Jamii iliyo athirika sana Na UKIMWI kwa wazungu ni gay community. Wanapata matibabu na sasa hivi research zimeonyesha kuwa waliofubaza vidudu hawawezi kuambukiza wengine hivyo si lazima kumwambia one night stand kuwa umeukwaa. Ni lazima kumfahamisha anaetaka kufunga ndoa na wewe.Naomba kuuliza hivi wazungu nao wanaathirika kwa UKIMWI? Maana huwasisikii habari zao kuwa wanaugua, na kama wanaugua mbona habari zao hazisikiki kama huku kwetu AFRICA.
Au wao wanapewa CHANJO wanapozaliwa?
Sorry ni matibabu gani wanayo pata huku sisi tunajua kuna dawa za kufubaza tuJamii iliyo athirika sana Na UKIMWI kwa wazungu ni gay community. Wanapata matibabu na sasa hivi research zimeonyesha kuwa waliofubaza vidudu hawawezi kuambukiza wengine hivyo si lazima kumwambia one night stand kuwa umeukwaa. Ni lazima kumfahamisha anaetaka kufunga ndoa na wewe.
Ni ARV’s tu, mwaka 2008 ziliboreshwa sana. Kwa waliofanikiwa kufubaza vidudu wanaishi maisha ya kawaida kama wengine wote. Wanapata ajira, wanaoa na kuolewa, wanakua familia na maisha yanasonga.Sorry ni matibabu gani wanayo pata huku sisi tunajua kuna dawa za kufubaza tu
Kwamba hiyo ni dhahiri kuwa wazungu wanajali sana usalama katika kujamiana ambayo ni moja ya njia kubwa ya kuukwaa ukimwi
Usalama gani unao uzungumzia hapa... Kufanya ngono kinyume na maumbile au?Sorry ni matibabu gani wanayo pata huku sisi tunajua kuna dawa za kufubaza tu
Kwamba hiyo ni dhahiri kuwa wazungu wanajali sana usalama katika kujamiana ambayo ni moja ya njia kubwa ya kuukwaa ukimwi
Kuna member kasema gay community ndo waloathirika zaidi ktk jamii ya wazungu... So nikajua the rest wanajilinda sana labda kwa kuzingatia kupima kabla HIVUsalama gani unao uzungumzia hapa... Kufanya ngono kinyume na maumbile au?
Soma hapa... Alafu uniambie why there is a rise of other STDs but not H.I.V!
How Syphilis Sneaked Up on Americans
View attachment 1429982
Sent using Jamii Forums mobile app
OK nakupata.... ARV zao nizakiwango cha juu.ARV ziko tofauti na hizi za kwetu tunazoletewa.
Pia wanavimeza kwa wiki mara moja, wengine kwa mwezi mara moja na wengine pia wanapiga mara moja kwa miezi mitatu.
Sent using Jamii Forums mobile app