Hivi ni kweli kuwa mwanamke huwa hamsahau mwanaume wake wa kwanza kumtia mimba?

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
6,457
12,548
Eti wakuu,mfano labda enzi za ujanani ulikua na galfriend mkapeana mimba then mkakubaliana kuitoa,halafu labda kutokana na mihangaiko ya maisha mkaja mkapotezeana kila mtu akaenda njia yake.kuna ukweli kwamba mwanamke huwa hamsahau mwanaume wake wa kwanza kumtia mimba even if waliitoa hiyo mimba,na hata akiolewa na mumewe lazima tu atakua anammiss baba mtoto wake wa kwanza?
 
Screenshot_20211025-223946.jpg
 
Kuna kutokusahau na kuna umalaya. Malaya na asiye malaya wote watakumbuka hilo tukio.

Hakuna anayeweza kusahau historia kubwa kwenye maisha kama hiyo ya mimba ya kwanza. Tusiwahukumu sana wanawake na kutokusahau.

Wewe unakumbuka constipation uliyopata miaka fulani nyuma ukateseka kutoa haja sembuse mimba kwa mwanamke?

UMALAYA NI TABIA.
 
Back
Top Bottom