Niliishi kwa kuamini nina UKIMWI kwa zaidi ya miaka 9, asante MUNGU

makilo

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
2,399
4,688
2000 mwaka niliomaliza shule ya msingi na kama ilivyo kwa sisi wahenga wa miaka hiyo ilikuwa kuna kitu kinaitwa pikiniki.(Kwa wanafunzi mliomaliza shule mnaenda sehemu kusheherekea kumalizia elimu ya msingi (haijalishi utakuwa mkulima au utaendelea na elimu ya seco lazima ukasheherekee muhimu uwe umechangia elfu 3 tu.)

Mgololo pr school miaka hiyo, basi bwana baada ya kusheherekea pamoja na walimu usiku kunakuwa na disco ambalo wahusika (wahitimu wa la 7 mtakuwa mmeliandaa na litafanyika mabaoni usiku Vila) hili ni bonge la ukumbi Mgololo nzima.(mifindi mgololo) basi usiku Kama kawa nikajongea na ndugu zangu wauni mpka maeneo ya ukumbini kwa vile watoto wa site walikuja na videm vyao ambavyo wanakuwa washawapikia majungu ya kila aina kwa sisi watoto wa Vila tukawa tunaonekana watoto wa kijijini vitoto vinavyotoka site ushuani hawachangamani na sisi. Acha nijikubali kidogo. Kwa vile Mgololo nzima Mimi ndio nilikuwa mwanafunzi ninaetoka Dar wakawa wanaamini ndio ninajua nyimbo zinazokwenda na wakati.(shavu la udj likawa langu)

Wakati ninapiga mziki enzi hizo zeze ya tid Mara nakupenda mpenzi, Mara kikongwe, Mara mapepe ya kingwendu Mara akina merry Mara puf dady Mara enika barid Kali Mara mb doggy.disco nilikuwa naliendesha mputa mnoo Kuna mdada kila mtu alienda kumbambia anamkimbia nikaona mi mtoto wa mjini yule halali yangu(kumbe naukimbilia Moto) nikamuachia Mr dj msaidizi na kumwambia piga nyimbo hii na hii ili niende kumteka binti HIV +.kweli bana nikajitosa kwa mdada mrembo nikaanza kumvuta kwa swanga zangu enzi hizo ukicheza lazima ushike chini ya zipu mtoto kajaa(kumbe nae alikuwa ananiwinda kitambo) mtoto akajaa full kumbambia Mara miromans mikisi ya kufa mtu.huku chini abdara kichwa wazi ananiambia fanya mtoke mi nataka kutapika.nimemuimbisha mtoto kajaa kila ninachomwambia anajibu wewe tu.nikafanya mchakato wa makondom tukasepa gheto.😔😔😔😔 Mdada alikuwa mzur hatari washkaji kibao wakawa wananyemelea kuja kuskiza mishindo.chabo hazikuwepo enzi hizo maana mapenzi ya kwenye taa hayakuwepo tulikuwa tunaoneana aibu. Mtoto kasaula na mie nikasaula nikavaa condom yangu nikaingia kazini.enzi hizo damu inachemka saa nzima unatafuta bao la Kwanza,sio watoto wa skuizi dakika mbili Chari.

Piga piga piga piga nikagika mshindo alfajir kwa vile nilikuwa naish na washkaji asubuh Nika mtimua ki CIA.bwanaweeh mgololo ndogo asubuh ananifata mshkaji anaongea mengi ebwana vipi yule demu umemdinya peku? Hapana na condom dah afadhari anamiwaya yule AKA umeme,nikashukuru nilitumia Kinga Ila bado Nina wasi wasi.siku mbili mbele demu anatangaza me bwana wake nikawa namsaka nimpasue,aah sararaah skuiyo tukamiti maeeneo ya kirabuni Christmas nikaona hapa hapa nikajikuta muhuni nikaleta ambushi. Jamani jamani!!! Mtoto wa kiume usithubutu kuamini kwamba mtoto wa kike ukibishana nae utamuweza maana anaweza kusema mtu mwenyewe hudindi mpka nikutie vidole na watu wanaamini.maana mtoto wa kike huwezi kumtusi tusi likawa jipya maskioni kwa wapambe..

Nikamvaa we unatangaza umenipa ukimwi na wakati tulitumia condom akajibu ukunyonya ulimi huu? Mara si nilikulove bite wewe? Jiandae kwenda kupanga foleni ya dawa, Yani wale wapambe walikuwa wananisapot wote wakawa upande wa yule Dada nikaona kumbe Majamaa wanafki Hawa.
Basi maisha yakaendelea Kama miezi 7 mbele akaja akafa (maana ukimwi wa zamani ulikuwa ni fire hatari.)

Tokea siku amenitamkia maneno Yale niliishi kwa kuamini nina virusi vya ukimwi na kwa kuwa kusema kweli kweli kweli kutoka moyoni nilikuwa natongozwa na wasichana sikuamini katika kukataa nikiamini nawarudishia ukimwi wao, nikawa ni full kuwadinya bila kinga.

Nikatembea na mademu wengi mnooo mpaka ikawa narudia kuwatongoza upya maana nilikuwa nawasahau. Mpaka narudi Dar baada ya kumaliza masomo yangu nikawa mdangaji nashinda Kijiji beach, sanset South Beach cjui beach gani cjawah kufika nikawa nawatega mademu wenye nazo ili niwachuche niwachubue niwaambukize niwarudishie ukimwi wao😔😔😔😔. Nikaishi zaidi ya miaka 9 nikiamini ninaishi na maambukizi.

Namshukuru MUNGU nikaja mpa mimba mdada m1 kila nilikwambia atoe hataki, akaanza kliniki na kipindi hicho wakawa wameweka kanuni lazima kupimwa ukimwi kwa baba na mama wa mtoto mtarajiwa, nilipiga vyenga nyingi mnooo Mara ooh kawaambie mmeo dereva wa maroli amesafiri yupo Congo Mara nipo Dafur, Mara nipo Burundi nimetekwa na waasi ila ikawa hakubaliwi.

Siku nikajitafakari sana mimi ni muuni ninaeamini kuamka usiku na kusali. Ikawa inanijia ndoto natakiwa kuwa baba, nikakata shauri ukimwi kitu gani mbona mpaka viongozi wanao? Pia inawezekana mtoto akazaliwa bila maambukizi kwanini ujinga wangu nikamuumize kiumbe asie na hatia?

Aaah Kama bwai bwai nikaenda na bibie hosptali tukachukuliwa vipimo majibu yakarudi wote tupo sawa macho yakanitoka😲😲😲😲 nikajua huu ni uongo tu. Nikaenda vituo vingine ndani ya hiyo hiyo siku 1 majibu yakaonesha nipo - sina maambukizi nikajua lao moja hawa wamewasiliana akija Makilo mwambieni yupo -.

Miezi 6 mbele bibie uchungu tukampeleka Temeke pale ikatakiwa apimwe upya ikawa pia hana maambukizi. Temeke akapewa rufaa Muhimbili kule Napo wakaleta ujuaji wao ooh na hapa unatakiwa tujiridhishe wakampima Tena majibu ikawa - siku alivyojifungua ikawa unatakiwa damu Kama huna hela yakulipia ikatolewe kila ninae mpigia ananichenga yule mshamba Dr akaniambia tafuta mtu mmoja na wewe mkatoe.

Nafika kule nawao wanaleta mambo ya kupimana nikaona yale yaleee kutiana simanzi Sasa huku. Ninapiga moyo konde nikaenda kuchangia nafika pale Dr wa pale nae akaanza kunitishaa mambo mengi maneno mengi ujuaji mwingi.

Nashukuru MUNGU kwa kweli majibu yangu yalikuwa Safi. Tokea siku hiyo wakati huo mpka leo ngono zembe kwangu marufuku na nina watoto wawili sasa na wa tatu yupo njiani.
Wakuu ukimwi noma ukimwi hatari.
 
2000 mwaka niliomaliza shule ya msingi,na Kama ilivyo kwa sisi wahenga wamiaka hiyo ilikuwa Kuna kitu kinaitwa pikiniki.(kwa wanafunzi mliomaliza shule mnaenda sehemu kusheherekea kumalizia elimu ya msingi (haijarishi utakuwa mkulima au utaendelea na elimu ya seco lazima ukasheherekee muhimu uwe umechangia elfu 3 tu.) Mgololo pr school miaka hiyo.basi bwana baada ya kusheherekea pamoja na walimu usiku kunakuwa na disco ambalo wahusika (wahitimu wa la 7 mtakuwa mmeliandaa na litafanyika mabaoni usiku Vila) hili ni bonge la ukumbi mgololo nzima.(mifindi mgololo) basi usiku Kama kawa nikajongea na ndugu zangu wauni mpka maeneo ya ukumbini kwa vile watoto wa site walikuja na videm vyao ambavyo wanakuwa washawapikia majungu ya Kira Aina kwa sisi watoto wa Vila tukawa tunaonekana watoto wa kijijini vitoto vinavyotoka site ushuani hawachangamani na sisi. Acha nijikubali kidogo.kwa vile mgololo nzima Mimi ndio nilikuwa mwanafunzi ninae toka dar wakawa wanaamini ndio ninajua nyimbo zinazokwenda na wakati.(shavu la udj likawa langu)

Wakati ninapiga mziki enzi hizo zeze ya tid Mara nakupenda mpenzi,Mara kikongwe,Mara mapepe ya kingwendu Mara akina merry Mara puf dady Mara enika barid Kali Mara mb doggy.disco nilikuwa naliendesha mputa mnoo Kuna mdada kila mtu alienda kumbambia anamkimbia nikaona mi mtoto wa mjini yule halali yangu(kumbe naukimbilia Moto) nikamuachia Mr dj msaidizi na kumwambia piga nyimbo hii na hii ili niende kumteka binti HIV +.kweli bana nikajitosa kwa mdada mrembo nikaanza kumvuta kwa swanga zangu enzi hizo ukicheza lazima ushike chini ya zipu mtoto kajaa(kumbe nae alikuwa ananiwinda kitambo) mtoto akajaa full kumbambia Mara miromans mikisi ya kufa mtu.huku chini abdara kichwa wazi ananiambia fanya mtoke mi nataka kutapika.nimemuimbisha mtoto kajaa kila ninachomwambia anajibu wewe tu.nikafanya mchakato wa makondom tukasepa gheto.😔😔😔😔 Mdada alikuwa mzur hatari washkaji kibao wakawa wananyemelea kuja kuskiza mishindo.chabo hazikuwepo enzi hizo maana mapenzi ya kwenye taa hayakuwepo tulikuwa tunaoneana aibu. Mtoto kasaula na mie nikasaula nikavaa condom yangu nikaingia kazini.enzi hizo damu inachemka saa nzima unatafuta bao la Kwanza,sio watoto wa skuizi dakika mbili Chari.

Piga piga piga piga nikagika mshindo alfajir kwa vile nilikuwa naish na washkaji asubuh Nika mtimua ki CIA.bwanaweeh mgololo ndogo asubuh ananifata mshkaji anaongea mengi ebwana vipi yule demu umemdinya peku? Hapana na condom dah afadhari anamiwaya yule AKA umeme,nikashukuru nilitumia Kinga Ila bado Nina wasi wasi.siku mbili mbele demu anatangaza me bwana wake nikawa namsaka nimpasue,aah sararaah skuiyo tukamiti maeeneo ya kirabuni Christmas nikaona hapa hapa nikajikuta muhuni nikaleta ambushi. Jamani jamani!!! Mtoto wa kiume usithubutu kuamini kwamba mtoto wa kike ukibishana nae utamuweza maana anaweza kusema mtu mwenyewe hudindi mpka nikutie vidole na watu wanaamini.maana mtoto wa kike huwezi kumtusi tusi likawa jipya maskioni kwa wapambe..

Nikamvaa we unatangaza umenipa ukimwi na wakati tulitumia condom akajibu ukunyonya ulimi huu? Mara si nilikulove bite wewe? Jiandae kwenda kupanga foreni ya dawa,Yani wale wapambe walikuwa wananisapot wote wakawa upande wa yule Dada nikaona kumbe Majamaa wanafki Hawa.
Basi maisha yakaenderea Kama miezi 7 mbele akaja akafa (maana ukimwi wa zamani ulikuwa ni fire hatari.)

Tokea siku amenitamkia maneno Yale niliishi kwa kuamini Nina virusi vya ukimwi na kwa kuwa kusema kweli kweli kweli kutoka moyoni nilikuwa natongozwa na wasichana sikuamini katika kukataa nikiamini nawarudishia ukimwi wao.nikawa ni full kuwadinya Bira kinga.
Nikatembea na mademu wengi mnooo mpka ikawa narudia kuwatongoza upya maana nilikuwa nawasahau.mpka narudi daar baada yakumaliza masomo yangu nikawa mdangaji nashinda Kijiji beach,sanset South Beach cjui beach gani cjawah kufika nikawa nawatega mademu wenye nazo ili niwachuche niwachubue niwaambukize niwarudishie ukimwi wao😔😔😔😔.
Nikaishi zaidi ya miaka 9 nikiamini ninaish na maambukizi.
Namshukuru MUNGU nikaja mpa mimba mdada m1 kila nilikwambia atoe hataki.aakaanza kriniki na kipindi hicho wakawa wameweka kanuni lazima kupimwa ukimwi kwa baba na mama wa mtoto mtarajiwa.nilipiga vyenga nyingi mnooo Mara ooh kawaambie mmeo dereva wa maroli amesafir yupo Congo Mara nipo dafur,Mara nipo Burundi nimetekwa na waasi,Ila ikawa hakubaliwi.siku nikajitafakari Sana Mimi ni muuni ninae amini kuamka usiku na kusali.ikawa inanijia ndoto natakiwa kuwa baba,nikakata shauli ukimwi kitu gani mbona mpaka viongozi wanao? Pia inawezekana mtoto akazaliwa Bira maambukizi kwanini ujinga wangu nikamuumize kiumbe asie na hatia? Aaah Kama bwai bwai nikaenda na bibie hosptali tukachukuliwa vipimo majibu yakarudi wote tupo sawa macho yakanitoka😲😲😲😲 nikajua huu ni uongo tu.nikaenda vituo vingine ndani ya hiyo hiyo siku 1 majibu yakaonesha nipo - sina maambukizi nikajua lao moja Hawa wamewasiliana akija makilo mwambieni yupo -.miezi 6 mbele bibie u chungu tukampeleka temeke pale ikatakiwa apimwe upya ikawa pia hana maambukizi.temeke akapewa rufaa muimbili kule Napo wakaleta ujuaji wao ooh na hapa unatakiwa tujilizishe wakampima Tena majibu ikawa - siku alivyojifungua ikawa unatakiwa damu Kama huna hela yakulipia ikatolewe kila ninae mpgia ananichenga yule mshamba Dr akaniambia tafuta mtu mmoja na wewe mkatoe.
Nafika kule nawao wanaleta Mambo yakupimana nikaona Yale yaleee kutiana simanzi Sasa huku.
Ninapiga moyo konde nikaenda kuchangia nafika pale Dr wapale nae akaanza kunitishaa Mambo mengi maneno mengi ujuaji mwingi.
Nashukuru MUNGU kwa kweli majibu yangu yalikuwa Safi. Tokea siku hiyo wakati huo mpka leo ngono zembe kwangu marufuku.na Nina watoto wa wili Sasa na wa tatu yupo njiani.
Wakuu ukimwi noma ukimwi hatari.
Zingatia nidhamu ya uandishi nyuma ya keyboard. This is Jf lugha za kihuni peleka Fb.
 
Back
Top Bottom