Picha: Kwa ukuta wa kihivi, wana Gaza waisahau Misri, yaani wajifie huko

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Sasa hivi kila mtu anajenga kwake, hamna cha undugu wala dini, mkijifanya wababe wa ugaidi kwenu huko mnajengewa ukuta mtafunane humo humo kwenu.
Hata hawa waswahili humu JF ambao hujifanya kuwa na uchungu sana na Waarabu, ukifuatilia kwa makini utakuta wako busy kutafuta kipato huko Buza, wakishashiba ndio hu-login JF na kuanza kuwalilia waarabu, ila ukimuuliza vipi ajitolee kwenda kupambana kule, ndio utatukanwa mpaka ukome...ha ha ha

AFP__20240216__34JG3AH__v1__HighRes__PalestinianEgyptIsraelConflictGaza-e1708127517626-1024x640.jpg

View: https://twitter.com/Sinaifhr/status/1757879298940149921?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1757879298940149921%7Ctwgr%5E50a87ea000d6add3b5cf90380548376aa3cdb54a%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.aljazeera.com%2Fnews%2F2024%2F2%2F16%2Fsatellite-photos-show-egypt-building-gaza-buffer-zone-as-rafah-push-looms
 
Kama Wapalestina kupitia HAMAS wanarusha makombora kwa Israel na kuua yoyote yule, kwanini Israel asishushe vitu vizito hapo Palestina kutokomeza mpaka mbu? Hata hao watoto hawana faida sababu ni magaida yajayo.

Vishushwe vyuma tu hapo Gaza kuondoa hiko kizazi cha kipuuzi.
Umerogwa ww, hata huruma huna, watoto wanahusikaje ktk ugaidi? Tumia akili kufikiri, hayo mengine yana kazi yake toilet na kunako....
 
Una miaka mingapi dogo ?
 
Umerogwa ww, hata huruma huna, watoto wanahusikaje ktk ugaidi? Tumia akili kufikiri, hayo mengine yana kazi yake toilet na kunako....
Nadhani uko mbaaali sana elimu. Ukitaka kubadirisha tabia ,au utamaduni wa jamii yeyote ile usishughulike na watu wazima shughulika na watoto , hao ndiyo wana muda mrefu wa kuishi na kueneza utamaduni mpya. Fikiria mtu amezaa watoto watano , huyo mtu ni mwizi,gaidi , usimuue ua watoto ambao watakuwa magaidi wa kesho na kuzaa magaidi. Au ua wanawake ili magaidi yasizaliwe. Najua utaniona katiri lakini huo ndo ukweli. Jnaua gaidi ana miaka 50 wakati kuishi ukiwa na nguvu ni miaka 55, ua watakaofundishwa .
 
Well said the true God bless you.
 
Kama Wapalestina kupitia HAMAS wanarusha makombora kwa Israel na kuua yoyote yule, kwanini Israel asishushe vitu vizito hapo Palestina kutokomeza mpaka mbu? Hata hao watoto hawana faida sababu ni magaida yajayo.

Vishushwe vyuma tu hapo Gaza kuondoa hiko kizazi cha kipuuzi.
Ingekuwa ni rahisi wangeshafanya
 
Kama Wapalestina kupitia HAMAS wanarusha makombora kwa Israel na kuua yoyote yule, kwanini Israel asishushe vitu vizito hapo Palestina kutokomeza mpaka mbu? Hata hao watoto hawana faida sababu ni magaida yajayo.

Vishushwe vyuma tu hapo Gaza kuondoa hiko kizazi cha kipuuzi.
Aisee😭
 
Mmmh sio poa mkuu, italeta shida kubwa
 
Mmmh sio poa mkuu, italeta shida kubwa
Assume yule kijana mollel ni mdogo wako anakufata ndani ya familia, unatazama video ameuawa kikatili vili na mwili wake unatupwa kwenye gari ukiwa umevaa boxer tu pekee, viungo vimevunjika na kupondeka, unaweza ukafeel maumivu yake? Tafakari mkuu au awe hata ni mwanao wa kumzaa, umemsomesha amefikia hatua ile.
 
Back
Top Bottom