ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BAK

    JamiiForums Tanzania Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo. Hayo ndio yalikua matarajio...
  2. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

    Unakuta kijana anamiliki Iphone ya macho 3 wakati hata kiwanja hana mjini hii ni aibu nyingine na janga la hatari sana. Unakuta wengine ni mtu nzima kabisa anamiliki Iphone ya macho 3 halafu analala kwa shemeji yake na kula mikate na watoto asubuhi wakati wanapata kifungua kinywa ili...
  3. May Day

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tuorodheshe ushirikina kwenye ile vita ya Maadui Watatu...yaani sasa iwe Vita dhidi ya Maadui Ujinga, Umasikini, Maradhi na Ushirikina

    Niliwahi kuja na andiko humu nikionesha huzuni yangu juu ya Kiongozi mmoja wa juu tena mwenye hadhi ya Udaktari aliyekuwa anaithibitishia Jamii kwamba kuna Mama kutoka eneo moja la nchi aliyekuwa na uwezo wa kushambulia Maadui zake akiwatumia Nyuki kwa njia ya nguvu za giza. Kama haitoshi...
  4. Candela

    JamiiForums Tanzania Movie ya soz ujinga mtupu

    Habari wanajamvi, nimewaletea mada hii kuhusu baadhi ya movie za ulaya na asia. Kuna hii movie inaitwa soz, nijikite wakati wale wapelelezi wawili wanamfatilia profesa. Walibain kuna mtu anamwinda professa pia wakaamua wamkamate ila cha ajabu wakati mpelelezi mmoja anapigana na huyu jamaa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa Hamza usizalishe ujinga wa medani; yaliyotokea yasitufanye tukose weledi. Polisi imepoteza wapiganaji, familia ya Hamza imepoteza mtoto

    Shida ya yote haya ni HAKI NA WAJIBU! Tukilichambua tukio la mauaji ya HAMZA Linatupa taswira ya HAKI NA WAJIBU! Hamza alikuwa ni mtu nzima mwenye familia yake( Huenda alikuwa level ya kutegemewa na si mtoto) Kila mtu ana HAKI Hamza kama kuna jambo lolote baya Aliona linamnyima HAKI yake...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kumpa Mbowe privilege kuwa hastahili kushtakiwa kwa ugaidi si sawa kisheria na ni kinyume na dhana ya "Equality before the law"

    Kwa elimu yetu ndogo ya uraia tulisomasoma kidogo kuhusu Equality Before the Law (The principle which requires a systematic rule of law that observes due process to provide equal justice, and requires equal protection ensuring that no individual nor group of individuals be privileged over others...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kama Kanisa Katoliki hawatakemea huu Ujinga nitashangaa sana

    Polisi wa Tanzania wanaendeleza dhihaka kwa Kanisa kubwa kabisa nchini na duniani RC kwa kuvamia kila mara kwenye ibada zake na kukamata waumini tena ibadani. Cha kushangaza haya hayatokei SDA wala Lutheran wala kwenye haya makanisa kama ya akina Gwajima. Hii ni dharau na dhihaka kubwa sana...
  8. MWAISEMBA CR

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga na ukosefu wa maarifa unawasumbua waafrika na watanzania kuhusu chanjo ya COVID-19

    NI UJINGA TU NA UKOSEFU WA MAARIFA NDIO UNAWASUMBUA WAAFRIKA NA WATANZANIA KUHUSU CHANJO YA COVID 19 Na: Shujaa Ujue kinachofanya Africa kuwa bara maskini tofauti na mengine ya wazungu na Tanzania kuwa miongoni mwa Nchi maskini duniani pamoja na utajiri na rasilimali nyingi walizo nazo Sio...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama moja ya 'Literature' ya Uchumi inasema Masikini na Wajinga ni Muhimu katika 'Economy Stimulation', kwanini tunaupinga Ujinga na Umasikini?

    Katika hili lililo mezani ( nililolileta ) leo GENTAMYCINE nitakuwa Msomaji zaidi wa 'Comments' pamoja na 'Intellectual Arguments' zenu ili nami pia Kichwa changu na Ubongo wangu uimarike kwa uelewa wa Mambo makubwa, mazito na muhimu kama haya. Nataka hasa 'Critical Anaysis' zenu hapa.
  10. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Kama hiki kikosi unakijua, wahi chanjo ya Corona

    Kama hii timu unaijua yote basi ushakuwa mtu mzima sana na hivyo nguvu za mwili za kupambana na corona zimepungua Nitakushangaa ukiendelea kudanganywa na vitoto vya mwaka 2000 hebu kimbia wahi chanjo acha ujinga. Mzungu angekuwa na nia mbaya na wewe basi angekuulia kwenye njia nyingine kama...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kupitia mafunzo ya JKT ni lazima ili kugombea Urais?

    Ninatarajia kugombea urais JMT,wakati ukifika. Je, ni lazima niwe nimepitia mafunzo ya JKT? Ninaomba kuwasilisha.
  12. Geo C Starfish

    JamiiForums Tanzania Lini tutafika kama Taifa?

    Mwaka 1961, taifa letu pendwa la Tanganyika lilipata uhuru kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza na kuamua kuanza safari yake ya kujitegemea katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii na hata kisiasa. Ilipofika mwaka 1964 Taifa liliamua kuungana na taifa lingine lililokuwa huru la Zanzibar na kufanya...
  13. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Vodacom: Mamilioni wameacha kutumia M-Mpesa hasa vijijini, ni hatari kwa biashara yetu

    Four days after the Electronic and Postal Communication Act (CAP 306) came into effect, the Tanzania Mobile Network Operators Association (Tamnoa) has said the business has dropped drastically, therefore asking government to amend the new charges. In efforts to raise its revenue collections by...
  14. Kijogoodi

    JamiiForums Tanzania Anthony Diallo aomba radhi kwa waliomuelewa vibaya kauli yake ya 'Viongozi waliopita walikuwa na Matatizo ya Akili'

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, bwana Anthony Diallo amewaomba radhi watanzania kwa kauli zake alizozitoa kuwa viongozi wa Serikali waliopita walikuwa na mafaili mirembe. ======== Diallo: Mimi nadhani ufafanuzi unatosha, nawataka radhi wale ambao walinielewa vibaya, kuna kunielewa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Huku Afrika Tanzania tuna ujinga mwingi sana, Hatujui kupokea ukweli ili tupambane

    Nimejaribu sana kutafakari huu ujinga utaisha lini, lakini sioni hata dalili yaani!! Katika jamii yetu hasa afrika Tanzania hatupendi kabisa kukubali ukweli! Mwenzetu akifanikiwa kipesa (hatukubali moja kwa moja), Kauli zetu nyingi midomoni utasikia " Yule jamaa kama siyo Freemasonry basi...
  16. Profesa

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hatimaye hii hapa wadau! Jisomeeni.
  17. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Nimefanya ujinga jana ambao hadi sasa najilaumu

    Salute guys. Wakati mwingine mtu unaweza fanya upuuzi halafu kila ukikaa kutafakari uliwaza nini inabaki majuto. Usiku wa jana nikiwa eneo moja na jamaa kadhaa wakati nimeegemea meza kwa nyuma kuna mbaba wa kituruki nafikiri, alikuwa anapita. Unajua ile mtu anapita nyuma yako wewe umeegemea...
  18. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania haimkomboi kijana zaidi ya kuendeleza ujinga

    HIZI NDIZO SABABU KUU MBILI ZINAZO SABABISHA UMASIKINI TANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA 1: UDHAIFU WA ELIMU YETU Elimu yetu haijitosherezi wala haiendani na dunia tuliyo nayo leo tofauti na mataifa mengine kama Uingereza, Marekani, Canada n.k Mfano mwanafunzi Alie Soma kombi ya HGK/HGL/HKL kwa...
  19. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga: wale wahudumu bungeni wana Elimu Kiasi gani?

    Habari za humu Wadau!? Kama mada inavyosema ni kuwa wale wahudumu bungeni wanapenda kuvaa sana vikoti mara leo nyekundu, mara siku nyingine bluu naomba kuuliza wana elimu kiasi gani? Form four au ni mpaka chuo, Na je ni kusomea kuwa mhudumu wa bunge au ni connection zako, naomba kujua...
  20. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania LHRC: Tunalaani utekwaji wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uzinduzi wa Umoja wa Kudai Katiba Mpya Tanzania (UKUKAMTA)

Back
Top Bottom