DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 14,416
- 32,528
Habari Wana jamvi,
Moja kwa moja kwenye mada.
Kiukweli kila mtu ana Imani yake na linapokuja suala la matatizo kila mtu huamini kile anachoona kinaweza kumsaidia wapo wanaokimbilia kwa waganga pia wapo wanaomkimbilia mungu.
Nimekua nikifuatilia vipindi vya television hasa hizi channels za manabii wakubwa hapa Tanzania, watu wanatoa shuhuda mbali mbali.
Mfano mtu anaona viumbe vya ajabu baada ya kutumia mafuta ya upako vinakufa oapo hapo.
Kutapika hirizi (Hii probably ipo)
Kutapika au kujisaidia misumari. (Mtu unaishije na misumari tumboni)
Kuona nyoka lakini baada ya kumwagiwa mafuta ya upako au maji wanakufa (How comes nyoka akafa kwa maji tena sio kajinyoka tu joka la maana)
Mwingine anasema nilikua na HIV lakini baada ya kutumia mafuta na maji ya upako nimepima sinao tena.
Hivi ni kweli haya Mambo au promo? Ikumbukwe ni kosa kuaminisha watu unaweza ponesha maradhi sugu kwa njia ya maombi au namna nyingine isio ya kitabibu
Je, ni kweli haya Mambo? Au ndo siku za mwisho itatendeka miujiza hatutosadiki?