Paul Chacha ni mzalendo wa kweli wa CCM

Paul Chacha ni mzalendo wa kweli wa CCM

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,407
Reaction score
12,717
Paul Chacha ni mzalendo wa kweli wa chama cha mapinduzi kwa kuwa msingi mkuu wa CCM ni kusema kweli daima.

Na hakika Chacha kasema ukweli kuhusu hivyo vyombo vya ulinzi ambavyo watu wengi hapa Tanzania hata humu JF wanafikiri vipo upande wao hata kuelekea maandamano ya mwaka jana Oct.29 walifikiri vitakuwa upande wao na kuwatema CCM.

Chacha ni mzalendo msema kweli nimemkubali kwa hilo na kukiri hivi vyombo vipo kwa ajili ya chama chao tu.

Kwa wanaofahamu historia ya Tanzania watakubaliana nami na Chacha kuwa vyombo hivi ni mali ya CCM toka utawala wa kwanza wa Mwalimu J.K.Nyerere

Watu msichukie maneno ya Chacha wala msimchukie yeye bali mpongezeni kwa kuwaambia ukweli hadharani kuliko angeamua kuwadanganya na kuwalisha uongo wenye matumaini mema kuhusu hivyo vyombo vya ulinzi na usalama.
 
ok.🐒
 
Kakitafuta hiki cheo sana kwa zile mbwembwe na drama za upelelezi kule mboka muacheni akitumikie kwa mapenzi ya mamaduro!
 
Lakini kama haya majeshi ni ya CCM, kwa nini yanaendeshwa kwa kodi za wananchi wote?
Yawe yanalipwa kwa ruzuku ya CCM na vyama vingine navyo viruhusiwe kuwa na majeshi kama ilivyo kwa CCM
 
Ya sirini Chacha kayaweka bayana. Ajabu watu wamekasirishwa na maneno yale. Ilihali wangempongeza kwa kuthibitisha ule uvumi wa muda mrefu kuhusu vyombo vyetu kuwa chini ya ccm.
 
Amejawa na jeuri mno na amekiri wazi kuwa wanaoua, kuteka na kunyanyasa wananchi ni hicho chama cha mkoloni mweusi.
 
Ya sirini Chacha kayaweka bayana. Ajabu watu wamekasirishwa na maneno yale. Ilihali wangempongeza kwa kuthibitisha ule uvumi wa muda mrefu kuhusu vyombo vyetu kuwa chini ya ccm.
Mimi mwenyewe nashangaa. Watanzania wengi wanapenda kudanganywa danganywa
 
Paul Chacha ni mzalendo wa kweli wa chama cha mapinduzi kwa kuwa msingi mkuu wa CCM ni kusema kweli daima.

Na hakika Chacha kasema ukweli kuhusu hivyo vyombo vya ulinzi ambavyo watu wengi hapa Tanzania hata humu JF wanafikiri vipo upande wao hata kuelekea maandamano ya mwaka jana Oct.29 walifikiri vitakuwa upande wao na kuwatema CCM.

Chacha ni mzalendo msema kweli nimemkubali kwa hilo na kukiri hivi vyombo vipo kwa ajili ya chama chao tu.

Kwa wanaofahamu historia ya Tanzania watakubaliana nami na Chacha kuwa vyombo hivi ni mali ya CCM toka utawala wa kwanza wa Mwalimu J.K.Nyerere

Watu msichukie maneno ya Chacha wala msimchukie yeye bali mpongezeni kwa kuwaambia ukweli hadharani kuliko angeamua kuwadanganya na kuwalisha uongo wenye matumaini mema kuhusu hivyo vyombo vya ulinzi na usalama.
Jina la uzalendo halimfai. Mtafutie jina jingine linalomfaa!
 
Back
Top Bottom