ukiona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukiona daktari wakati wa kukutibu anababaika babaika na anatumia google, mheshimu sana

    Ukiona unaenda kwenye matibabu na daktari anakuwa kama hajiamini hivi, anababaika-babaika katika kutafuta ugonjwa wako, na hata anatumia google jua kuwa upo kwenye mikono salama. Magonjwa ni mapana sana na yanaingiliana sana dalili. Ukiona Daktari anakudiagnose fastafasta jua kuwa hafahamu...
  2. Ukiona mwanamke anakutreat vibaya, ujue wewe ndo umeruhusu akutendee hayo.. Hata ivo usiogope kumuacha mara moja ..... Huo ndio ukweli

    If a woman mistreats her man, it is only because he lets her....YES ITS BECAUSE OF YOU MAN !!. Mnatia Hasira sana nyie wasenge, haiwezekani, haiwezekan ... Na ndio Sababu mmekuja na makampeni yenu uchwara ya "Kataa Ndoa, Ndoa ni Utapeli". Wanaume mmekua wa hovyo sana, mmetanguliza upole...
  3. Ukiona una tabia hizi basi jua unaanza kuzeeka

    Ukiona unafanya yafuatayo basi jua umeanza kuzeeka, upo nyuma ya muda: 👉Kuwa hasira bila sababu ya msingi: ishu ndogo mara anakua agressive balaa 👉Kuilaumu serikali Kwa ishu zako binafsi: Hapa mtu Hana pesa anaanza Kuilaumu serikali🤣🤣 serikali ifanyeje Sasa? 👉Kukosoa kosoa watu na kuona Kila...
  4. Kocha Juma Mgunda ukiona 'anayetroti' ni Kipa jua atakayetoka siyo Mchezaji wa ndani

    Pamoja na kutumia Nguvu Kubwa sana (yenye Unafiki mwingi) ya kuonyesha kuwa Unampenda Kocha Mkuu wa Simba SC (Boss wako) Roberto Olivieira na kwamba huna tatizo nae tayari wenye Akili na Maono wameshakushtukia na hata Kocha Olivieira nae Kakushtukia na wameamua Kumleta huyo Mtunisia ili aje kuwa...
  5. Kaimu Msemaji Azam FC Hashim Ibwe: Ukiona unachukiwa jua unachokifanya ni sahihi, songa mbele

    Ukiona GENTAMYCINE anachukiwa sana na Manyang'au wengi Mtandaoni / Mitandaoni licha ya Yeye Kubarikiwa mno na Mwenyezi Mungu na kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer alivyo jua pia anachokifanya kwa 100% ni sahihi. Ni mwendo tu wa Kuwakera Maadui.
  6. S

    Sexless: Ukiona mchumba wako anaumwa sana wakati wa hedhi basi ujue-katumika sana, katumia sana Vidonge vya kuzuia mimba ama amechoropoa sana

    Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi: 1. Endometriosis. 2. Uterine fibroids. 3. Adenomyosis. 4. Pelvic inflammatory disease. 5. Cervical stenosis. (Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada) Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke...
  7. Ukiona dalili za mimba kuharibika nenda kituo cha afya usipate huduma ya kienyeji

    Mwanamke yeyote ambaye mimba imetoka au kutolewa anatakiwa kupata huduma ya afya ya uzazi kwa kuokoa Maisha yake katika kituo chochote cha afya kilichopo karibu yake. Huduma hii ni salama akiipata kwenye kituo cha afya kwani ataweza kupata huduma ya kusafishwa kizazi , atapata ushauri wa...
  8. D

    Ukiona wapinzani wametulia kimya ujue mema ya nchi wanakula na watawala; Wakibinywa, tabu yao huifanya tabu yetu

    Siyo Tundu lissu wala Mbowe sasa wote wapo kimya hali shwaaari! Walituaminisha Serikali inafuja pesa kujenga miundombinu, walituaminisha bwawa LA nyerere siyo kipaumbele, walituaminisha utawala awamu ya tano hautoi huduma mhimu kwa wananchi! Sasa tangu utawala wa awamu ya Sita uwashike mkono...
  9. Ukiona ana sifa hizi kimbia mapema

    Manipulators katika mahusiano; Ni watu wanaopenda kutawala maisha ya wenzao, mfano anaweza kudukua simu yako, kukuchagulia marafiki, wengine wanazuiwa kufanya kazi, yaani kifupi anakuwa anajikuta kama ni baba yako na huku mmejuana ukubwani na hapo hata hajakuoa. Wanapenda kutishia wenzao...
  10. Ukiona viongozi fulani wametawala kwenye vyombo vya habari basi jua bosi wao anatoa mkeka mpya karibuni

    Imekuwa ni tabia sasa au tuite formula kabisa kwa hawa viongozi wa kiserikali wanaopata ajira zao kupitia teuzi. Kipindi hiki utasikia maekezo mengi sana kuhusu wakuu wa wilaya hasa kwenye vyombo vya habari sana sana wanaonekana kama ndiyo wametoka kuamka au ndiyo wamepewa kazi leo. yaan...
  11. Ukiona unajisikia vibayavibaya huwa unafanyaje?

    Mimi nikiona nipo hovyohovyo tu ....sijui najisikiaje .... nawagombanisha shabiki wa simba na Yanga halafu nakaa pembeni nikishuhudia wakizozana, gombana au toboana macho kama siku ya leo hii 😂
  12. R

    Ukiona mpenzi wako anakuharakisha sana akupe utamu ujue ni sababu ya moja ya mambo haya

    Kuishi kwingi kuona mengi. Siku hizi ukiona mwanamke wako anakuharakisha na kukutamanisha sana kwa maneno matamu eti ana nyege sana au ana hamu sana na wewe ujue kuna mtego unataka kupigwa. ~ Mara nyingi huwa amefulia na anajua ukienda hutakosa kuacha chochote mfukoni. ~ Kubwa zaidi kuwa...
  13. Ukiona mume wako kachepuka na mfanyakazi wa kazi za ndani kuna mawili

    Miriam Lukindo Mauki anaandika; Ukiona mume wako kachepuka na mfanyakazi wa kazi za ndani (na mara nyingine huwaoa kabisa), kuna mambo mawili; 1. Ni mwanamke mwenye lawama nyingi, yaani malalamiko. Mwanamke asiye na kushukuru au asiyeona kitu anachokifanya mpenzi wake. Ni mwanamke mwenye...
  14. Haji Manara amsifia RC Amos Makalla

    Alichokiandika Haji Manara Mungu aendelee kukubariki Rais Wetu mpendwa Mama Samia Suluh Hassan kwa kutupatia Mkuu huyu Mwadilifu wa Mkoa Mh Amos Gabriel Makalla . Ukiacha majukumu yake makubwa kama RC, kuna Jambo linatufurahisha sana toka Kwa huyu Kada Mtiifu wa CCM,,Nowadays Hatufokewi hovyo...
  15. Usifunge biashara, ukiona hali sio nzuri tuwasiliane kwanza

    Naendelea kuwakumbusha wapambanaji kwenye uwanja wa biashara. Usifunge biashara. Ukiona hali ni tete tuwasiliane kwanza kwenye email: dodomadaressalaam@gmail.com Pia, wale wenye ujuzi uliotukuka kuhusu masuala ya biashara bado tunaendelea kujenga Team zetu ili tuendelee kucheza kwa ufanisi...
  16. R

    Ukiona unawachukia wanasiasa hawa, inabidi ujitathmini sana

    Habari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya hivyo ,Watu hawa huwezi wachukia hata wawe na mapungufu mengine . Mfano wao ni kama wafuatao :- 1...
  17. M

    Maoni binafsi: Ukiona mtoto kafanana na baba yake hizi ndio sababu

    Mosi,baba mtoto ni mtata muda wote anaweza kukataa mtoto kuwa si wake, hapa Mungu uamua kumaliza utata, angalia mimba zote zilizokataliwa watoto hufanana na baba zao. Pili, mama ni mtata, yaani wale wanawake ambao mkigombana au mkiachana anaamua kukupiga na kombora moja kuwa mtoto sio wako...
  18. Ukiona Mtu anatolea Ufafanuzi 'Dhambi' fulani iliyotendwa nao huku kavalia Miwani 'myeusi' jua ni 'Muongo' sana

    Halafu mlivyo Wapuuzi yaani Watu mmeshawaumiza halafu mnawaomba tena eti kama kuna aliyeumizwa kama inavyoenezwa ajitokeze ili mkamtibie Hiospitalini kwani Serikali hii ni Sikivu. Hivi kama Serikali ingekuwa Sikivu Wananchi hao Wangenyanyasika hivyo kwa Vipigo, Kujeruhiwa na hata Kuuwawa...
  19. Ukiona umetongoza Mwanamke wa Kilokole ( Kimakanisa ) anakufanyia hivi au anakujibu hivi jua hataki na hakutaki

    1. Ataanza kukupa Vipeperushi vya Kanisani Kwao na Kukukaribisha kwa Kutulazimisha uhudhurie Ibada zao. au 2. Atakuambia ngoja Kwanza amshirikishe Mwenyezi Mungu na kwamba hawezi kukupa 'Mbunye' yake mpaka mfunge Ndoa. Mnaotongoza Wanawake wa Kimakanisa ( Walokole ) poleni sana na Kazi Kwenu...
  20. Honeymoon imeisha, ukiona wanaanza kwenda Misikitini na Camera!

    Globalist wanataka matokeo sasa, fungate imeisha, mara nyingi wakianza kubanwa huwa wanaanza kurudi na kutafuta huruma, muda umewadia kunakaribia kukucha, nwo hana rafiki wa kudumu bali maslahi tu,
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…