Tunaoicheka Yanga SC sasa kwa kufungwa Juzi ukiona marejeo ya tarehe 3 wanafanya hiki jueni kwa 100% wanabeba Kombe la CAFCC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,736
109,328
Mkiona Nahodha wa Yanga SC Bakari Nondo Mwamnyeto Siku hiyo akiomba Waanze Wao Kuanzisha Mpira na waanzie Goli la Kusini na Mchezaji wao Aziz K au Fiston Mayele au Kenmeth Musonda Refa akipuliza tu Filimbi Mechi kuanza wakiupiga mpira upande wa Kulia wa Uwanja kutokea Goli la Kusini watakaloanzia basi wana Simba SC Wenzangu tutafute kwa Kujificha kwani likifanyika hili Yanga SC itashinda Goli 2 kwa 0 au 3 kwa 0 na Kuchukua/ Kubeba Ubingwa.

Tuliocheza Mpira wa Viwango Vikubwa kuanzia UMISETA, UMISHUMTA, Ligi za Daraja la Tatu na Mechi za Ndondo mtakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa aina hii ya Uchawi huwa ni Mkubwa mno, wa Kafara Kubwa ( la hata Kuutoa Uhai wa Mtu) na Timu yoyote ile ikiutumia huwa ina 99.99999% za Kushinda.

Na sikumbuki ni lini tokea nianze Kuucheza Mpira, Kuufuatilia na Kuuchambua kwa hapa Tanzania na Afrika umewahi kutumiwa na Klabu/ Vilabu na hiyo Timu isishinde.
 
Hamna kitu kama hicho!...si wangefanya hivyo dar?....wasubiri kipigo tu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Mkiona Nahodha wa Yanga SC Bakari Nondo Mwamnyeto Siku hiyo akiomba Waanze Wao Kuanzisha Mpira na waanzie Goli la Kusini na Mchezaji wao Aziz K au Fiston Mayele au Kenmeth Musonda Refa akipuliza tu Filimbi Mechi kuanza wakiupiga mpira upande wa Kulia wa Uwanja kutokea Goli la Kusini watakaloanzia basi wana Simba SC Wenzangu tutafute kwa Kujificha kwani likifanyika hili Yanga SC itashinda Goli 2 kwa 0 au 3 kwa 0 na Kuchukua/ Kubeba Ubingwa.

Tuliocheza Mpira wa Viwango Vikubwa kuanzia UMISETA, UMISHUMTA, Ligi za Daraja la Tatu na Mechi za Ndondo mtakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa aina hii ya Uchawi huwa ni Mkubwa mno, wa Kafara Kubwa ( la hata Kuutoa Uhai wa Mtu) na Timu yoyote ile ikiutumia huwa ina 99.99999% za Kushinda.

Na sikumbuki ni lini tokea nianze Kuucheza Mpira, Kuufuatilia na Kuuchambua kwa hapa Tanzania na Afrika umewahi kutumiwa na Klabu/ Vilabu na hiyo Timu isishinde.
NAONA KABISA MPIRA UKIPITA KUSHOTO YANGA WAKIPIGWA 3:1
 
Kifupi ukiona mechi ya yanga ameanza aziz k ujue yanga siku hiyo hali ngumu ata mechi ya marudio kama ataanza huyo mtu imeisha hiyo..
 
Uchawi una mipaka yake...usidhani kuubeba uchawi kwenda nao Algeria ni kazi ndogo kuvuka vizingiti vya dola zingine za kichawi na dawa zao kwenda huko.

Ilo wangeliweza hapa Tanganyika.
 
Pumbavu wakati Manahodha wakiitwa na Refa huwa wanaulizwa wanataka kuanza upande gani na nani anata kuwa wa Kwanza kuanza Mpira na Shilingi hurushwa ili kufanya Maamuzi hayo.
We jamaa bana kama washaulizwa shilingi inarushwa ya Nini sasa
 
Katika hali isiyotegemewa wala kufikiriwa na wengi mpira wa miguu hua unatoa matokeo ya kushangaza sana.

Haitarajiwi wala kufikirika na wengi, lkn siku ambayo bahati iko upande wao, kabahati bahati na papatu papatu yanga anafunga goli la kwanza, bila kushangilia wanaokota mpira wanaweka kati. Mpaka muda huo wanajua kabisa uwezo wanao na wamebaki na goli moja tu. Kimaajabu kabisa na kwa mshangao mkubwa wanapata goli la pili.

Who knows, only God.
 
Kama Manahodha wote kwa Imani za Kishirikina wakitaka kuanzia upande walioagizwa na Mganga wa Kienyeji Shilingi haitorushwa Kuamua na zitarushwa Kende zako Mbili zilizosinyaa kama Tembele la Uani?

Pumbavu.
Abomination
 
Back
Top Bottom