UKIMWI jamani, UKIMWI!

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,683
Watu tumefadhaika, tumepagawa. hasikiki Ukimwi mtaani!

Wasio nao wameusahau na sasa tafadhali zote wamezielekeza kwa bwana Corona!

Nina mashaka wenye nao na wenye roho mbaya wasije wakajifanya wamesahau na wao ikala kwa mtu.

Tuwe macho, tusiusahau UKIMWI
 
Nenda sinza pale kati kuna loji moja ya waiti hivi ukiingia apo watu wamejitoa loki. Ni kama dunia hii hamna hili gonjwa maana watu wanajilia tu. Ukipita korido ni fulu mishindo inakitwa apo au nenda pale chama buguruni kuna baa ya ovyoovyo karibu na stendi ni balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naipata ile bar, ni kama 2 in 1 maana ziko mbili pale. halafu kituo cha polisi kipo karibu tu pale
 
Back
Top Bottom