ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Hata wakati zinaingia simu janja (smartphone) tuliaminishana ujinga kwamba ni za mpinga Kristo, zinanyonya damu na kuleta kansa ya vidole

    Wachungaji ni walewale, wadau ni walewale, wenye midomo ya kusemea wenzao! Niliwahi kusema hapa! Na narudia tena Tatizo la Watanzania tukiwa maarufu au viongozi au wachungaji ni kujidai tunajua kila kitu! Kiongozi wa siasa ndiye msemaji wa afya, kiongozi wa siasa ndiye mshauri wa ujenzi...
  2. Yoranda

    Ukijengea nyumba kwa hela ya kuhemea ni ujinga

    Eti jameni mume wangu amejenga kijumba haijaisha bado. Tunakula dagaa na nyama mara moja moja, Je anatesaje wanae? Kwa kuwa ni kweli ujenzi hauishi siku moja, sawa ujinga unakujaje hapo
  3. M

    Ujinga wa wafanyakazi wa NSSF umevuka mipaka

    Customer care zero. Ukiuliza maswali yanatoa majibu ya kipuuzi tu. Hii nchi ngumu sana. Hii sheria ya kuchangishana kwa lazima wakati ukiachishwa kazi hawataki kukupa hela yako ni ya kipumbavu.
  4. J

    Sijashangaa RC Chalamila na DC Kihongosi kuwachapa bakora wananchi, Wahehe hawatakagi ujinga!

    Ikumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM. Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa mwenyekiti wa UVCCM. Kwa kawaida siasa za Iringa bila bakora, utemi, mikwara na vitisho huwa hazinogi kwa...
  5. Red Giant

    Wabongo wakijisifu ujinga

    Kwenye mada. Umewahi kutana au kusikia wabongo wakijisifu ujinga? Sijui ni kutojua au sijui ni nini? Mi nawakutaga wa hivi. 1. Mi mvivu sana kunywa dawa, yaani si malizagi kabisa. Wamenisema wameacha wenyewe. Hapo anongea kwa sifa. Hajui kuwa kutomaliza dawa kuna madhara makubwa na si jambo la...
  6. battawi

    Bila Katiba mpya, Upigaji kura hauna maana yeyote

    Ni miaka 27 tokea mfumo wa vyama vingi urudishwe tena Tanzania. Ulikuwepo kablaya Uhuru na mara tuu baada ya Uhuru waTanganyika Dec.9.1961/Zanzibar Dec.10. 1963. Lakin CCM walirudisha neno vyama vingi tuu huku wakiendelea na katiba ile ile y chama kimoja iliyorekebishwa kwenye vipengele vichache...
  7. M

    Sasa ni zamu ya ACT Wazalendo kukataa ujinga na kutuonyesha kuwa nyie si wasaka vyeo bali wazalendo kweli

    Ndugu zangu wa ACT-Wazalendo Fanyeni mfano wa CHADEMA, achaneni na ujinga wa serikali ya umoja wa Kitaifa huko Zanzibar!. Serikali ya umoja wa kitaifa inaweza kupatikana tu katika uchaguzi huru, wa haki ambao maamuzi ya wananchi kweli yameheshimiwa Serikali ya umoja wa kitaifa haiwezi...
  8. Pascal Mayalla

    Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA inakaribia kufa, hii ndio njia yenu pekee ya kujinasua

    Wanabodi, Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa CHADEMA, maana nimenote baadhi ya viongozi, wanachama, wafuasi wamepigwa na butwaa kwa uamuzi wa wanawake mashujaa, mashoka wa CHADEMA, kukataa ujinga wa chama chao and did the right thing. Kitendo cha CHADEMA kususa kupeleka majina ya Wabunge...
  9. AbuuMaryam

    Wasafi FM wana utoto na ujinga mwingi studio

    Hivi vipindi vyao kila mtu akiwepo studio ana control ya Mixer, yaani ni kelele na vurugu tu studio. Warekebishe huu. Mtu kipindi cha michezo yupo MWANAIDI SULEIMAN (Mtangazaji) Paul Mkai (Mtangazaji) Kawambwa (Mtangazaji) Sasa who is the main controller hapo. Kila mmoja wao anaongea tu...
  10. Idugunde

    Hizi propaganda mnazofanya ni ujinga? Au ni ushamba wa kisiasa?

    Uchaguzi umeisha na serikali iliyochaguiwa na Wananchi imeshaanza kuchapa kazi, Wananchi wa Tanzania wapo kimya wakisubiri kula matunda ya kile walichoahidiwa. Kinachoshangaza baada ya kupigwa kichapo cha mbwa mtu kwenye ballot box mnaleta propaga za kishamba ambazo hazina kichwa wala miguu...
  11. Leslie Mbena

    Uchaguzi wa Marekani umetusaidia kuondoa ujinga wa CHADEMA

    Leo 11:35hrs 07/11/2020 Matokeo ya uchaguzi wa Marekani yametusaidia kuondoa ujinga wa Chadema, Matokeo ya Uchaguzi wa Marekani is a "score" to us Tanzanians and Our President John Pombe Magufuli, Niwakumbushe hotuba ya Mzee Yoweri Museveni kwenye uapisho wa Rais John Magufuli, Mzee Museveni...
  12. Pascal Mayalla

    Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!

    Wanabodi, JF ni ukumbi huru wa kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, na kitu kikubwa zaidi, kusaidiana. Kama kuna kitu unakijua, na unaona kinafanyika ndivyo sivyo, unajitolea kusaidia kuwaelimisha wengine kuhusu kitu hicho, na hiki ndicho mimi ninachofanya humu JF, kuwaelimisha wengine...
  13. Red Giant

    Kuamini Sana uchawi huwa kunaambatana na ujinga

    Ukikaa na watu wanaoamini uchawi na kupiga stori za uchawi huwa Kuna mambo ya kushangaza Sana. 1. Mmoja anasimulia eti Kuna mzee alikamatwa na radi ameiweka kwenye mfuko wa salfeti. polisi kumuuliza akasema huwa anaiuza. 2.Mwingine anasema eti radi ikipiga sehemu huwa inataga yai . Basi...
  14. S

    Kabla hata ya uchaguzi mkuu ufanyika tumeanza kuona madhaifu ya wapinzani?

    Zikiwa zimebaki siku chache tu za kupiga kura za uchaguzi wa Urais , Ubunge na Udiwani , tayari tumeisha anza kusikia mgongano wa vyama vya upinzani. Ni kama vile watoto yatima , Maalim Seif anamshangaa Mgombea Urais wa chama chake upande wa JMt kuwa kwanini anapiga kampeni za kugombea Urais...
  15. Mkaruka

    Huu ni ushabiki au ujinga ?

    Hii siyo stage ya kawaida.
  16. CUF Habari

    GE2020 Tuache Ujinga, Tanzania sio Uingereza

    TUACHE UJINGA, TANZANIA SIYO UINGEREZA! Mwaka 1997 aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza, John Major alishindwa uchaguzi na kupoteza nafasi yake ya kuendelea kuwa waziri mkuu. Inadawia kwamba tangu mwaka 1832 hakuna waziri mkuu wa Uingereza ambaye alishindwa uchaguzi kwa kishindo kama John Major...
  17. The Palm Tree

    Tundu Lissu: Uchaguzi huu siyo kusema tu "People's power" wala "tumekupa kura zote tayari"; huko ni kutiana ujinga. Uchaguzi ni kusoma makaratasi

    Haya yamejiri jana usiku wa tarehe 6/10/2020 Mlandizi katika semina ya ndani ya viongozi na wagombea ubunge, udiwani na wanachama wa CHADEMA wa majimbo mawili ya uchaguzi Kibaha mjini na vijijini. Kwa ufupi TUNDU LISSU alitoa tahadhari na kufundisha yafuatayo kuhusu namna ya kuushinda uchaguzi...
  18. Mkaa wa mawe

    Dini zimechangia kudumaza ufahamu wa mwafrika

    Straight to the topic. Africans wengi wanaamini kwenye dini kuliko chochote kile hapa duniani. Na watu wanaomini kwenye dini wanaamini wapo hapa duniani ili kumuabudu mungu tu na si kingine. Well hapa kwetu africa kuna dini kubwa mbili yaani uislamu na ukristo. Na kwenye hizo dini kubwa...
Back
Top Bottom