Ujinga wa Hamza usizalishe ujinga wa medani; yaliyotokea yasitufanye tukose weledi. Polisi imepoteza wapiganaji, familia ya Hamza imepoteza mtoto

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Shida ya yote haya ni HAKI NA WAJIBU!

Tukilichambua tukio la mauaji ya HAMZA Linatupa taswira ya HAKI NA WAJIBU!

Hamza alikuwa ni mtu nzima mwenye familia yake( Huenda alikuwa level ya kutegemewa na si mtoto)

Kila mtu ana HAKI

Hamza kama kuna jambo lolote baya Aliona linamnyima HAKI yake hakutakiwa KUPANIKI! Angefikisha malalamiko yake ngazi husika ili atendewe HAKI! (Huo ndio uungwana)

Ukiporwa HAKI yako na watumishi wasio waaminifu haina maana ndiyo ufanye JINAI!

Makosa ya kunyimwa HAKI yapo kila mahali katika ofisi za Umma, Je, ni sawa kila mtu adai HAKI yake kwa nguvu ya mauaji?

Yaani mtu iwe busara mtu akifika TRA akiombwa Rushwa asipolizika basi achomoe bastola Apige afisa wa TRA

Au Mtu afike Tanesco akinyimwa umeme achomoe bastola apige!!!

Tukio la HAMZA lisitufanye tulaumiane! Lakini ni vyema likatukumbusha HAKI NA WAJIBU pande zote!

Weledi wa polisi ni kulichunguza tukio na kutoa report ya kitaalam wala hakuna haja ya kutoa vijembe na kashfa kwenye familia ya Hamza!

Mwili wa Hamza uheshimiwe kama miili mingine, wakabidhiwe familia kwa heshima ile ile ya ubinadamu!

Familia ya Hamza kwa upande wao, wanaona wamepoteza kijana shupavu, mtaftaji, Mme, baba wa watoto na mlezi wa familia iliyokuwa ina mtegemea!

Kosa la ndugu au mtoto lisiwe kashfa ya familia!
Isifikie mahali tukaaminishana kwamba Mtoto wa KAMANDA X akibaka huko mtaani basi tumulaumu baba yake KAMANDA!

Hata kama HAMZA alimtaja SIRRO Kwenye shambulio, IGP anatakiwa asipaniki!
Wachunguze kwanza kwa makini chanzo na ukweli wa tukio lile Hata kama litatia DOA baadhi ya watumishi kwa kutokutenda HAKI!
 
sijui kama umeshawahi kudhulumiwa ww,kuna uchungu mwingine hauvumiliki na unajibiwa hovyo na kutishwa weeee acha bana
 
Tujiulize je Hamza alifanya matukio mangapi km hayo kabla ya tukio la sarender brigde na kwann aliwafanyia hivyo polisi na si raia wengine?
 
Hamza kama kuna jambo lolote baya Aliona linamnyima HAKI yake hakutakiwa KUPANIKI! Angefikisha malalamiko yake ngazi husika ili atendewe HAKI! (Huo ndio uungwana)

Yaani ufikishe malalamiko kwa mtuhumiwa?

Kuwa serious bro unakuwa kama unaishi nje ya nchi?

Tunayo mifano mingapi ya watu kupeleka malalamiko kwenye ngazi husika lakini hawapewi haki yao?

Alichofanya hamza ni ushujaa.

Ni kheri kufa ukiwa unadai haki yako kuliko kudhulumiwa haki yako ukiwa umepiga magoti.
 
sijui kama umeshawahi kudhulumiwa ww,kuna uchungu mwingine hauvumiliki na unajibiwa hovyo na kutishwa weeee acha bana
Issue ya Hamza si ya kudhulumiwa. Alitamani kujiunga jihad apigane na makafiri. Ndo maana alikwenda kusoma dini Misri. Ila silaha alizijua tangu kuzaliwa. Maana anazimudu hatari.
 
Yaani ufikishe malalamiko kwa mtuhumiwa?

Kuwa serious bro unakuwa kama unaishi nje ya nchi?

Tunayo mifano mingapi ya watu kupeleka malalamiko kwenye ngazi husika lakini hawapewi haki yao?

Alichofanya hamza ni ushujaa.

Ni kheri kufa ukiwa unadai haki yako kuliko kudhulumiwa haki yako ukiwa umepiga magoti.
Kwahiyo unataka kusema polisi wakinyimwa huduma katika ofisi za umma nao wafyatue risasi!? Kama risasi ni ushujaa?
 
Yaani ufikishe malalamiko kwa mtuhumiwa?

Kuwa serious bro unakuwa kama unaishi nje ya nchi?

Tunayo mifano mingapi ya watu kupeleka malalamiko kwenye ngazi husika lakini hawapewi haki yao?

Alichofanya hamza ni ushujaa.

Ni kheri kufa ukiwa unadai haki yako kuliko kudhulumiwa haki yako ukiwa umepiga magoti.
Akilimali
 
Shida ya yote haya ni HAKI NA WAJIBU!

Tukilichambua tukio la mauaji ya HAMZA Linatupa taswira ya HAKI NA WAJIBU!

Hamza alikuwa ni mtu nzima mwenye familia yake( Huenda alikuwa level ya kutegemewa na si mtoto)

Kila mtu ana HAKI

Hamza kama kuna jambo lolote baya Aliona linamnyima HAKI yake hakutakiwa KUPANIKI! Angefikisha malalamiko yake ngazi husika ili atendewe HAKI! (Huo ndio uungwana)

Ukiporwa HAKI yako na watumishi wasio waaminifu haina maana ndiyo ufanye JINAI!

Makosa ya kunyimwa HAKI yapo kila mahali katika ofisi za Umma, Je, ni sawa kila mtu adai HAKI yake kwa nguvu ya mauaji?

Yaani mtu iwe busara mtu akifika TRA akiombwa Rushwa asipolizika basi achomoe bastola Apige afisa wa TRA

Au Mtu afike Tanesco akinyimwa umeme achomoe bastola apige!!!

Tukio la HAMZA lisitufanye tulaumiane! Lakini ni vyema likatukumbusha HAKI NA WAJIBU pande zote!

Weledi wa polisi ni kulichunguza tukio na kutoa report ya kitaalam wala hakuna haja ya kutoa vijembe na kashfa kwenye familia ya Hamza!

Mwili wa Hamza uheshimiwe kama miili mingine, wakabidhiwe familia kwa heshima ile ile ya ubinadamu!

Familia ya Hamza kwa upande wao, wanaona wamepoteza kijana shupavu, mtaftaji, Mme, baba wa watoto na mlezi wa familia iliyokuwa ina mtegemea!

Kosa la ndugu au mtoto lisiwe kashfa ya familia!
Isifikie mahali tukaaminishana kwamba Mtoto wa KAMANDA X akibaka huko mtaani basi tumulaumu baba yake KAMANDA!

Hata kama HAMZA alimtaja SIRRO Kwenye shambulio, IGP anatakiwa asipaniki!
Wachunguze kwanza kwa makini chanzo na ukweli wa tukio lile Hata kama litatia DOA baadhi ya watumishi kwa kutokutenda HAKI!
Wewe mwamba hujawahi dhulumiwa ndio maana umeandika hayo kwa mtizamo wako.., ila dhuluma ni nouma tena ni nouma sana. Unaweza fanya maamzi mpaka ndugu jamaa na marafiki ukawaaacha wameduwaaa yaani hawaamini ulichokifanya. Maana hata familia ya Mr Hamza najuwa hawakutegemea kama jamaa angefanya hilo alilofanya.
 
Shida ya yote haya ni HAKI NA WAJIBU!

Tukilichambua tukio la mauaji ya HAMZA Linatupa taswira ya HAKI NA WAJIBU!

Hamza alikuwa ni mtu nzima mwenye familia yake( Huenda alikuwa level ya kutegemewa na si mtoto)

Kila mtu ana HAKI

Hamza kama kuna jambo lolote baya Aliona linamnyima HAKI yake hakutakiwa KUPANIKI! Angefikisha malalamiko yake ngazi husika ili atendewe HAKI! (Huo ndio uungwana)

Ukiporwa HAKI yako na watumishi wasio waaminifu haina maana ndiyo ufanye JINAI!

Makosa ya kunyimwa HAKI yapo kila mahali katika ofisi za Umma, Je, ni sawa kila mtu adai HAKI yake kwa nguvu ya mauaji?

Yaani mtu iwe busara mtu akifika TRA akiombwa Rushwa asipolizika basi achomoe bastola Apige afisa wa TRA

Au Mtu afike Tanesco akinyimwa umeme achomoe bastola apige!!!

Tukio la HAMZA lisitufanye tulaumiane! Lakini ni vyema likatukumbusha HAKI NA WAJIBU pande zote!

Weledi wa polisi ni kulichunguza tukio na kutoa report ya kitaalam wala hakuna haja ya kutoa vijembe na kashfa kwenye familia ya Hamza!

Mwili wa Hamza uheshimiwe kama miili mingine, wakabidhiwe familia kwa heshima ile ile ya ubinadamu!

Familia ya Hamza kwa upande wao, wanaona wamepoteza kijana shupavu, mtaftaji, Mme, baba wa watoto na mlezi wa familia iliyokuwa ina mtegemea!

Kosa la ndugu au mtoto lisiwe kashfa ya familia!
Isifikie mahali tukaaminishana kwamba Mtoto wa KAMANDA X akibaka huko mtaani basi tumulaumu baba yake KAMANDA!

Hata kama HAMZA alimtaja SIRRO Kwenye shambulio, IGP anatakiwa asipaniki!
Wachunguze kwanza kwa makini chanzo na ukweli wa tukio lile Hata kama litatia DOA baadhi ya watumishi kwa kutokutenda HAKI!
Kuna kisa flani hivi,jamaa alikuwa na nyumba kwenye Kijiji flani ilikuwa sehemu nzuri ya biashara ,Sasa Kuna tajiri alikuwa anataka eneo lile lakini muhusika aligoma kuliuza but tajili aliapa kuwa lazima atalipata iwe isiwe,muhusika alikuwa na mke mwenye mimba na mtoto mmoja Tena alikuwa mgonjwa,jamaa sijui akapewa kesi gani Mara paaap jela Mara paap akafungwa miaka4,huku nyuma kutokana na changamoto za kumuuguza mtoto na hela hakuna na baba Yuko jela,ikambidi mama auze nyumba kumtibu mtoto,Sasa mawazo aliyokuwa nayo Yule mama mimba ikatoka,na Yule mtoto mgonjwa nae akafariki,mke nae hakuchukua mda akafa,,tajili ndiye aliyenunua Ile nyumba
 
Hamza aliporwa haki gani? Hamza ni gaidi na alisema anampigania allah.

Hakuna haki aliyodhulimiwa hamza, hamza yuko kwenye records akisema anampigania allah.

Hii ya kusema ati alidhulumiwa mmelipata wapi ama mmelisikia wapi wakati mwenyewe yuko kwenye records akisema anampigania allah?

Magaidi wenzake na hamza mnajaribu ku-twist mambo kumtetea gaidi mwenzenu, mtamfuata sio muda mrefu.
 
Kwani kumpigania Allah ndio anakua hajaporwa haki inawezekana alikua amestaki kwa mungu wake lakini pia akaona atumie na uwezo wake
 
Huyo allah alimtuma lini umpiganie? Kuna mahala huyo allah alimuomba msaada wa kupiganiwa?

Hamza ni gaidi. Bora alivyowahishwa kwenda kula mabikra waake 72 huko kwa huyo allah.
 
Back
Top Bottom