Je, kuna watu ambao hawaambukizwi UKIMWI?

Capitano

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
1,959
1,633
Kama mada inavyojipambanua kuwa ni swali. Nimekutana na wadau wa masuala ya afya wakijadili kuwa ati kuna binadamu wana ukosefu wa kitu gani sijui kwenye damu yao na hivyo kuwafanya hata wakikumbana na virus wale HIV bado hawataweza kuugua UKIMWI.

Wataalamu hapa JF naomba mtufafanulie kama ni kweli jambo hili lipo? Na kama ni kweli watu wa namna hiyo wanajitambuaje kirahisi au huwa wana dalili zipi?
 
Ni kweli.. Hao watu wapo lakini ni wachache sana

Zipo protein receptors ambazo kirusi cha ukimwi huitaji ili kiweze kuishi kwenye cell ya mwanadamu na kitu ambacho hao watu huwa hawana kinaitwa CCR-5..
Kama mada inavyojipambanua kuwa ni swali. Nimekutana na wadau wa masuala ya afya wakijadili kuwa ati kuna binadamu wana ukosefu wa kitu gani sijui kwenye damu yao na hivyo kuwafanya hata wakkikumbana na virus wale HIV bado hawataweza kuugua ukimwi. Wataalamu hapa JF naomba mtufafanunulie kama ni kweli jambo hili lipo? na kama ni kweli watu wa namna hiyo wanajitambuaje kirahisi au huwa wana dalili zipi?
 
Ni kweli.. Hao watu wapo lakini ni wachache sana

Zipo protein receptors ambazo kirusi cha ukimwi huitaji ili kiweze kuishi kwenye cell ya mwanadamu na kitu ambacho hao watu huwa hawana kinaitwa CCR-5..
kwenye stage ya mwisho ya kirus cha hiv ni ku utelize proteins ambazo itaamfanya azaliane kwa wingi,stage hii inaitwa protease stage. so inapozuiliwa hakuna kinachiendelea kwa virus
 
Sijui na mie nikapime hiyo receptor! Je waweza kupima hata zahanati ya kawaida?
 
Kienyeji.

Kabla ujaingiza li mguu la mtoto.. mchezee kwanza mwenzi wako mbaka kukosekane ugumu wa kunyandua . Kisha limguu lipake mate au mafuta lipendeze afu piga kiboss dakika zako 6 jifute lala.

#ngoma utaisikia kwenye wasafi fm tu
 
Weng tunapata ngoma kwasababu ya kula K kwa sifa,lakin ukiipga kboss huwez pata
 
Nimefurahi kwanza kuona uzi huu hapa kwa mara ya kwanza mtu anayetaka kujua zaidi kuhusiana na watu ambao hawapati ukimwi.
Nikiri kwamba mimi ni mmoja wapo na niliwahi kuweka uzi hapa kuulizia kama kuna watu wa desighn yangu ili tuweze kujuana na kujaribu ku share mambo mbalu mbali.

Nisiende mbali kikawaida kuna watu wa aina tatu ambao mungu kawapendelea (naona ni neno zuri kulitumi) ambao wana uwezo mzuri wa kuvi ongoza virusi vya ukimwi niatelezea kiufupi.

1.long term non progressors.
Hawa ni wale ambao wanapata virusi lakini huwa virusi havikui kwa hali yoyote ile japo vinaendelea kubaki ndani ya damu.hutawahi kusikia akimeza dawa(ARV) au akiumwa.

2.short term non progressors.
Hawa ni wale wanapata virusi lakini mashambulizi yake yanakuwa ya taratibu mno na huwa hawaumwi mara kwa mara na pia huwa hawategemei sana dawa (ARV).

3.Innate resistance to HIV.
Hawa ndo tunasema wamepewa baraka zote (nilipima hospitali moja hapa hapa ndani ya nchi inapatikana kaskazini mwa tanzania , na ndiyo hospitali pekee wanayohusika na maswala ya genetics kwa tanzania , nikipata muda ntawek ni kitu gani kilinifanya nikafika huko).
Hawa huwa wanapata virusi ila huwa vinaondoka baada ya muda fulani kwa maana kwenye cell zao huwa hawana vipokezi( receptor proteins) hivyo kuvifanya virusi vishindwe kuingia ndani ya cell na kujigawa .hii imetokana na wao kuwa na mutation kwenye delta 3 gene kwenye miili yao .

Na huwa wamaumwa magonjwa mengine mengine ila si ukimwi au ugonjwa wa kirusi unaotegemea receptor kuingia mwilini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado utapata maambukizi ya magonjwa mengine yanayisababushwa na bacteria ndom bado inaumuhimu wake..
Kwa hiyo ukipimwa ukakutwa na hayo mapungufu wewe condom kwako mwiko!!

Hiyo ndiyo inaitwa kilema faida. Kama mbunge anaeenda bungeni kwa sifa ya ulemavu.
 
Kama mada inavyojipambanua kuwa ni swali. Nimekutana na wadau wa masuala ya afya wakijadili kuwa ati kuna binadamu wana ukosefu wa kitu gani sijui kwenye damu yao na hivyo kuwafanya hata wakikumbana na virus wale HIV bado hawataweza kuugua UKIMWI.

Wataalamu hapa JF naomba mtufafanulie kama ni kweli jambo hili lipo? Na kama ni kweli watu wa namna hiyo wanajitambuaje kirahisi au huwa wana dalili zipi?
Wapo ila haiwezi kuwa wewe.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom