huwa ni kwa faida zake binafsi na malengo yake iwe ni upenzi...
  9. Ahmad Abdurahman

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Osman Kazi kwenye Kilenga cha Mwisho unapotosha ukweli

    Nimemsikia huyu mwamuzi mstaafu kichambua matukio ya michezo ya NBC premear League. Moja ya matukio aliochambua ni "advantage play" alionyimwa Mayele. Osman kaze anatuambia kua kwenye sheria 17 za soka hakuna mahala popote "advantage play" imeandikwa. Swali kwako Osman, ni kweli huijui Law 5 -...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ukweli na Uaminifu wa Maalim Seif

    MOHAMED GHASSANI AMEZUNGUMZA UKWELI NA UAMINIFU WA MAALIM Nami naweka ushahidi wangu wa mapenzi waliyokuwa nayo watu Visiwani na Bara kwa Maalim. Bahati mbaya sana mimi Allah hakunijaalia kipaji cha utunzi wa mashairi wala sauti ya kuyasoma mashairi asomavyo yeye. Hatuchoki kumsikiliza, ''The...
  11. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe, Rais Samia kaonesha uwezo mkubwa sana

    Salama? Nisiwe na maneno mengi. Rais Samia alikabidhiwa nchi kipindi kigum na cha hatari Sana. Wengi tulitarajia nchi itamahinda. Just imagine kaipokea nchi kutoka Kwa Rais ambaye aliivuruga nchi vya kutosha, alijifanyia anachotaka na kuwaumiza wengi kadri alivyojisikia. Rais Samia aliipokea...
  12. Jack Wabukoba

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna utajiri wa nguvu za giza?

    Hi ndugu, Naambiwa sana na kusoma simulizi kuwa mganga wa kienyeji anaweza kumuwezesha mtu kupata utajiri. Utajiri tena wa pesa taslimu (CASH) noti tupu. Kwamba unaenda kwa mganga na ukitoka tayari unazo, unatoka na maburungutu ya kutosha kwenye mfuko (begi). NAOMBA anayejua anijuze kwamba JE...
  13. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: M/kiti CCM taifa wanachama wengi hawakupendi

    Asalaam Aleykum Mh. M/kiti, Pole na majukumu mazito mnoo uliyo nayo, nami akuombea Dua ya ulinzi na heri katika uongozi wako na maisha yako kw a ujumla. Ila Mheshimiwa ukae ukijua maisha yako hayalindwi na nao wachache wanaokuzunguka na kukupa ulinzi mkali et kulinda usalama wako, ulinzi wako...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wanawake hutumia hisia kufanya maamuzi badala ya akili?

    Habari za humu wana jamii forum wote. Hii mada imemili sana katika suala la maamuzi ya Wanawake hasa katika mambo kadha wa kadha ila hasa katika mahusiano. Mada hii naiweka katika mtindo wa swali na hii ni kutokana na watu wengi huwa wanawasema Wanawake ya kuwa wanatumia sana hisia badala ya...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CHADEMA hulipana posho za mamilioni kila wanapohudhuria kesi ya Mbowe?

    CHADEMA sasa ni kama haina uongozi, imekatwa kichwa, Mwenyekiti Yuko gerezani, Makamu anakula kuku ubeleji. Kuna taarifa kwamba viongozi hulipana posho za mamilioni Kila siku wanapohudhuria kesi ya Mbowe, kama taarifa hizi ni za kweli, basi Kuna ubadhirifu mkubwa sana unaendelea. Nashauri...
  16. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ukweli huwa hauna rafiki, sema ukweli uchukiwe

    UKWELI HUWA HAUNA RAFIKI, SEMA UKWELI UCHUKIWE. Lala pema peponi JEMEDARI NA RAIS WETU KIPENZI DKT JPM. wengine tushakataa kutubu wala kuomba msamaha kwa maana tunatambua kuzaliwa kwetu kuna makusudi na makusudi hayo haikuwa bahati mbaya. Tulizaliwa mara moja na tutakufa mara moja bila kujali...
  17. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

    Tunaambiwa kuwa Marekani ndio taifa lenye nguvu kabisa hapa duniani. Lakini ukiangalia kwa undani utaona pengine ni wingi wa silaha tu lakini sio ujasiri. Ukiangalia matendo ya Marakani dhidi ya Urusi ndio utajua kweli Marekani anaiogopa Urusi. Mgogoro wa Urusi na Ukraine Marekani anaionya...
  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Dada zetu fungukeni mtuambie ukweli. Je, size kubwa ya uume ndio mnaridhika kimapenzi?

    Inachanganya sana maana wanawake wengine wanasema size sio ishu maana raha ipo juu na cha msingi mtu ajue kutumia dudu. Wengine wanasema size kubwa ndio kila kitu. Huku wakiponda wnanaume wenye size ndogo. Sasa upi ni ukweli? Maana kila kukicha wanawake wanachepuka hovyo na huku ugoni...
  19. demigod

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Mugalu + Bocco + Kagere = Mayele

    Ukiangalia kitaalamu na ukadadavua tactically utagundua kuwa washambulizi watatu wote wa Simba ni sawa na Mayele mmoja wa Yanga SC. Hata ujio wa Chama hautoweza kufua dafu kwa hawa wazee waliozeeka Maini. Na pia kama Ukilazimisha akili yako iamini kuwa Pablo atamfanya Chama kuwa mhimili wa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tusipotezeane muda! Ukweli ni kwamba 'Ulidanganywa' na 'Wanafiki' kuhusu Kabudi na Lukuvi, ila sasa 'Unatuzuga' na 'Kujikosha' tu Kwao

    Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi. Chanzo: Habari Leo...
Back
Top Bottom