A woman who exposed her friend’s HIV status has been ordered to pay her Sh 250,000 as compensation for damages.
A special HIV and AIDS Tribunal mandated with handling such cases delivered the ruling last month.
Court documents show that the claimant, identified as SNW, had been living with the...
Huyu mtoto nimemfahamu mwaka jana alipokuja Dar kwa mjomba wake. Anaishi Dodoma, hana pesa wala uhandsome ila ni hatari. Wiki mbili tu alizoishi hapa Dar kwa mjomba wake kawatafuna sana mabinti.
Kwa umri wake wa miaka 22 ana watoto 2 na mabinti 2 wanatazamia kujifungua watoto wake. Miezi...
Wadau kheri ya mwaka mpya 2020!
Nimeamua nijipinde mgongo kuandika ujumbe huu maana naona kizazi cha vijana wabichi kinaangamia huenda kwa kujua au kutojua.
Mimi ni kijana niliyelelewa kwenye maadili ya kumcha Mungu na wazazi. Niliyaishi maisha hayo yakuwa na hofu ya Mungu hadi kufikia umri wa...
Naomba kuuliza wataalam, unapaswa upime mara ngapi kujua kama una ukimwi.
Jana nimempima mtu majibu yakaja positive ila yeye anasema kapima juzi ana negative, pia alipima last month alikua na negative. Tumeenda hospitali dokta akasema lazima majibu yathibitishwe na unigold test na kua hizi test...
Serikali naomba iweke utaratibu wa kuwagawia condom.
Vijana wa kike na wa kiume kuanzia shuleni kama wanavyofanya kuwapa pedi.
Maana hali ni tete jinsi wanavyoshiriki ngono zembe
Hasa kipindi cha likizo,sikukuu na mvua kiukweli hali ni tete sana
Niko mkoani niliyoyaona hali ni tete sana...
Habari ndugu zangu maana Watanzania wote ni ndugu. Mimi ni mkazi wa Tanga na siku yangu ya kwanza ya maisha yangu kwenda kupima UKIMWI katka hospitali fulani.
Nimeyakimbia majibu kwa kuwa na hofu ya kupata majibu. Je ni njia gani sahihi ya kupata majibu yangu?
Na wewe unaweza kutoa ushuhuda...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Rais wa Tanzania, John Magufuli amesaini sheria ya Watanzania kujipima wenyewe Virusi vya Ukimwi (VVU).
Novemba 12, 2019 Bunge la Tanzania lilipitisha marekebisho ya Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa VVU na Ukimwi yaliyoruhusu umri wa kupima virusi vya...
Utafiti wa vipimo vya awali vya Virusi vya Ukimwi(VVU) kwa vichanga waliozaliwa na akinamama wenye maambukizi umeonesha vipimo vipya vimefanya vizuri asilimia 100.
Utafiti wa ‘BABY’ uliofanywa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kwa kipimo cha Early Infant...
Sijajua kwa Mikoa mingine bali kwa Mkoa niliopo wa ‘ Wajanja ‘ na ambao Mimi GENTAMYCINE ndiyo nasema Mji Mkuu wa Tanzania (na siyo Dodoma ) kuna ‘ Kajitabia ‘ ka Kipuuzi nimeanza Kukaona na naona kanaanza Kuota Mizizi ambapo utakuta Muathirika wa VVU/ UKIMWI anaishi Mbagala lakini cha...
Wakubwa Shikamooni...
Kwa takribani wiki sasa kumekuwa na mada mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwekwa humu kwa kuanisha jinsi gani Wadau humu wanavyoloweka na walivyo wakwale kwenye sekta nzima Ngono zembe.
Nimekaa nimetafakari nikajiuliza hivi mleta Mada lengo lake nini? Ni kuaminisha Umma kuwa...
Baada yakujionea takwimu za maambukizi ya ugonjwa mwezi huu sasa hebu tutete kidogo. Kiukweli serikali na mashirika yanahaha kupunguza ongezeko la maambukizi mapya ya UKIMWI kila kukicha lakini wapi. Licha ya kutoa elimu mbalimbali lakini bado somo halieleweki na hapa sasa hebu tuulizane tatizo...
Ugumu wa maisha umefanya familia nyingi za uswahilini kushindwa kuelekeza maadili mema kwa watoto wao, watoto wanaishi kama watoto wa kuku aliyeanza kutetea, hili ni jambo linalofichwa, halielezwi wazi wazi.
Tukitaka kuadhimisha siku ya Ukimwi ni lazima tuanzie ngazi ya chini kabisa, ni...
Kuna jamaa alikuwa rafiki yangu wakati nipo chuo miaka kadhaa iliyopita. Sasa kuna siku alilala na msichana bila kupima. Baada ya kumaliza ngono akawa amemsisitiza akapime baada ya mwezi halafu amtumie majibu, msichana akamwambia sawa.
Kama mwezi mmoja hivi kupita jamaa alimkumbusha msichana...
Habari wana Jamvi.
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kutupa uzima tena hadi wakati huu. Mambo mengi yametokea katika wiki hii lakini cha muhimu tuko hai basi tumshukuru Mungu.
Nikienda kwenye mada moja kwa moja ni kwamba, katika wiki hizi mbili kuelekea siku ya leo ambayo ni siku ya UKIMWI duniani...
Siku ya UKIMWI Duniani huadhimishwa kila tarehe 01 Desemba ikitoa mwanya kwa kusherekea na kuunga mkono jitihada zinazofanyika Ulimwenguni za kuzuia maambukizi mapya ya Virusi Vya UKIMWI, kuongeza uelewa kuhusu UKIMWI na kuwafariji wale waishio na Virusi hivyo
Tangu Siku ya UKIMWI ilipoanza...
Ni katika kuwakumbusha wale waliosahau na kuwatahadharisha wale tu wasiojua kuwa vijana muwapo vyuoni kuweni makini usiingie katika suala la kufanya mapenzi na kijana mwenzio huku ukijiaminisha huyu ni mdogo na akakwambia hajawahi kufanya mapenzi kabla ukaingia kwenye hatari.Nawakumbusha kuwa...
Wakuu,
Tusizoee kupimana ndani bila elimu ya counseling. Jana kidogo mtu anifie, mimi kuanzia leo tutaenda kupimana hospitali habari za ndani hapana aiseee.
Usiombe yakukute
Ripoti kuhusu watoto na UKIMWI iliyotolewa na Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF, inaonyesha kuwa watoto na vijana karibu 320 wanakufa kila siku kutokana na sababu zinazohusiana na ugonjwa huo.
Chanzo kikubwa cha vifo hivyo ni upatikanaji mdogo wa matibabu ya ARV na ukosefu...
Waendesha Pikipiki maarufu Bodaboda hatarini kupata maambukizi ya VVU kutokana na Kushawishika kwa kile wanachodai kuwa baadhi ya abiria wao wa kike huwalazimisha kufanya ngono zembe kutokana na Kutokuwa na Nauli za Kuwalipa na Kuwaambia Wamalizane.
Pengine serikali ianzishe utaratibu wa kuwa...
Bunge limefanya marekebisho ya sheria ya udhibiti wa Virusi vya Ukimwi (VVU) na UKIMWI, ambapo pamoja na mambo mengine imeipa mahakama kutoa amri ya fidia kwa mtu ambaye ameambukizwa VVU kwa makusudi
Pia, Bunge limepitisha umri wa mtoto kujipima VVU ni 15, huku wabunge wa upinzani wakitaka iwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.