Kuna Mtoto alizaliwa mwaka 2009 wazazi wake walikuwa waathirika na walifariki miaka minne baadae. Mtoto inasemekana hakupata maambukizi wakati wa kujifungua . Mtoto Sasa hivi yupo darasa la saba na anaonekana ana afya njema Tu.
Je ni Kweli kabisa waathirika wanaweza kujifungua Mtoto asie na...
Umofia kwenu wanajukwaa
Ni ajabu na raha kuona mamlaka zimeacha kupambania watu wake katika msingi wa kila agenda ya maadui wa taifa.
Hususani adui maradhi, sasa hivi UKIMWI ama HIV watu hawaogopi wamebuni njia ya kutumia mafuta ya nazi ambapo jinsia ke humiminiwa mafuta hayo insido (ukeni) na...
Niliwasikia kamati ya bunge ya mambo ya ukimwi ikishauri kwamba Dawa za kuzuia Mimba (P2) Ziuzwe pamoja na condom kama kifurushi!
Lakini utafiti wangu unaonyesha kwamba wanaotumia P2 hununua hizo dawa baada ya kufanya ngono, SIYO KABLA YA NGONO!
Yaani namaanisha ukiona amekuja pharmacy kununua...
Sophia Charles Odipo mwenye umri wa miaka 23 Mkazi wa Mseto amefariki baada ya kujinyonga chanzo kikiwa ni baada ya kwenda Hospitali kupima afya yake mara mbili na kugundulika ana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema "Huyu Dada alijinyonga...
Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza wamegundua virusi vipya vya Ukimwi wanavyoita ‘VB variant’.
Wanasema virusi hivyo ni hatari zaidi ikilinganishwa na vile vilivyokuwepo katika sehemu tofauti duniani tangu miaka ya themanini na vimekuwapo nchini Uholanzi kwa muda mrefu...
Kamati ya Bunge ya masuala ya UKIMWI imebaini ongezeko la matumizi ya vidonge vya kuzuia mimba kwa Wasichana hasa wenye umri kati ya miaka 10 – 24 ambapo licha ya kuwa na lengo la kuzuia mimba, matumizi ya vidonge hivi ambavyo vimekuwa vikiuzwa kwa bei ya chini imebainika yamechochea maambukizi...
Nimeikuta hii habari kwenye ukurasa wa Millard Ayo. Kirusi hicho ni hatari zaidi ya kile cha mwanzo.
Kinashambulia kinga za mwili mara mbili zaidi ya kile cha awali. Mpaka sasa hakuna dawa wala chanjo ya hicho kirusi.
Corona inasuasua, hapa tusipokuwa makini tutapatikana.
===
Wakati dunia...
Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) imesema asilimia 60 ya kundi balehe la vijana wa kati ya miaka 15-24 walipima na kujua hali zao kwa mwaka 2020.
Hata hivyo, katika matokeo hayo kundi la wasichana balehe na wanawake vijana lilikuwa mara mbili au tatu ya vijana wenzao wa kiume kwenye...
Kundi hili limekuwa likisahaulika sana kupewa elimu juu ya maambukizi yanavyoweza kuambukiza kwa njia ya kushirikiana vitu vyenye ncha kali huko mashuleni kama vile viwembe, pini nk.
Watoto hawa wadogo wapo wengine wana maambukizi waliyoyapata kutoka kwa wazazi wao na hawajui lolote kutokana...
Habari zenu
Ndugu zangu msichanganywe na kichwa cha habari na mkaja kunitusi na kunijibu ovyo,sio kwamba nataka nipate.Bali nataka Wataalam na wajuzi waje watupe elimu itakayotupatia faida mimi na nyinyi
Wengi tunaamini kwamba ngono ndio chanzo kikubwa cha maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi,hata...
Ni jambo la kumshukuru Mungu kutuumba tulivyo maumbile yetu yanafanya tusipate maambukizi ya Ukimwi kirahisi.
Tofauti na mwanamke ukimkojolea tu shahawa anao.
Wakuu habari!
Nilikuwa sehemu fulani jirani yetu kuna watu wengi wamekusanyika wanamuangalia Mchungaji Mwamposa kwenye TV.
Mara nasikia kuna mdada anatoa ushuhuda kuwa ameponywa V.V.U Kabisa.
Hili suala la Mwamposa kuponya V.V.U kwangu naona ni uongo wa mchana kweupe.
Au ni kweli??
Kwamba...
BALOZI BATILDA AONGOZA SIKU YA UKIMWI DUNIANI ILIYOADHIMISHWA KIMKOA WILAYANI SIKONGE.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi. Dkt. Batilda Buriani amewaongoza wananchi Mkoa wa Tabora katika kuadhimisha siku ya UKIMWI Duniani Kata ya Ipole Wilayani Sikonge na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali...
Leo ni Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambayo kitaifa yanafanyika mkoani Mbeya katika viwanja vya Ruanda Nzomve.
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho hayo ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan Suluhu.
Miongoni mwa wageni walio fika katika viwanja hivyo ni waziri mkuu Mh...
Na Pili Mwinyi
Ugonjwa wa UKIMWI bado unaendelea kuwa tatizo kubwa ambalo linaathiri afya ya mamilioni ya watu duniani. Ingawa dunia imepiga hatua kubwa katika miongo ya hivi karibuni, lakini malengo muhimu ya mwaka 2020 duniani bado hayajatimizwa.
Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya UKIMWI, kila...
Tuendelee kuwa na Tahadhari na Tusiojua afya zetu tukapime
NB: Kwanini positive results must be cofemd with uniGold & why not negative Result
Tuliokuwa nao tuwalinde Wengine na tuzingatie masharti.
Ukanda wa Afrika Magharibi na Kati unaweza kushuhudia ongezeko la maambukizi na vifo vinavyohusiana na VVU katika miaka mijayo kutokana na Huduma za Afya kuathiriwa na Mlipuko wa Virusi vya Corona.
UNAIDS imesema Huduma za Afya zimeathiriwa kwa kiasi kikubwa na janga hilo, hali iliyolazimu...
MHE.NDUGULILE (MB) ATEULIWA KAMATI YA SHERIA NDOGO NA MASUALA YA UKIMWI
Mbunge wa Kigamboni Mhe.Faustine Ndugulile Leo Oktoba 09,2021 amekuwa sehemu ya walioteuliwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai ambapo ameteuliwa kuwa Mjumbe kwenye Kamati ya Sheria Ndogo na...
Pima ➡️ Jitambue ➡️ Ishi
Unaweza kuishi na maambukizi ya VVU lakini usiwe na UKIMWI;
Inawezekanaje?
VVU ni Virusi Vinavyosababisha UKIMWI.
UKIMWI ni Upungufu wa Kinga Mwilini.
Mtu huambukizwa virusi vya Ukimwi (VVU) na sio UKIMWI, baada ya kupata maambukizi ya VVU asipochukua hatua ndio...
UKIMWI sio neno geni kwa watu wengi Tanzania. Watu wengi wameufahamu ugonjwa huu kutoka mashuleni, kwa ndugu au jamii kiujumla. Hali hii imefanya hofu juu ya ugonjwa wa UKIMWI kupungua kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na miaka ya 1980 ambapo ugonjwa huu ndio ulikua unaingia nchini na watu hawakua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.