Ukweli mchungu usioambiwa kwenye biashara za mijini

Ukweli mchungu usioambiwa kwenye biashara za mijini

Hamissi Hamza Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
558
Reaction score
1,145
Ndoto Za Wengi Ni kuwa Na Biashara Mijini Hasa Kwenye Frame Ila Ukweli Mchungu Biashara Nyingi Hasa za Uchuuzi Haziendi Zimebaki Ni Za Misimu,

Biashara Nyingi za MIjini Hazina Faida ya Moja kwa Moja Zimebaki ni Sehemu Za kutunzia Mitaji/Pesa Kwasababu Ya Gharama kubwa Za Uendeshaji Kama Frame, TRA, Halimashauri, Osha, Ulinzi, Uchafu, Na Matumizi Binafsi ukiwa kazini mfano nauli na chakula

Kwa Wanaume Wengi(Sio Wote) Wamewekeza Biashara zingine za Pembeni kama Kilimo, Ufugaji Nk Na Biashara zao Za Mijini Ni Sehemu Za kwenda Kushinda Na Kutafuta Matumizi Madogo Madogo Jioni Waludi Majumbani ,

Kwa Wanawake Wengi(Sio Wote)Ni Sehemu Za Kwenda Kupigia Picha na Kutafuta Mabwana.
 
Ukweli mchungu ambao hausemwi....

Nyongeza... Biashara unakuta income ni ndogo haikidhi mahitaji, kwa vile ni utamaduni ama namna ya kupata kipato mtu anakomaa tu ila ana mishe nyingine, Unakukuta mwl ana kiosk miaka na miaka hakiendelei kipo vile vile, kinachomuweka mjini sio kiosk ni ile ajira yake....

Gharama za uendeshaji ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom