ukimwi

  1. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania CHINA: Marekani iwajibike kwa kueneza UKIMWI Duniani na seasonal flue mwaka 2009 maana chimbuko la H1N1 na UKIMWI ni Marekani

    Je, Marekani imelipa hasara kutokana na majanga ya H1N1, UKIMWI na msukosuko wa fedha duniani? Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Geng Shuang amesema, Marekani inapaswa kufahamu kuwa adui wao ni virusi, sio China, kwani kama nchi nyingine, China pia ni mwathirika wa maambukizi ya virusi...
  2. N

    JamiiForums Tanzania UKIMWI jamani, UKIMWI!

    Watu tumefadhaika, tumepagawa. hasikiki Ukimwi mtaani! Wasio nao wameusahau na sasa tafadhali zote wamezielekeza kwa bwana Corona! Nina mashaka wenye nao na wenye roho mbaya wasije wakajifanya wamesahau na wao ikala kwa mtu. Tuwe macho, tusiusahau UKIMWI
  3. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Hatua mpya katika tiba kamili ya HIV wataalamu wagundua njia ya kuifanya kinga ya mwili kupigana na virusi vya UKIMWI

    Ever since antiretroviral treatments against HIV infection were introduced in 1996, scientists have eagerly been hunting for a cure for the disease. Although drugs can allow people who carry HIV to live normal, healthy lives, people who carry HIV have to take antiretroviral treatments for as...
  4. Influenza

    JamiiForums Tanzania Magic Johnson: Mcheza Kikapu mkali aliyekuwa na udambwi udambwi NBA. Aliyejitangaza kuwa na UKIMWI

    Earvin Johnson Jr maarufu kama Magic Johnson alizaliwa August 14, 1959, huko Lansing, Michigan, U.S. Alikuwa Mcheza Kikapu maarufu aliyeiongoza timu ya Los Angeles Lakers kushinda mataji matano ya Ligi Kuu ya Kikapu nchini Marekani ya National Basketball Association (NBA) Johnson alipata jina...
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada yangu ameniambukiza UKIMWI na hataki tena kunisaidia

    Mimi ni binti wa miaka 23, ni mwanafunzi wa mwaka watatu chuo. Nilikua naishi kwa dada yangu ambaye ndiyo alianza kunisomesha tangu nilipomaliza kidato cha sita baada ya wazazi wangu kufariki. Baada ya kuja kwa dada iniliona tabia mbaya za shemeji, alikua hahudumii chochote, anampiga sana dada...
  6. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Rai kwa Serikali na Bunge: Wanaoambukiza UKIMWI kwa kukusudia wahanisiwe, wapigwe chapa au wadungwe sindano za kutoa mihemuko

    Kuna mbaba mmoja wa kirangi mtaani ni mtu mwenye hela zake, lakini anaishi na virusi vya ukimwi (mwathirika). Huyu mzee kwa sababu ana vijihela, basi amekuwa akiwarubuni watoto wa kike yani hachagui wanafunzi, Malaya, wake za watu, ndugu zake, mpaka mashoga wote pakia. Huyu jamaa alishawahi...
  7. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Apewa adhabu ya kulipa shilingi milioni 5 kwa kumtangazia mtu kuwa ana UKIMWI

    A woman who exposed her friend’s HIV status has been ordered to pay her Sh 250,000 as compensation for damages. A special HIV and AIDS Tribunal mandated with handling such cases delivered the ruling last month. Court documents show that the claimant, identified as SNW, had been living with the...
  8. Bonde la Baraka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UKIMWI umemfyekelea mbali dogo msherati wa kutupwa wa miaka 22, sasa hana tumaini tena anasubiri kifo tu

    Huyu mtoto nimemfahamu mwaka jana alipokuja Dar kwa mjomba wake. Anaishi Dodoma, hana pesa wala uhandsome ila ni hatari. Wiki mbili tu alizoishi hapa Dar kwa mjomba wake kawatafuna sana mabinti. Kwa umri wake wa miaka 22 ana watoto 2 na mabinti 2 wanatazamia kujifungua watoto wake. Miezi...
  9. Cobra70

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ngono ilitaka kukatisha maisha yangu

    Wadau kheri ya mwaka mpya 2020! Nimeamua nijipinde mgongo kuandika ujumbe huu maana naona kizazi cha vijana wabichi kinaangamia huenda kwa kujua au kutojua. Mimi ni kijana niliyelelewa kwenye maadili ya kumcha Mungu na wazazi. Niliyaishi maisha hayo yakuwa na hofu ya Mungu hadi kufikia umri wa...
  10. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Unapaswa upime mara ngapi kuthibitisha majibu ya UKIMWI?

    Naomba kuuliza wataalam, unapaswa upime mara ngapi kujua kama una ukimwi. Jana nimempima mtu majibu yakaja positive ila yeye anasema kapima juzi ana negative, pia alipima last month alikua na negative. Tumeenda hospitali dokta akasema lazima majibu yathibitishwe na unigold test na kua hizi test...
  11. technically

    JamiiForums Tanzania Ukimwi

    Serikali naomba iweke utaratibu wa kuwagawia condom. Vijana wa kike na wa kiume kuanzia shuleni kama wanavyofanya kuwapa pedi. Maana hali ni tete jinsi wanavyoshiriki ngono zembe Hasa kipindi cha likizo,sikukuu na mvua kiukweli hali ni tete sana Niko mkoani niliyoyaona hali ni tete sana...
  12. akidaakidah

    JamiiForums Tanzania Majibu baada ya kupima UKIMWI

    Habari ndugu zangu maana Watanzania wote ni ndugu. Mimi ni mkazi wa Tanga na siku yangu ya kwanza ya maisha yangu kwenda kupima UKIMWI katka hospitali fulani. Nimeyakimbia majibu kwa kuwa na hofu ya kupata majibu. Je ni njia gani sahihi ya kupata majibu yangu? Na wewe unaweza kutoa ushuhuda...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asaini sheria ya Watanzania kujipima UKIMWI wenyewe

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Rais wa Tanzania, John Magufuli amesaini sheria ya Watanzania kujipima wenyewe Virusi vya Ukimwi (VVU). Novemba 12, 2019 Bunge la Tanzania lilipitisha marekebisho ya Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa VVU na Ukimwi yaliyoruhusu umri wa kupima virusi vya...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa VVU kwa vichanga wafanikiwa

    Utafiti wa vipimo vya awali vya Virusi vya Ukimwi(VVU) kwa vichanga waliozaliwa na akinamama wenye maambukizi umeonesha vipimo vipya vimefanya vizuri asilimia 100. Utafiti wa ‘BABY’ uliofanywa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kwa kipimo cha Early Infant...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna tabia naiona kwa Waathirika wengi wa VVU/ UKIMWI katika Hospitali kadhaa Dar. Je, kana faida gani?

    Sijajua kwa Mikoa mingine bali kwa Mkoa niliopo wa ‘ Wajanja ‘ na ambao Mimi GENTAMYCINE ndiyo nasema Mji Mkuu wa Tanzania (na siyo Dodoma ) kuna ‘ Kajitabia ‘ ka Kipuuzi nimeanza Kukaona na naona kanaanza Kuota Mizizi ambapo utakuta Muathirika wa VVU/ UKIMWI anaishi Mbagala lakini cha...
  16. Akili Unazo!

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mada za Ukimwi na Madhara ya Ngono nini Lengo lake?

    Wakubwa Shikamooni... Kwa takribani wiki sasa kumekuwa na mada mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwekwa humu kwa kuanisha jinsi gani Wadau humu wanavyoloweka na walivyo wakwale kwenye sekta nzima Ngono zembe. Nimekaa nimetafakari nikajiuliza hivi mleta Mada lengo lake nini? Ni kuaminisha Umma kuwa...
  17. TAWIK

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya UKIMWI

    Baada yakujionea takwimu za maambukizi ya ugonjwa mwezi huu sasa hebu tutete kidogo. Kiukweli serikali na mashirika yanahaha kupunguza ongezeko la maambukizi mapya ya UKIMWI kila kukicha lakini wapi. Licha ya kutoa elimu mbalimbali lakini bado somo halieleweki na hapa sasa hebu tuulizane tatizo...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Vigodoro ndio chanzo kikuu cha maambukizi mapya ya Virusi Vya UKIMWI uswahilini

    Ugumu wa maisha umefanya familia nyingi za uswahilini kushindwa kuelekeza maadili mema kwa watoto wao, watoto wanaishi kama watoto wa kuku aliyeanza kutetea, hili ni jambo linalofichwa, halielezwi wazi wazi. Tukitaka kuadhimisha siku ya Ukimwi ni lazima tuanzie ngazi ya chini kabisa, ni...
  19. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Acheni Mchezo na UKIMWI

    Kuna jamaa alikuwa rafiki yangu wakati nipo chuo miaka kadhaa iliyopita. Sasa kuna siku alilala na msichana bila kupima. Baada ya kumaliza ngono akawa amemsisitiza akapime baada ya mwezi halafu amtumie majibu, msichana akamwambia sawa. Kama mwezi mmoja hivi kupita jamaa alimkumbusha msichana...
  20. Dam55

    JamiiForums Tanzania Siku ya UKIMWI duniani na taharuki kwa WanaJF

    Habari wana Jamvi. Kwanza nimshukuru Mungu kwa kutupa uzima tena hadi wakati huu. Mambo mengi yametokea katika wiki hii lakini cha muhimu tuko hai basi tumshukuru Mungu. Nikienda kwenye mada moja kwa moja ni kwamba, katika wiki hizi mbili kuelekea siku ya leo ambayo ni siku ya UKIMWI duniani...
Back
Top Bottom