Mchoraji King Kinya anataka kutoa ujumbe gani kwetu?

Mchoraji King Kinya anataka kutoa ujumbe gani kwetu?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,121
Reaction score
31,644
IMG_20200729_214903.jpg

Katuni hii inatoa ujumbe gani kwa watanzania?
 
Huyo lissu anaenda uwanjani na usafiri wake, ila manyang'au wakafanya yao
 
Anaenda kufanya mazoezi ya siasa msibani. Si alikuwa likizo ya siasa huko ng'ambo? Ndio one..two.. taifa msibani.
 
Hapo lisu anajiona yupo mbali kisiasa lakini, msibani tuu kashindwa kufika. Kwa maana nyingine mtazamo wake juu ya status yake(kisiasa) ndani ya nchi yupo juu lakini kihualisia haipo hivyo.
 
Yaani hawezi kuja msibani maana usafiri wenyewe ni wa kujifunzia mtoto kutembea
 
Ujumbe unaonesha goti lake la kulia haliwezi kukunjika. Pia unaonesha kichwa chake hakiko vizuri. Hivyo he is physically and mentally unfit for the post of president! Ova
 
1. Njia ya kwenda msibani iko wazi.
2. Nia ya kwenda msibani ipo
3. Yuko ndani ya chama(Nia yake sio muhimu kuliko chama)
4. Lengo la kutumia MSIBA kisiasa(baiskeli ya mazoezi) halikumfikisha popote.
 
1. Njia ya kwenda msibani iko wazi.
2. Nia ya kwenda msibani ipo
3. Yuko ndani ya chama(Nia yake sio muhimu kuliko chama)
4. Lengo la kutumia MSIBA kisiasa(baiskeli ya mazoezi) halikumfikisha popote.
Ila ni lengo baya sana ...leo tunaambiwa kaenda karantini
 
Kwamba lisu anaenda msibani na chombo kisichoweza kumuwaisha, lazima achelewe akute uwanja umefungwa
 
Back
Top Bottom