Nani alisema ukuta wa mabanzi ni sawa na Ukuta wa Yeriko? Mechi 7 goli 7 kunyavu! Clean sheet inatafutwa kwa tochi!

Majok majok

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
618
1,570
Namtafuta aliyewapa jina la ukuta wa yeriko awa jamaa, inawezekana alikuwa amebugia k vant na ugoro akajitamkia tu!

Timu inayojiita imekamilika Kila idara inaruhusu mabao Kila mechi, aijalishi inakutana wapi na uwanja Gani, ikipelekewa moto tu kidogo inakuwa Kama Tenga la kuuzia nyanya matobo kibao!

Uwezi kubebwa ubingwa kwa kuwa na beki zinazoruhusu makosa Kila mechi ni ngumu sana!

Tukutane trh 5 majibu yatapatikana!
 
Timu inayojiita imekamilika Kila idara inaruhusu mabao Kila mechi...
Yule aliyewaita hilo jina anastahiri adhabu ya viboko

Halafu hadi mpenja akalitamka leo hilo jina akiusifia ukuta wa Simba wa mabeki kabla Ihefu hawajasawazisha

Huu ukuta wa mabua kuna siku utaumbua mtu
 
UNAMUACHA GOLIKIPA WA MAANA KAMA JOHN NOBLE UNAENDA KULETA WADAKA PANZI.

JEFFERSON LUIS, MZEE WA KUJIVUNJA
AYOUB LAKRED MDAKA PANZI.

ALLY SALUM MZIGO MWINGINE
AKINA TRY AGAIN WANAZINGUA SANA
Aly salimu ni bonge la kipa si aliokoa penalty Tanga🤣🤣🤣🤣🤣📌📌📌
 
Namtafuta aliyewapa jina la ukuta wa yeriko awa jamaa, inawezekana alikuwa amebugia k vant na ugoro akajitamkia tu!
Timu inayojiita imekamilika Kila idara inaruhusu mabao Kila mechi, aijalishi inakutana wapi na uwanja Gani, ikipelekewa moto tu kidogo inakuwa Kama Tenga la kuuzia nyanya matobo kibao!
Uwezi kubebwa ubingwa kwa kuwa na beki zinazoruhusu makosa Kila mechi ni ngumu sana!
Tukutane trh 5 majibu yatapatikana!
Mume wenu leo tumemuadabisha
 
20231028_215925.jpg
20231028_215925.jpg
 
Na yale magoli ya kupasiwa na wapinzani wenu nayo ni kujisifia!! Timu inachezesha wachezaji wazee tu mechi. Yaani wachezaji vijana karibia wote wanaozea benchi!! Kila mechi lazima iachie goli/magoli!!

Tarehe 5 Novemba siyo mbali.
We jamaa umelewa mbege etii. Simba ndo timu pekee bikra kwa ligi ya NBC, wengine wote washagawa utamu
 
Namtafuta aliyewapa jina la ukuta wa yeriko awa jamaa, inawezekana alikuwa amebugia k vant na ugoro akajitamkia tu!

Timu inayojiita imekamilika Kila idara inaruhusu mabao Kila mechi, aijalishi inakutana wapi na uwanja Gani, ikipelekewa moto tu kidogo inakuwa Kama Tenga la kuuzia nyanya matobo kibao!

Uwezi kubebwa ubingwa kwa kuwa na beki zinazoruhusu makosa Kila mechi ni ngumu sana!

Tukutane trh 5 majibu yatapatikana!
Hayo maneno hata kwenye kanga yapo.

Sisi tumewekeza kwa wapinzani wetu na marefarii kila mechi tutashinda hatutaki presha.
 
Back
Top Bottom