Baby mama wa Rayvanny Fahyvanny amechapisha ujumbe unaoashiria kuwa anaumwa

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Aug 30, 2021
630
1,245
Baby mama wa Rayvanny Fahyvanny ameacha maswali miongoni mwa shabiki zake kwenye mitandao tofauti ya kijamii.

Hii ni baada ya kusema kuwa anateseka kwenye chapisho lake la hivi punde ambalo limesambaa mitandaoni.

Kulingana na chapisho hilo ambalo Fayhma alisambaza kupitia akaunti yake ya Instagram, mwanadada huyo aliwaeleza shabiki zake kuwa anaumwa sana, jambo ambalo watumiaji wa mitandao hawawezi kuacha kulizungumzia.

"Naumwa jamani!" Ameandika Fayhma.

Ujumbe huu aliochapisha hivi punde Fahyvanny akisema kuwa anaumwa umeenea kwenye mitandao tofauti ya kijamii nakuzua hisia tofauti kwa sasa.

Shabiki zake wamekuwa wakimuliza Fahyvanny kwa nini anaumwa huku, wengine wakionesha hisia za kufurahishwa na taarifa hiyo.

Msanii Rayvanny na Fahyvanny walitengana mapema mwaka jana huku kutengana kwao kukizua mdahalo mkubwa mitandaoni.

unnamed (1).jpg
 
Kuna mambo hata sio ya kuyawekea headline jamani duh!
Hili nalo ni jambo la kuliwekea headline? 🙄

Sasa kuumwa si kila mtu huwa anaumwa?
Halafu Fahyma kuandika anaumwa ni kawaida,anaweza kupost anaumwa halafu baada ya masaa mawili akajipost anaimba nyimbo ya kihindi teh!

Yule na mastar wetu wanapenda kupost kila kitu
 
View attachment 2069656
Ninaumwa kichwa..

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Asiumwe kwani Yee jalala? Jalala ndio hupokea uchafu was kila aina na bado halishikwi na magonjwa
 
Kuna mambo hata sio ya kuyawekea headline jamani duh!
Hili nalo ni jambo la kuliwekea headline?

Sasa kuumwa si kila mtu huwa anaumwa?
Halafu Fahyma kuandika anaumwa ni kawaida,anaweza kupost anaumwa halafu baada ya masaa mawili akajipost anaimba nyimbo ya kihindi teh!

Yule na mastar wetu wanapenda kupost kila kitu
Fahymah ni mchekeshaji au star wa nini uko Dar?
 
Back
Top Bottom