Ukweli kuhusu treni ni huu; Wengi Hawaujui

Ukweli kuhusu treni ni huu; Wengi Hawaujui

Samico Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2022
Posts
790
Reaction score
1,851
Naomba nikujulishe kwamba:
1. Treni siyo Gari ni mashine au mtambo unaotembea

2.Treni Hainaga Dereva bali ina msimamizi tu kama zilivyo mashine za kusaga inasimamiwa na Operetor Au machinest

3. Treni haibebi mzigo bali inavuta au kusukuma mzigo

4. Treni inaweza kuendelea na safari na kujisimamisha yenyewe taratibu ikiwa operetor akishukia njiani au kutoroka

5. Treni haiwezi kukamilika kuitwa treni hadi njia yake ijengwe (Pasipo uwepo reli haiitwi treni bali inaitwa engine au behewa)

6. Ukitokea ukafanya hujuma kukata pipe ili kuikomoa ikose breki, basi itasimama kabisa haitakwenda hadi pipe iliyokatwa itengezwe kwanza

7. Engine ya kwanza ya treni ilikuwa punda/farasi

8. Treni ina kisanduku cheusi ( black box) cha kurekodi taarifa mhimu za treni

9. Treni ya umeme ikitembea usiku ukitazama kwa mbali utaona cheche juu ya treni kama nyota inayotembea

10. Treni ya umeme inapotembea inatumia umeme ikifika mwisho wa safari mfano (sgr frm dar to dom) Motor za treni huwa zinaondoa umeme uliotunzwa kwa kuurudisha kwenye gridi kama asante

11. Treni ina dume na jike
 
Hiyo no 4. Si kushuka tu kwa ukawaida wakati locomotive ipo katika operation endapo huyo dereva hatoshika kitu chochote kwa dakika 1 huwa kuna mfumo unaitwa vigilance unahakikisha usalama.
Sasa usipofanya lolote kwa muda huo ina light indicator kwa 60sec - 77sec kama hutareset button itapiga alarm kwanzia 77sec - 93sec kama hutafanya lolote basi itahamuru kumwaga upepo(BRAKE PIPE) ambayo ikifika 0PSI basi automatically itasimama na hiyo inaitwa PENALTY BRAKE APPLICATION. Ina assume either hakuna mtu, muhusika kapata tatizo, au kifo cha ghafla.

6. Kwa ukawaida treni hutumia brake kwa mifumo ya upepo hivyo kuna kitu huitwa BRAKE PIPE ina kiwango ambacho kinaitwa normal running pressure hutegemeana na manufacturer mfano hapa Tanzania kwa MGR wanatumia 70PSI, America na Australia 90PSI kwanini inaitwa normal running pressure kwasababu pressure hiyo inapofikiwa ndipo brake zinaachia magurudumu (brake release) sasa dereva anapohitaji kusimamisha au kupunguza mwendo huwa anapunguza hicho kiwango ndiyo unapata brake application mfano 10PSI, 15PSI, 20PSI au FULL SERVICE REDUCTION. Sasa kutokea kwenye locomotive hadi behewa la mwisho kuna mipira ya upepo sasa endapo ukikatika au kupasuka au kufunguliwa kama ulivyosema automatically PRESSURE itakudrop to 0PSI hiyo ni brake application kitaalamu pia ni EMERGENCY BRAKE APPLICATION.
 
Kwa Mujibu wa Akiliunde

1. “Treni siyo gari ni mashine au mtambo unaotembea.”

🟢 KWELI KWA KIASI — Treni si gari la kawaida la barabarani. Ni mfumo wa magari ya reli unaoweza kuwa na locomotive, mabehewa au wagons.

2. “Treni haina dereva bali ina msimamizi tu kama zilivyo mashine za kusaga; inasimamiwa na operator au machinist.”

🔴 SI KWELI — Treni ina dereva, anayejulikana kama train driver au locomotive driver. “Machinist” pia hutumika katika baadhi ya mifumo, lakini si sahihi kusema treni haina dereva.

3. “Treni haibebi mzigo bali inavuta au kusukuma mzigo.”

🔴 SI KWELI — Treni hubeba abiria au mizigo kupitia mabehewa/coaches/wagons. Locomotive ndiyo huvuta au kusukuma mabehewa.

4. “Treni inaweza kuendelea na safari na kujisimamisha yenyewe taratibu ikiwa operator akishuka njiani au kutoroka.”

🟡 SI KWELI KWA UJUMLA — Treni za kisasa zina automatic protection na braking systems ambazo zinaweza kusababisha treni isimame bila dereva katika hali fulani. Lakini si sahihi kusema kila treni inaweza kuendelea yenyewe na kujisimamisha taratibu.

5. “Treni haiwezi kukamilika kuitwa treni hadi njia yake ijengwe. Pasipo uwepo reli haiitwi treni bali inaitwa engine au behewa.”

🟡 NUSU KWELI — Locomotive inaweza kuwepo yenyewe na behewa linaweza kuwepo lenyewe. Lakini “train” kwa kawaida ni locomotive pamoja na gari/mabehewa yanayofanya kazi kama treni. Reli si lazima iwepo wakati huo ndipo kitu kiitwe treni.

6. “Ukitokea ukafanya hujuma kukata pipe ili kuikomoa ikose breki, basi itasimama kabisa; haitakwenda hadi pipe iliyokatwa itengenezwe kwanza.”

🟢 KIMSINGI NI KWELI — Treni nyingi hutumia continuous pneumatic brake system. Kupotea kwa pressure kwenye brake pipe kunaweza kusababisha breki kujifunga automatically. Hivyo treni haiwezi kuendelea kawaida bila mfumo wa breki kurekebishwa. Hata hivyo, mifumo hutofautiana kulingana na aina ya treni.

7. “Engine ya kwanza ya treni ilikuwa punda/farasi.”

🔴 SI KWELI — Farasi walitumika kuvuta magari kwenye reli zamani, lakini farasi hakuwa engine. Locomotives za kwanza za steam zilitengenezwa mwanzoni mwa karne ya 1
 
2. Mfano nchi kama Marekani na Canada mtu anayeendesha treni wanamuita Locomotive Engineer, India wao locomotive pilot, kwa nchi za Australia na common wealth wanaita locomotive driver hata hapa kwetu Tanzania.
 
GPT
271.png
 
Back
Top Bottom