ukiona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanaume, ukiona wakati wa uchumba unaombwa vocha, nauli ya daladala, hela ya LUKU na hela ya kula, kimbia

    Huyo siyo mtu ni kupe, na kama siyo kupe basi hafai kuwa mke, maana hatokuwa msaada kwako. Ndiyo! Kama ameshindwa kutafuta hela kwa ajili ya vitu vidogo kama hivyo unaoa kwa ajili ya nn sasa? Kuzaa tu? Hata panya anazaa. Acha ujinga wewe, chukuwa mke atakayekuwa msaidizi wako kiuchumi...
  2. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Familia inayomuweka Marehemu kwenye Sanduku/Jeneza la kuanzia laki 3 kwenda Juu,hiyo Familia itakuwa na matatizo ya kiakili

    Ukihitaji salamu kutoka kwangu nenda kwanza kwa CAG ukasome ripoti ya Mwaka uliyopita,Tofauti na hapo utaambulia chuya! Huwa nashangazwa sana na namna ambavyo Familia nyingi zimekuwa zikihaha,kukabana na kushikana mashati wakati wa Msiba eti kisa tu ipatikane pesa ambayo inatakiwa iende kwenye...
  3. RedPill Prophet

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, Ukiona mwanamke wako kaanza kukaa mbali nawe, fanya hivi…

    WAUNGWANA. Wakati mwanamke wako anapoanza kukupa mtazamo, anaacha kukupigia simu, anaanza kujiweka mbali na wewe, na kuondoa umakini wake kutoka kwako. Usiogope, tunza sura yako kama simba. Ni mambo mawili yanayohusika katika hili. 1. Anataka kucheza na mawazo yako na hivyo kukulazimisha...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ukiona kiongozi yoyote mng'ang'ania madaraka Duniani, ujue ana asili ya Afrika

  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukiona mwanaume amekuwa shoga jua ni pepo mchafu yuko ndani yake. Hakuna cha homoni wala nini

    Hello! Amani ya Mungu iwe nanyi. Ukiona binti anavaa nguo za kiume, anacheza michezo ya kiume, anaongea kiume, anacheza na wanaume haswa huyo ana pepo mchafu. Huyo pepo mchafu kadri siku zinavyososonga anabadili mpaka sura ya huyo binti na kuwa kama mwanaume. Ukiwa na ndugu au mtoto wa hivyo...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninasikitishwa na kitendo cha mwanariadha mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon. Ni ukosefu wa uzalendo

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha mwanariadha Mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon na kuachia katikati mara baada ya kuvuka 21km. Huu ni ukosefu wa uzalendo na kukata tamaa. Hii sio mara ya kwanza kwa kijana wetu kufanya hiki kitendo cha hovyo. Mbio sio kuanza ni kumaliza...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Wanawake: ukiona mwanamme anapiga mshindo zaidi ya mmoja kitandani, achana naye fasta huyo ni masikini

    Mwenye hela akipiga kimoja tu chalii. Akili inawaza madeni, faida ilopatikana, biashara hii imeingiza milioni ngapi na ile ngapi Sasa ukutane na kapuku ambaye kula yake ni ya shida, tee tee tee
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona unateuliwa na Rais au Chama halafu Unahamishwa hamishwa jua una sifa hizi

    1. Huna Uwezo wa Kiutendaji 2. Huna Akili 3. Utakuwa unabebwa mno 4. Una God Fathers wanakulinda 5. Mshirikina, Muongo na Mbea 6. Unatumika / Chawa wa Aliyekuzaa 7. Siku zako za Kuumbuka na Kudhalilika haziko mbali Tunakumbushana tu kuwa Kesho Ijumaa tunaanza na Yanga SC Saa 3 Usiku...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanamke wife material ukiona ametulia ujue amekupata na anasubiria kujipata ili ujipasue akili

    Sina haja ya kusema mengi sana ukweli ndio huo kama mnavousoma hapo juu, hakuna kitu kinaitwa mwanamke wife material hakunaga, ukihisi umempata ujue kabisa umepatikana. Akijipata ndio utajua kwanini Yesu yuko mbinguni ila shetani katulia kimpango wake toka enzi hapa duniani. Tuendelee n...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ukiona dada anakuchekea kwenye gari ya abiria, usirudishe tabasamu mpaka alipe nauli

    Ukiona dada anakuchekea kwenye gari ya abiria. usirudishe tabasamu mpaka alipe nauli. utakuja kunikumbuka baadae
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukiona wanakung'ang'ania wakupe utajiri wa haraka jua wamekuona akili yako ni chenga

    UkIONA WANAKUNG'ANG'ANIA WAKUPE UTAJIRI WA HARAKA JUA WAMEKUONA AKILI YAKO NI CHENGA 😔 Umewahi kusikia watu wakijinadi kutoa utajiri wa HARAKA? Yaani kulala maskini na kuamka tajiri? Taarifa isiyopendeza ni kuwa kama nawe ni mmoja wa wateja wao basi jua kuna kitu kwako hakipo sawa na tayari...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ukiona unaota ndoto hizi chukua hatua mapema

    Habari wapendwa! Katika maisha yangu ya kiutumishi mpaka sasa nimegundua kuwa watu wengi wanaishi kwa mapenzi ya wachawi, watu wengi wanakufa kabla ya siku zao, watu wengi ni masikini kwa sababu ya vifungo walivyo navyo, watu wengi wanaishi maisha ya shida ambayo sio kusudi la Mungu wao kuishi...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

    Wakuu mpo Salama! Kuna Watu hawajui kuwa namna uzee unavyoingia. Sio ajabu wameshaingia uzee lakini hajui au hawana uhakika. Sasa hizi ni moja ya dalili kuu zinazoashiria kuwa unaingia katika uzee. 1. Kufananisha Watu au Mahali au matukio Kuna ile ukimuona mtu unafikiri ulimuona wapi hata...
  14. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Ukiona hupigiwi simu, status huwekwi, huna likes kwenye mtandao ya kijamii ujue thamani yako imeisha

    Ukitaka kujua watu wanakuchukulia vipi pindi umeishiwa au umefulia kabisa simu yako haipigiwi kama zamani, hata wale matapeli wa tuma namba hii nao wananyamaza. Kwenye mitandao ya kijamii napo ukipost unaweza kukuta like chache tena za wasiokufahamu. Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na rafiki ambaye kila ukiona tu simu yake unajua ana shida na inakuwa kweli

    UMEWAHI KUWA NA RAFIKI AMBAYE UKIONA TU SIMU YAKE UNAJUA NI YA SHIDA. Taarifa mbaya kuhusu watu hao ni kuwa sio marafiki bali wanakutumia tu kwa maslahi yao mapana. SIFA ZA WATU HAO 1.Wakiwa hawana shida wanapunguza ukaribu kwako tena wanakuwa bize hatari. 2.Wakikaribia mazingira ya...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Ukiona mwenzako ananyolewa. Kwa mara ya kwanza siku ya jana umeme umekatika usiku mzima katika mtaa tunaokatiwa mara chache

    Huu mtaa tulishani hatuguswi na matatizo ya umeme kukatika usiku, siku ya jana umeme umekatika mida ya saa tatu tukadhani utarudi saa nne, subiri mpaka tano hakuna kitu. Ni mpaka asubuhi saa mbili ndio umewashwa, hapa watu wameanza kuchaji power bank zao na kunyoosha nguo jioni muda huu...
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Ukiona katanuka Vidole vya mguuni usioe

    Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na Video ya muhenga akitoa ushauri kwa vijana kuhusu Mke wa kuoa. Muhenga huyu moja ya sharti alilotupa vijana ni kutooa Mwanamke mwenye Vidole vilivyotanuka miguuni. ANGALI VIDEO HAPA Je ni kweli wanawake wenye Vidole vilivyotanuka wana matatizo...
  18. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Source code ya mahari kubwa ishara unayemuoa sio wife material kwa dunia hii

    Habarini wana JF na mvua za hapa na pale. Jana tumetoka kutoa mahari tukimsindikiza jamaa mmoja ila tulipofika mimi sikujua mahari ila kwa vile sio mambo yangu pale kwenye mahari ilikuwa ndogo kulingana na kipato chake kama alivyokadiriwa. Asilimia kubwa za familia ukiona unawekewa mahari kubwa...
  19. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Daliliz za mchepuko😂

    KUPENDA KUTEMBEA NA MIPIRA YA KINGA Ukiona mpenzi wako ana tabia ya kubeba kondomu kwenye pochi yake au mfukoni kwa kisingizio kuwa anajali, elewa kwamba yuko katika mahusiano na mtu mwingine. UTATANISHI KATIKA MATUMIZI YA SIMU Ukiona simu zinamiminika mpaka usiku wa manane naye anapokea kwa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Fanya hivi ukiona mwenza wako kabadilika

    Kwa kawaida hakuna mahusiano yanayokosa changamoto hata kama mpo ndani ya ndoa, vikombe kabatini tu vinagongana sembuse binadamu wawili waliokutana ukubwani na wote wakiwa na meno 32. Huwa inatokea kuna wakati mnafurahia sana mapenzi yenu lakini pia kuna wakati shetani anaingilia kati na kuanza...
Back
Top Bottom