Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 334
- 657
Pamoja na kwamba Yanga ilimaliza mzunguko wa kwanza ikiwa kileleni msimu uliopita lakini ligi ilipofikia Round ya 5 Simba ndiyo iliyo kuwa ikiongoza ligi wakiwa wote wanalinga point lakini Simba akiwa juu kwa tofauti ya magoli
FACT1
Mwaka jana SIMBA alikuwa na magoli mengi ya kufunga mara mbili ya Yanga yaani 14 kwa 7 wakati mwaka huu Yanga ana magoli mara tatu ya Simba yaani 9 kwa 3
Tukubaliane tu kwamba Simba mwaka huu wameyumba na wanahitaji maombi mazito
Msimamo wa raundi tano za mwanzo msimu wa 2020/21
P | W | D | L | Gf | Ga | Gd | Pts | |
SIMBA | 5 | 4 | 1 | 0 | 14 | 3 | 11 | 13 |
YANGA | 5 | 4 | 1 | 0 | 7 | 1 | 6 | 13 |
LINGANISHA NA MSIMU HUU 2021/22
P | W | D | L | Gf | Ga | Gd | Pts | |
YANGA | 5 | 5 | 0 | 0 | 9 | 1 | 8 | 15 |
SIMBA | 5 | 3 | 2 | 0 | 3 | 0 | 3 | 11 |
Kwa kuwa kuna watu wabishi nimeweka Mechi zenyewe moja moja za mwaka jana
Round 1 [Sep 6]
Ihefu 1-2 Simba
Young Africans 1-1 Tanzania Prisons
Round 2 [Sep 11]
Mtibwa Sugar 1-1 Simba
Young Africans 1-0 Mbeya City
Round 3 [Sep 19]
Kagera Sugar 0-1 Young Africans
[Mukoko Tonombe 72]
[Sep 20]
Simba 4-0 Biashara United
[Clatous Chama 9, 29, Meddie Kagere 30, Chris Mugalu 85]
RoMugal [Sep 26]
Simba 3-0 Gwambina
[Meddie Kagere, Pascal Wawa, Crispine Mugalu]
[Sep 27]
Mtibwa Sugar 0-1 Young Africans
[Lamine Moro]
Round 5 [Oct 3]
Young Africans 3-0 Coastal Union
[Carlos Fernandes 48, Haruna Niyonzima 52, Yacoub Songne 64]
[Oct 4]
JKT Tanzania 0-4 Simba
[Medie Kagere, Medie Kagere, Chris Mugalu, Luis Miquisson