Jifunze kusoma Alama za Nyakati. Siku ukiona Ulinzi ni Mkubwa basi jua kuwa Usalama ni Mdogo

Sweya Makungu

JF-Expert Member
Jun 11, 2023
479
556
Jifunze Kusoma Alama za Nyakati..

Siku Zote Ukiona Ulinzi ni Mkubwa Basi Jua Kuwa Usalama ni Mdogo..

Na Laana Yako Inaweza Kuwa Mwanzo wa Njia za Baraka Yako Pia.
💫💫💫💫💫

©️Mwl. Makungu m.s
0743781910

Kaini mtoto wa Adamu alilaaniwa baada ya kumuua Ndugu yake Habili. Alilaaniwa Ktk ardhi isimzalie chochote ktk kilimo. Lkn alikuwa na uzao wenye mafanikio makubwa na utajiri..
Kama haufahamu ,ktk uzao wa kaini ndipo palitokea wafugaji wakubwa , wataalamu bingwa wa Kutengeneza na kupiga vyombo vya muziki, wavumbuzi wa teknolojia ya chuma na watengeneza vifaa vya chuma. (Mwanzo 4:16-22).

Unadhani kwann walifanikiwa kiasi hiki wakati uzao wao ulilaaniwa?
Walijua jinsi ya kusoma alama za nyakati . Walilaanikiwa ktk ardhi kwahiyo wakajiongeza . Hakuna aliyejihusisha na shughuli za kilimo . Wakawa mabingwa ktk nyanja nyingine.
Kwahiyo kwa tafsiri nyingine ni kuwa, watu waliokuwa wanajihusisha na kilimo na uwindaji iliwabidi waende kwny uzao wa kaini kununua vifaa vya chuma.
Wote waliokuwa wanahitaji vifaa vya muziki au huduma ya muziki iliwabidi waende kwny uzao wa kaini kununua huduma.
Laana yako inaweza kuwa mwanzo wa njia za baraka yako pia.

Jifunze kusoma alama za nyakati ili ufanye maamuzi sahihi ,kwa wakati sahihi na mahali sahihi.
Yesu alipofika hekaluni aliharibu meza za wafanyabiashara wakiwemo wafanyabiashara wa mvinyo. Lakini alipoalikwa harusini hakuharibu meza Wala viriba vya walevi wa mvinyo. Alichangamana nao na zaidi Sana aliwatengenezea mvinyo.

Hekaluni siyo mahali pa kufanyia biashara. Hekaluni ni mahali pa kuabudia. Kumuabudu Mungu. Na Yesu Kama mwana wa Mungu pale ni ni mahali pake pa kiutawala na kimamlaka asingeweza kuona panaharibiwa na akatulia.
Lkn harusini ni mahali pa kiutamaduni. Yanafanyika mambo ya kitamaduni . Mavazi, vyakula, vinywaji , burudani n.k na kila jamii ina utamaduni wake ulio sahihi kwao. Hata km dhambi zilikuwa zinatendeka pale harusini ,ilikuwa siyo mahali sahihi pa kuhubiria watu . Zaidi ya kuchangamana nao na kucheza nao muziki wa kiutamaduni wa Kiyahudi..

Usije ukaona mtu ana ulinzi mkubwa ukadhani kuwa ndiyo anajihisi Yuko salama zaidi . Siku zote ukiona ulinzi ni mkubwa basi jua ya kuwa usalama ni mdogo.. Na usichodhania ni kuwa , mlinzi anayemlinda tajiri wake huwa anajihisi kuwa Yuko salama zaidi kuliko Hata yule tajiri wake anayemlinda.
Watu wanaojihisi kuwa wako na usalama muda Wote hawaweki walinzi. Kadri unavyozidi kufanikiwa na kuongezeka zaidi ndivyo unavyozidi kupunguza zaidi Usalama wako.
Kwahiyo usije ukadhani ya kuwa kiongozi wa nchi yuko salama zaidi kuliko wewe .
Ukiona Ulinzi ni Mkubwa Basi Jua Kuwa Usalama ni Mdogo.

Jifunze kusoma alama za nyakati ili ujue jinsi ya kuishi na
walevi.
Mlevi wa dini anamshangaa mlevi wa siasa. Na mlevi wa pombe anamshangaa mlevi wa tendo la ndoa.. Wakati mlevi wa football anamshangaa mlevi wa filamu/tamthilia. Hujawahi kuona mlevi wa sigara anamshangaa mlevi wa bangi!?
Lkn hawa wote ni walevi..

Ulevi kwa tafsiri ya pili ni hali ya kujenga tabia ya kufanya jambo flani kupita kiasi na kwa namna ambayo huwezi kukaa bila kulifanya na inaweza mpk kupelekea mambo yako mengine yakose muda wa kutosha au yayumbe, yavurugike,yaharibike..

Fanya kila jambo kwa kiasi na kwa utaratibu huku ukitumia akili zako vizuri ili upate muda wa kufanya mambo mengine ya muhimu

Tena nakwambia Hakuna ulevi mbaya km ulevi wa dini . Unaharibu kabisa akili. Walevi wa dini walikufa Uganda kwa mch. Kibwetele. Wamekufa Kenya kwa mch. Mackenzie. Walifeli mitihani ya Necta form 6 kwa kuandika " Yesu ni jibu " kwny karatasi zote za majibu.
Walevi wa dini wanapaswa kujua Kuna maisha ya kiroho na maisha ya kimwili na vyote vina umuhimu ktk ukuaji wa mwanadamu.

Wapenda dini wenzangu, tufanyeni kazi kwa bidii. Nabii Ibrahim na Yakobo hawakutajirikia kwny maombi pekee. Walitajirikia kwny kazi ngumu ya kupigwa na jua kwa kuchunga mifugo nyikani.

Jifunze kusoma alama za nyakati. Kamwe usimwagilizie ua lililokufa. Usitumie nguvu zako, muda wako na gharama zako bure kumwagilia ua lililokufa.
Chagua watu wanaoendana na wewe na wanaokupenda na kukusikiliza.
Yesu aliungana na kukaa na walevi, wazinzi ,makahaba ,watoza ushuru na wenye dhambi lakini hakuungana na mafarisayo na makuhani.
Alitumia muda wake kwa watu wanaomsikiliza na siyo watu wanaompinga na Kutaka kumkejeli. Waliotaka kumkejeli na kumtega kwa maswali naye aliwajibu kwa dharau ya falsafa ngumu..

Jifunze Kusoma alama za Nyakati ili usije ukadharau kazi za watu wengine na kugombana nao.
Unafahamu kuwa hakuna sehemu katika biblia inayoisifia Wala kuisema vizuri kazi ya watoza ushuru??
Lakini zipo sehemu nyingi kwny biblia zinazousifia mvinyo na matumizi yake.

Sasa niulize mtu km Mimi Kati ya kazi ya kuuza mvinyo na kazi ya kutoza ushuru ipi ninaikubali uone nitakujibu nini!!

Unadhani watoza ushuru huwa wanajisikiaje wanavyosemwa vibaya kwenye biblia?
Iko hivi, Yesu alipozaliwa duniani aliikuta Israel ipo chini ya utawala wa kikoloni wa kirumi. Na mojawapo ya shughuli za kiutawala ilikuwa kutoza ushuru. Kwahiyo kazi ya kutoza ushuru Kipindi cha Yesu ilichukuliwa Kama kazi ya kinyonyaji , ukandamizaji na dhuluma kwa wanyonge wanaotawaliwa kikoloni .
Lkn kazi ya watoza ushuru kwa Sasa ni kazi halali tuliyokubaliana wenyewe kwaajili ya maendeleo yetu.
Sasa Ikiwa unakula rushwa kwny kutoza ushuru hilo ni Jambo lingine.

Umewahi kusikia Kenya Kuna mtu anasema yeye ndiyo Yesu wa ukweli?
Na walipomwambia watamsulubisha siku ya pasaka akakimbilia polisi kwa ajili ya Usalama wake?!

Jifunze Kusoma alama za nyakati .
Angalia Imani isije ikakujaa kupita kiasi ukataka kujifananisha na Yesu ukajisahau kuwa ww ni mwanadamu wa kawaida .

Ukitaka kumuiga Yesu kwa kila kitu, utafaulu kiroho lakini utafeli maisha ya kimwili. Mwenzako hakuwa na mpango wa kuwa na familia.
Kwahiyo;
-hakujenga nyumba ya kulala Wala kurithisha (Luka 9:58),
-Hakuoa Wala hakuwa na Watoto
-Alipoanza rasmi kazi ya kuhubiri hakuwa na muda na familia . Alikuwa bize na kazi Hadi mama na ndugu zake walikuwa wanaenda kuomba kuonana naye akiwa kwny mikutano yake.
"Mwalimu, mama na ndugu zako wako nje wanataka kukuona." " Mama na ndugu zangu ni wale wanaoyasikiliza maneno yangu na kuyafuata".
  • Kuna wakati Alikuwa anakula chakula bila kunawa (Luka 11:37-38).
  • Japo Alikuwa anahisi njaa Kama Binadamu wengine, lkn alipokuwa akijawa na Roho Mtakatifu alikuwa na Uwezo wa kukaa Siku 40 bila kula . ( Luka 4:1-2).
  • Maombi yake alikuwa akiyafanyia milimani usiku kucha.
# Sasa wewe muige kwa kila kitu uone jinsi unavyokwenda kufeli kwny malezi ya familia.

Jifunze Kusoma alama za nyakati ili ujue kutofautisha Kama roho mbaya inayokusumbua ni pepo,jini au ni roho mbaya kutoka mbinguni?
Tunafahamu ya kuwa roho wabaya (pepo wachafu) huwa wanatoka kwa shetani kuja kuwasumbua wanadamu... Uliwahi kufahamu kuwa wapo roho wabaya huwa wanatoka kwa Mungu kuja kuwasumbua wanadamu?? ( Samwel 16:14-23 ) .

Pengine Unafahamu kuwa upo utaratibu wa kupunga pepo ( yaani kuwatuliza mapepo na majini kwa kuyabembeleza au kuyapa yanachotaka ).
Ukisoma hiyo mistari utaona jinsi roho mbaya kutoka kwa Mungu ilivyokuwa ikimsumbua Mfalme Sauli na ilikuwa inatulizwa kwa kupigiwa muziki wa kinubi filimbi zumari..

Cha muhimu kujua ni kuwa roho hii mbaya kutoka kwa Mungu kumsumbua mwanadamu huja pale mwanadamu anapomuasi Mungu ktk maelekezo aliyompa ayafanye..

Ukizisoma alama za nyakati utagundua kuwa, Maiti ni mwili wa marehemu..
Lkn kuna tofauti kati ya maiti na mwili wa marehemu. Mochwari kuna maiti hakuna mwili wa marehemu . Msibani kuna mwili wa marehemu hakuna maiti.

Afrika huwa tunasifia vyakula vya asili , mavazi ya asili, dawa za asili, lugha za asili lkn huwa hatusifii elimu ya asili, dini za asili wala nyumba za asili.. Yote haya yaliwahi kuwa sawa zamani lkn yametofautishwa na nyakati .

Ziheshimu sana nyakati. Nyakati ndizo zinazoamua wewe uwe nani. Nyakati ndizo huamua umiliki nini, upoteze nini na uwe na wakina nani.
Nyakati ndizo huamua yale tuliyoyaona mazuri yawe mabaya na mabaya yawe mazuri.
Ukizijua alama za nyakati utafanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.

Makungu Ms
0743781910
5 May 2023
 
There is joy and revelry, slaughtering of cattle and killing of sheep, eating of meat and drinking of wine! “Let us eat and drink,” you say, “for tomorrow we die!” Isaiah 22:13
 
Alfu lela ulela
 
Mwl. Makungu m.s

Ujumbe mzuri sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom