ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Wasafi FM wana utoto na ujinga mwingi studio

    Hivi vipindi vyao kila mtu akiwepo studio ana control ya Mixer, yaani ni kelele na vurugu tu studio. Warekebishe huu. Mtu kipindi cha michezo yupo MWANAIDI SULEIMAN (Mtangazaji) Paul Mkai (Mtangazaji) Kawambwa (Mtangazaji) Sasa who is the main controller hapo. Kila mmoja wao anaongea tu...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hizi propaganda mnazofanya ni ujinga? Au ni ushamba wa kisiasa?

    Uchaguzi umeisha na serikali iliyochaguiwa na Wananchi imeshaanza kuchapa kazi, Wananchi wa Tanzania wapo kimya wakisubiri kula matunda ya kile walichoahidiwa. Kinachoshangaza baada ya kupigwa kichapo cha mbwa mtu kwenye ballot box mnaleta propaga za kishamba ambazo hazina kichwa wala miguu...
  3. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marekani umetusaidia kuondoa ujinga wa CHADEMA

    Leo 11:35hrs 07/11/2020 Matokeo ya uchaguzi wa Marekani yametusaidia kuondoa ujinga wa Chadema, Matokeo ya Uchaguzi wa Marekani is a "score" to us Tanzanians and Our President John Pombe Magufuli, Niwakumbushe hotuba ya Mzee Yoweri Museveni kwenye uapisho wa Rais John Magufuli, Mzee Museveni...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!

    Wanabodi, JF ni ukumbi huru wa kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, na kitu kikubwa zaidi, kusaidiana. Kama kuna kitu unakijua, na unaona kinafanyika ndivyo sivyo, unajitolea kusaidia kuwaelimisha wengine kuhusu kitu hicho, na hiki ndicho mimi ninachofanya humu JF, kuwaelimisha wengine...
  5. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kuamini Sana uchawi huwa kunaambatana na ujinga

    Ukikaa na watu wanaoamini uchawi na kupiga stori za uchawi huwa Kuna mambo ya kushangaza Sana. 1. Mmoja anasimulia eti Kuna mzee alikamatwa na radi ameiweka kwenye mfuko wa salfeti. polisi kumuuliza akasema huwa anaiuza. 2.Mwingine anasema eti radi ikipiga sehemu huwa inataga yai . Basi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kabla hata ya uchaguzi mkuu ufanyika tumeanza kuona madhaifu ya wapinzani?

    Zikiwa zimebaki siku chache tu za kupiga kura za uchaguzi wa Urais , Ubunge na Udiwani , tayari tumeisha anza kusikia mgongano wa vyama vya upinzani. Ni kama vile watoto yatima , Maalim Seif anamshangaa Mgombea Urais wa chama chake upande wa JMt kuwa kwanini anapiga kampeni za kugombea Urais...
  7. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Huu ni ushabiki au ujinga ?

    Hii siyo stage ya kawaida.
  8. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuache Ujinga, Tanzania sio Uingereza

    TUACHE UJINGA, TANZANIA SIYO UINGEREZA! Mwaka 1997 aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza, John Major alishindwa uchaguzi na kupoteza nafasi yake ya kuendelea kuwa waziri mkuu. Inadawia kwamba tangu mwaka 1832 hakuna waziri mkuu wa Uingereza ambaye alishindwa uchaguzi kwa kishindo kama John Major...
  9. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Uchaguzi huu siyo kusema tu "People's power" wala "tumekupa kura zote tayari"; huko ni kutiana ujinga. Uchaguzi ni kusoma makaratasi

    Haya yamejiri jana usiku wa tarehe 6/10/2020 Mlandizi katika semina ya ndani ya viongozi na wagombea ubunge, udiwani na wanachama wa CHADEMA wa majimbo mawili ya uchaguzi Kibaha mjini na vijijini. Kwa ufupi TUNDU LISSU alitoa tahadhari na kufundisha yafuatayo kuhusu namna ya kuushinda uchaguzi...
  10. Mkaa wa mawe

    JamiiForums Tanzania Dini zimechangia kudumaza ufahamu wa mwafrika

    Straight to the topic. Africans wengi wanaamini kwenye dini kuliko chochote kile hapa duniani. Na watu wanaomini kwenye dini wanaamini wapo hapa duniani ili kumuabudu mungu tu na si kingine. Well hapa kwetu africa kuna dini kubwa mbili yaani uislamu na ukristo. Na kwenye hizo dini kubwa...
Back
Top Bottom