ukuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya "Samia Must Go" yatayeyuka kama yale ya UKUTA

    Kama ilivyotokea kwenye maandamano ya UKUTA vijana wa Mbowe wakafyata mkia. Pia maandamano ya samia must go hayatafanyika sababu wananchi hawaiungi mkono CHADEMA. Pia wananchi wanaona hayawahusu wao wakipotelewa na ndugu zao chadema wapo kimya wanatafuna ruzuku amekufa "double agent" wao ndio...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakemea vikali dada zetu kuruka ukuta!

    Tangu nikiwa na miaka 19 nimekuwa nikipiga vita sana dada zetu kuruka ukuta. Ila naona wazi ni kama wanatukatisha tamaa sisi wapinga hivyo vitu. Kuvuja kwa baadhi ya clips za wasanii wa kike wakiruka ukuta, tena kwa hiyari, kunarudisha mno juhudi nyuma. Hasa hasa hawa dada zetu wenye 'mikia'...
  3. MubengaJr

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ifuatilieni hali ya ukuta wa kiwanda cha SIMTANK cha Tabata TIOT

    Naomba kuwapa taarifa kuwa kuna ukuta wa kiwanda cha SIMTANK kilichopo maeneo ya Tabata TIOT kinachopakana na Asas. Ukuta huu huenda ukaanguka muda wowote hivyo msisubiri ukuta huu ulete maafa ndio muanze kumtafuta mchawi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanform-Arusha tunaomba mtutengenezee barabara mliyo ijaza udongo kutokana na ujenzi wa ukuta wenu Moshono Losirwai

    Tafadhali Tanfom Arusha ondoeni udongo eneo la barabarani uliotokana na ujenzi wa ukuta katika eneo lenu la moshono Losirwat. Kwa kweli mnatutesa hasa Watembea kwa miguu kwani mvua hizi zinasababisha matope na toyo zinashindwa kupita hivyo kututesa tunaporudi usiku kwani tunaachwa mbali na...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Picha: Kwa ukuta wa kihivi, wana Gaza waisahau Misri, yaani wajifie huko

    Sasa hivi kila mtu anajenga kwake, hamna cha undugu wala dini, mkijifanya wababe wa ugaidi kwenu huko mnajengewa ukuta mtafunane humo humo kwenu. Hata hawa waswahili humu JF ambao hujifanya kuwa na uchungu sana na Waarabu, ukifuatilia kwa makini utakuta wako busy kutafuta kipato huko Buza...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Misri kujenga ukuta mwengine upande wake kina maana gani. Wana njama na Israel au ni huruma kwa wapalestina

    Hivi karibuni Benjamin Netanyahu alisikika akisema anataka jeshi lake liingie Rafah na kufanikisha mpango wake wa kuwamaliza Hamas kabla mwezi mtukufu wa Ramadhani haujaingia hapo Machi 10. Baada ya kitisho hicho Misri imekuwa ikitishia kuvunja mkataba wa camp david baina yake na Israel.Hata...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Misri waanza ujenzi wa ukuta mkubwa kwenye mpaka wa Rafah

    Wakimbizi ambao hawataamia kwenye kambi zinazojengwa na Israel, wameachiwa wajifie huko Rafah ============= Egypt is constructing a wall along its border with the Gaza Strip in Rafah, where 1.3 million civilians remain displaced as Israel clashes with Hamas terrorists, Egyptian officials told...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Misri yapeleka Jeshi mpakani kukabiliana na uchokozi wa Israel

    Kimya kingi kina mshindo. Hatimae nchi ya Misri imeamua kuongeza askari wake maeneo ya mpaka wa Rafah na lango la Karem Shalom. Uamuzi huo umekuja baada ya maonyo ya awali na kufuatia taarifa ya jeshi la Israel kwamba liko mbioni kupeleka askari wa miguu eneo la Rafah walipojikushanya...
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimba ya tajiri ukijinyoosha mgongo tu inatoka. Lakini ukibeba ya mlalahoi hata uangukiwe na ukuta haitoki

    Kuna muda mdada anatumia mbinu za kivita kumtega tajiri kihisia ili amnase. Na akimnasa anatumia njia za Cuba kumuweka tajiri kwapani. Ikitokea mdada kadaka ujauzito wa tajiri hutamani kumzalia mtoto tajiri ili atoboe kama Jacqueline Mengi. Lkn bahati mbaya mimba nyingi za matajiri huchomoka...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa kata ya Ijuganyondo katika Manispaa ya Bukoba wana katika hatari ya kukumbwa na mafuriko

    Kuna kipindi nilibahatika kwenda Moja inaitwa Ijuganyondo. Kuna sehemu Kuna shule ya Msingi inaitwa Mushemba Trinity Primary School pembeni Kuna shimo kubwa sana lilichimbwa kutoa changalawe ya kutengeneza barabara Cha ajabu lile shimo lipo karibu na Makazi ya watu, pia lipo karibu na shule...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ukuta wa nje wa nyumba unatakiwa kuwa na unene kiasi gani?

    Hizi nyumba mpya za tofali za bloku mbona kama zina kuta nyembamba sana? Zinaweza kuhimili uzito wa nyumba na mikiki mikiki ya hali ya hewa? Standard inataka ukuta wa nje wa nyumba uwe na unene kiasi gani?
  12. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania wanapenda ukuta na mageti?

    Ukienda nchi za Ulaya na Marekani, nyumba zimepangwa eneo la wazi na hakuna uzio wa ukuta wala machuma. Nyumba zenyewe za mbao, wanaishi kirahisi sana. Ukija Tanganyika, nyumba zimejengwa kwa uzio wa zege na machuma, ati ndio maisha ya kisasa! Kila mwenye hela lazima ajenge liukuta refu na...
  13. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Hivi wachezaji wanawezaje kuingia uwanjani bila utaratibu rasmi (kuruka ukuta) lakini mashabiki hawawezi?

    Kuna kitu huwa kinanishangaza sana katika karne hii ya 21 kila nikisikia kuwa wachezaji wa timu fulani (hususani Yanga na Simba) wamepigwa faini kwa kosa la kuingia uwanjani pasipo kupita kwenye geti rasmi la wachezaji (kuruka ukuta) na wakaingia uwanjani (pitch) na vyumbani. Maswali...
  14. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Nani alisema ukuta wa mabanzi ni sawa na Ukuta wa Yeriko? Mechi 7 goli 7 kunyavu! Clean sheet inatafutwa kwa tochi!

    Namtafuta aliyewapa jina la ukuta wa yeriko awa jamaa, inawezekana alikuwa amebugia k vant na ugoro akajitamkia tu! Timu inayojiita imekamilika Kila idara inaruhusu mabao Kila mechi, aijalishi inakutana wapi na uwanja Gani, ikipelekewa moto tu kidogo inakuwa Kama Tenga la kuuzia nyanya matobo...
  15. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba nendeni Misri kukamilisha ratiba. Ukuta wa Yericko umegeuka kuwa ukuta wa biskuti, kila mechi bao

    Nilikuwa nawashangaa sana mashabiki wa hii timu walivyokuwa wanatamba sana mitaani wakijiapiza kumfunga Aly ahly goli za kutosha! Lakini kwa wale wanaojitambua tulikuwa tunajua madhaifu ya mwakarobo na lilikuwa ni suala la muda tu kuzima tarumbeta zilizokuwa zinapigwa na vijana wa Rage, Baada...
  16. simplemind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukuta urefu wa ghorofa tano kulinda faragha ya makazi

    Mkazi mmoja wa jiji la Nairobi amejenga ukuta urefu wa ghorafa tano ili kulinda faragha ya makazi yake. Hii ni baada ya ghorafa kujengwa jirani na nyumba yake. Huyu anahatarisha maisha yake -huu ukuta salama kweli?
  17. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi wanafahamu kuwa ukuta wa Yeriko uliangushwa kwa matarumbeta!!?

    Naona wamekazana ukuta wa Yeriko ukuta wa Yeriko. Hivi wanafahamu uliangushwa kwa matarumbeta? Umbumbumbu ni mtihani mkubwa sana maishani?
  18. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Mpaka hapo imejulikana na imeonekana na imejidhihirisha ni timu gani ina ukuta wa Yeriko

    Nafikiri mechi za leo zimeonyesha na kuondoa shaka juu ya timu gani inao ukuta wa yeriko, beki bora zitakupa matokeo bora na beki dhaifu zitakupa matokeo dhaifu ya kushikilia roho na kubaki na option moja tu ya kwenda kwa waganga wa kienyeji Tanga ili kupata matokeo. Yanga imedhihirisha ubora...
  19. Carasco Putin

    JamiiForums Tanzania FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea leo August 17 2023 kwa Bingwa wa ngao ya jamii Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, Lunyasi wakiwa na furaha ya kutoka kumshindilia mtani wake yanga kwa penati 4-1. Sasa wanageukia ligi kuu kuwakaribisha Mtibwa Sugar, WakataMiwa kunako uwanja wa manungu...
  20. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania New York: Mvua ya mfululizo kusababisha mafuriko makubwa huko Bronx

    Mvua kubwa ilisababisha uharibifu kwenye Big Apple mwishoni mwa juma, mvua iliyokaribia mfululizo ilipofurika mitaa ya jiji na kusababisha ukuta wa jengo la makazi kuporomoka huko Bronx. Madereva walinaswa katikati ya maji yaliyokuwa yakiongezeka kwa kasi kwenye barabara kote jijini na wakaazi...
Back
Top Bottom