The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,130
- 22,037
Naweza kuandika maneno elfu 10 lakini. ukweli ni kwamba machinga wanaonewa sana.
Nature ya biashara zetu hapa bongo asilmia 80 ni uchuuzi. hawa watu wanateseka na hawana mtetezi.
Wasubiri Uchaguzi watarudi tena barabarani na huwa wanatumiwa kama TP