Ukweli kuhusu mbingu na urembo wa wanawake au mitindo ya fashion

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
4,083
8,434
Hello ni mimi tena BINADAMU MTAKATIFU natumai mu wazima wa afya,
Leo bwana nataka tusemezane kuhusu zaidi utakatifu na mbinu za adui(Ufalme wa giza)

Kuna watu wengi ambao wamepotoshwa sana leo sitazungumzia dini ila kwa kiasi nwenye akili atatambua lililo sahihi sio kila mtu atakwenda mbinguni kwa dhana kwamba mungu hana roho mbaya ya kututupa jehnum si kweli mungu anachukia zaidi dhambi wala sio mtenda dhambi

Kama biblia inavyosema mwanamke hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanaume iweje leo wanawake wavae usuruali kwa kisingizio kwamba ni zakike hizo ni mbinu za adui
Je kuhusu mawigi rangi za midomo na kucha ,kucha bandia na mapambo (hereni,mikufu,nk)
Hapo mwanzo hizi dhahabu mungu haku ziumba kwa ajili ya mapambo ni kwaajili ya kujengea nyumba zetu na mahekalu kwani mwanadamu hakuubwa hafe ila baada ya dhambi kuingia yele mapepo yalioasi yaliamua kuunajisi huu ulimwengu kwa hayo
Watu wengi wataniuliza mbona tunaenda kwenye nyumba za ibada na wachungaji hawasemi lolote ndio
Katika wakati huu wachungaji wa kweli ni wachache kuliko wale wakweli
Kwa hakika nazungumza yeyote mwenye mapambo hayo aunkavaa suruali wingi kucha za bandia au chochote kisicho cha asili hadi kujichubua anamkosoa mungu na anaishi chini ya hasira ya yehova ni kwaneena ya bwana wetu tu na roho mtakatifu atanena kwa lugha hata kuponya wa gonjwa kwa jina la bwana ila baada ya kufa ukumu ya peke yake itamdondokea na atakua amekwisha chelewa
Hapa sizungumzi kuhusu dini ila yeyote asikilizaye na kuyaishi namuhakikishia hakika atauridhi uzima wa milele
Kama hujui katika makanisa wanawake ni wengi kuliko wanaume ila sasa mbinguni wanawake ni wachache kuliko wanaume
25%ni wanawake
75%ni wanaume hii ni kwasababu wametekwa na ufalme wa giza kwa hiari
Shetani yupo kuuiaribu kanisa kabisa kwa kuondoa utakatifu na tofauti kati ya kanisa na waasi (waovu)
Kivipi yani ni hivi yeyote mwanamke ataye vaa au kutumia bidhaa hizo ni mshirika na shetani na unazuia baraka zako mwenye
Kwa wale wa milegezo(kata k) viduku vyote vivyo ni chukizo kwa bwana na baba
Yatupasa tubadilike na kuuacha uovu kabisa tuwe watakatifu na wenye haki
Tuziondoe tamaa zenu wala tusimtazame mwanamke kwa tamaa kwani utakua umekwisha kuzini ikiwa mwanamke huyo akifa nae ataesabika amezini na wanaume wote ambao walimtamani kipindi amevaa suruali kwa hakika na rudia mali hizo ni za malikia wa pwani yule mwovu
Yapo mambo mengi tu ya kustajaabika ila pia kuna manabii ambao wanepewa ujumbe huo na bwana kwa hakika wasikilizeni na kuwaamini mbadilishe mienendo yenu kabisa
Mungu huongea nasi nami namsikia na kutuelekeza lakini nikiuliza ni wachache mno wanao ijua sauti ya mungu bwana yupo karibu nasi sana
Yeye na baba na roho mtakatifu ni wamoja nguvu zake hazina mipaka kwa hakika utajutia utakapo ijua kweli alafu umekwisha chelewa yaani huu uzi utaukumbuka kwani ni moja ya neno lililopagwa ulisikie na uliamini
Mambo yote yatapita ila neno la mungu halibadiliki kwani yeye ni yuleyule jana leo nahata milele
Wengi wetu ni waasi alafu tunajiita wakristo au watoto wa mungu kwa yeyote ambaye hatomwamini bwana yesu kristo hata aishi utakatifu gani hatoingia yerusalemu mpya majuto yatakua juu yaje milele
Tazama shetani ni mwongo hato kulipa chochote zaidi ya mateso kwani kuzimu ni kweli na jehnum ni kweli pia mbingu ni kweli
Kuna falme mbili tu ufalme wa nuru na ufalme wa giza na kamwe mtu hawezi kutumikia mabwana wawili nadhani sisi sote tunajua matokeo ya kumtumikia shetani tazama baba alikujua kabla huja zaliwa na sasa upo hili ni kusudi lake kwako wewe amini tu
Hakuna anayeweza kwenda kwa baba bile yeye yaan mwana ambaye ni bwana wetu mfalme wa majeshi nawaambia kweli kabisa hakuna toba baada ya kufa kwa hakika mbingu au kuzimu ipo karibu kuliko hata kesho yako
Kifo huja kama mwizi vile ukitazama unadhambi na maovu mengi ninyi ni waasi mmemuasi mungu
Kwamaneno yenu mwasema mnampenda mungu ila kwa hakika mnamkataa kwa kuyafata ya shetani japo mnakkaana
Unatakiwa ujue kwamba kwayule asiamini kwa kristo amepoteza milele mpe maisha yako tu atakuaminisha anakupenda kuliko unavyozani hakumwaga damu yake bure
Enyi waroma na mashaidi wa yehova kwa hakika bwana awatambui kua ni wake mmemuasi tazama watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa asema bwanaoooh!
Mnaabudu msicho kijua kabisa kwa hakika mariamu mamaye na yesu hawezi kukuombea toba wewe na ile sara ya salamu maria hii ni ya pepo yezebel bwana hakuja duniani kuleta amani bali upanga yatupasa kupigana kwa roho
Tumwabudu yeye kwa roho na kweli kwani bwana yeye hutoa bureee ila na kuhakikishia shetani hana cha bure utaigharimu roho yako kwa yale mateso hayavumiliki usiache roho chafu zikudanganye
Kwayeyote atakayefanya haya ajiesabilie amepoteza milele
Kuvaa mawigi
Kuchabandia
Kujichubua
Mwanamke kuvaa suruali
Kupaka dawa za nywele za kurainisha
Uzinzi
Kuabudu miungu mingine
Kutomwamini yesu kristo
Muovu yeyote
Tazama twatenda dhambi bila kujua kwa sababu sisi ni wavivu kusoma neno la bwana tazama uwe dini yeyote au mpagani ila jua biblia ndio itakayo kuhukumu mungu husikiliza wote hata mapepo tu chamsingi ni imani kwa kristo yupo karibu sana nasi
Tazama siku ya unyakuo yaja ipo karibu sana na hapo mateso na dhiki kuu inakuja kwenu waasi wala usiseme kesho nitarudi kwa bwana kwani kifo kipo huja kama mwizi wewe usieamini katika kristo yakupasa kubadilika na kumwamini katika yeye uchawi haufanyi kazi wala nguvu yagiza yeye ni mtakatifu na mwenyehaki yatupasa kua kama yeye watakatifu wapo watu waliokwenda huko kuzimu ama mbinguni na kurudi kwa mapenzi ya bwana kwa watu wake
Okoka bwana hakuleta dini bali wokovu
Baba anatupenda
"Kwa maana jinsi hii mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele"
TUBUNI MUDA UMEKWISHA RUDI KWA KRISTO WALA HUJASOMA KWA BAHATI MBAYA USITIE KINYONGO MOYONI MWAKO WALA CHUKI SAMEHE NA ULIFUATE NENO OMBA BWANA AKUONESHA KANISA LAKE LA KWELI MAAN WATUMISHI WAUONGO NI WENGI NA WAHAKIKISHIA HAO MANABII WANAO WAPA MAJI NA MAFUTA WANAWASAJILI KWA MUOVU
 
Back
Top Bottom