Ukiona mwanaume anaogopa wanawake wa Kaskazini huyo ni Mvivu

jastertz

JF-Expert Member
Jul 4, 2020
392
743
Sio kwa ubaya lakini kusema wanawake wa kanda ya Kaskazini hawafai jua wewe ni mvivu unapenda mseleleko,
Wale ukiwatumia vizuri kutoboa kimaisha ni chap tu, hawazi mapenzi muda wote kama waliopo let say tanga hivi au dar.
shida ni unapata demu badala umtumie katika kufanikisha michongo yako kiakili bila yeye kujua wewe unawaza kumla tu sasa kwa nini asitake hela.

Sisi mbona tunao na wengine tunaoa, wana akili ya maisha wanapenda kujishughulisha usipo mwoneshea au kumoa uhuru wa kufanya kazi lazima atataka ulichonacho na akikipata anakivutia kwake. I speaking from my experience nlidate na mchaga mwaka mmoja.
now nikitaka kufanya chochote ni kuchukua tu mtaji na kuingia popote pale, alinifundisha ujasiri.

Siwatetei na wala sina tena demu wa huko, nawachana tu.

ukitaka kujua namna ya kupambana na life la mtaa kaa na demu wa mitaa hiyo tena kwa akili mbona machaka ya hela utayajua tu.

Mwanaume kitu hutakiwi kufanya ni kudate na mke wa mtu au kudate na demu aliyeshindwa kwenye mahusiano kadhaa, huwezi kufanikiwa mahali wanaume wenzako wameshindwa.😂😂
 
Kaskazim gan unayozungumzia ?? Arusha?? Inawezekana Arusha ndio ukawa Mkoa wenye Vijana wa kiume na wakike, wapuuzi, wasopenda kazi, ndio Sababu Ushoga na Usagaji umetamalaki huko.

Wachaga? . Yes Wachaga hawataki mwanaume lelemama, wanataka mwanaume ngangari , ni wachapakazi, masuala ya Mapenzi hawayapi kipaumbele.

Tatizo ,Wanaua Wanaume.
 
Taratibu mkuu utawaua
 
Ukiona kinyume chake je
 
Kaskazim gan unayozungumzia ?? Arusha?? Inawezekana Arusha ndio ukawa Mkoa wenye Vijana wa kiume na wakike, wapuuzi, wasopenda kazi, ndio Sababu Ushoga na Usagaji umetamalaki huko.

Wachaga? . Yes Wachaga hawataki mwanaume lelemama, wanataka mwanaume ngangari , ni wachapakazi, masuala ya Mapenzi hawayapi kipaumbele.

Tatizo ,Wanaua Wanaume.
Ushoga upo kila mahali wewe
 
Hapo chini umemaliza Kila kitu
 
Hata mimi hua nashangaa
Et mwanaume anamtafuta mwanamke mwenye kipato....

Me nataka zero asie na kitu kabisaaa
 
4dddab0c3de83cb562bbd754b9d3fd44.jpg
4dddab0c3de83cb562bbd754b9d3fd44.jpg
 
Sio kwa ubaya lakini kusema wanawake wa kanda ya Kaskazini hawafai jua wewe ni mvivu unapenda mseleleko,
Wale ukiwatumia vizuri kutoboa kimaisha ni chap tu, hawazi mapenzi muda wote kama waliopo let say tanga hivi au dar.
shida ni unapata demu badala umtumie katika kufanikisha michongo yako kiakili bila yeye kujua wewe unawaza kumla tu sasa kwa nini asitake hela.

Sisi mbona tunao na wengine tunaoa, wana akili ya maisha wanapenda kujishughulisha usipo mwoneshea au kumoa uhuru wa kufanya kazi lazima atataka ulichonacho na akikipata anakivutia kwake. I speaking from my experience nlidate na mchaga mwaka mmoja.
now nikitaka kufanya chochote ni kuchukua tu mtaji na kuingia popote pale, alinifundisha ujasiri.

Siwatetei na wala sina tena demu wa huko, nawachana tu.

ukitaka kujua namna ya kupambana na life la mtaa kaa na demu wa mitaa hiyo tena kwa akili mbona machaka ya hela utayajua tu.

Mwanaume kitu hutakiwi kufanya ni kudate na mke wa mtu au kudate na demu aliyeshindwa kwenye mahusiano kadhaa, huwezi kufanikiwa mahali wanaume wenzako wameshindwa.😂😂
Paragraph ya mwisho uko sahihi ila paragraph zingine nataka nikwambie usiandike kitu ambacho hujawahi kukipitia au kushuhudia, mi Nina bamdogo kabisa kaoa mchagga aisee mpaka namuonea huruma yaani wachagga wamemtamalaki yaani, ndio sikatai ana maisha mazuri sema Sasa Hana sauti yaani.
 
Kaskazim gan unayozungumzia ?? Arusha?? Inawezekana Arusha ndio ukawa Mkoa wenye Vijana wa kiume na wakike, wapuuzi, wasopenda kazi, ndio Sababu Ushoga na Usagaji umetamalaki huko.

Wachaga? . Yes Wachaga hawataki mwanaume lelemama, wanataka mwanaume ngangari , ni wachapakazi, masuala ya Mapenzi hawayapi kipaumbele.

Tatizo ,Wanaua Wanaume.
mkuu. Fafanua vizuri hayo maneno matatu ya mwisho kabla hajafika Gilly
 
Kaskazim gan unayozungumzia ?? Arusha?? Inawezekana Arusha ndio ukawa Mkoa wenye Vijana wa kiume na wakike, wapuuzi, wasopenda kazi, ndio Sababu Ushoga na Usagaji umetamalaki huko.

Wachaga? . Yes Wachaga hawataki mwanaume lelemama, wanataka mwanaume ngangari , ni wachapakazi, masuala ya Mapenzi hawayapi kipaumbele.

Tatizo ,Wanaua Wanaume.
Kweli kabisa , Hawa wanaua wanaume hakuna mfano ila ni wachache sana wanaoishi na wanaume kwa MUDA mrefu sana
 
Kaskazim gan unayozungumzia ?? Arusha?? Inawezekana Arusha ndio ukawa Mkoa wenye Vijana wa kiume na wakike, wapuuzi, wasopenda kazi, ndio Sababu Ushoga na Usagaji umetamalaki huko.

Wachaga? . Yes Wachaga hawataki mwanaume lelemama, wanataka mwanaume ngangari , ni wachapakazi, masuala ya Mapenzi hawayapi kipaumbele.

Tatizo ,Wanaua Wanaume.
Arusha ipi unazungumzia we msukuma wa bariadi?
 
Back
Top Bottom