Ni tukio la kusikitisha sana. Limetokea katika Kitongoji cha Bombani, kijiji cha Dumila Mkoani Morogoro.
Kwa mujibu wa watoa taarifa, mwili wa mtu aliyedaiwa kufa kifo cha ghafla, ulionekana ukitoka jasho na mapigo ya moyo kupiga kwa mbali. Waliotaka daktari aitwe aje athibitishe kama kweli...
Viongozi wa Simba kama mnakua na mambo yenu binafsi ya kujipendekeza, basi ingieni kwenye Siasa. Msilete Uchawa wa kijingajinga kwenye timu yetu.
Msimu uliopita mlijifanya Wazalendo sana mkaacha kumtafuta wadhamini kimataifa Bali mkataka kuonekana wazalendo uchwara.
Mkaandika Visit Tanzania...
CCM lazima ibadilike.
CCM lazima iende na wakati.
CCM isijifikirie kuwa wao ndio wana akili kuliko wengine wote, hasa walio madarakani.
CCM ikubali na iunde utarstibu wa kuvumilia kukodolewa ndani na nje ya chama.
Picha inayojitokeza ni uongozi wa CCM kutojiamini na kushindwa kujibu hoja...
Madhara ya kupunguza viwango vya ufaulu wa masomo huzalisha ujinga mkubwa katika Taifa. Elimu ni jambo la kupewa kipaumbele katika Taifa kwasababu inaondoa ujinga na kuleta maarifa.
Yapo mataifa mengi yanayotilia mkazo swala la Elimu hata yameamua kupandisha viwango vya ufaulu badala ya...
Kinachoendelea Clouds TV kutoka Leaders club ni aibu tupu. Pastor Mzimbabwe anayeishi London anawaburuza kama kawaida yao. Nawakunbusha kidogo utapeli wake wa zamani hapa.
Kama alivyo prophet Alfa Lukaku, mzaire , nani ya Johannesburg. Alifanya muujiza wa kumfufua mtu. Aliyejifanya kafa...
Enzi za Mao, China ilikuwa nchi ya kikomunisisti iliyoamini katika Sera za Ukomunisti.
Pamoja na Ukomunisti wa China, Rais wa kwanza wa China, Mao aliamini kuwa ni lazima apeleke vijana nje ya China wakajifunze Dunia inaendaje na ikoje ili warudi kufanya mabadiliko China.
Moja ya vijana hao...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo.
Kama kawaida yangu, kila nipotapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zinazozungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa, liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii, na hufanywa kwa mtindo wa maswali fikirishi, kisha...
Kila mtu hapendi aibu na kushuka. Hata Nabi na wachezaji wanaoondoka Yanga baada ya kuipa Yanga Mataji mengi na kucheza finali ya CAF wangependa kuondoka na sifa Yao hiyo kama ikiwezekana.
Ukiona kocha, mchezaji au mfanyakazi yeyote anaendelea kubaki kwenye kituo chake Cha kazi kwa muda mrefu...
Hongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu.
Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua...
Eti msiba wa wengi ni harusi! Jiulize mbona matanga hayalaliwi ukumbini kwa taarabu na slow jam?
Eti siogopi kudaiwa, serikali yenyewe inadaiwa! Jiulize deni la nchi analipa nani kama sio wewe? Halafu tafakari lini serikali ilibeba deni lako? Akili itakaa sawa pindi utakapolala nje au kurudi...
1. Kwanini kwenye usafiri wa ndege huwa hawapigi mziki mkubwa kama alivyo kwenye basi? Halafu angalia aina ya watu wanaopanda basi na wale wanaopanda ndege.
2. Kwanini maeneo kama Masaki, Upanga na Osterbay hayana kelele, ukilinganisha na Bugurini, Mwananyamala n.k, halafu angalia aina ya watu...
Wakuu naomba kuuliza, kuna shule ipo mikoa ya kaskazini inaitwa PATANDI MAALUM SCHOOL, sasa nilitaka kujua ipo mkoa gani, na jografia yake ili ufike upande gari za wap na wapi, kuuliza si ujinga.
Hili tatizo nimekuwa nikikutana nalo sana huku Kanda ya ziwa. Vijana wengi wa kiume wanapofika Kanda ya Ziwa hasa ule msemo wetu wa kujitafuta na Mungu akawawezesha hununua samani za ndani na kuanza maisha aidha kwa kujenga au kupanga.
Sasa tatizo limekuwa ni hili kijana anaamua kutafuta mwenza...
Ebwanaeeeeeeee, za leooo.
Moja Kwa moja kwenye mada.... Hivi nyie wanawake mkoje.... Hasa mnaoshinda nyumbani wakati sisi tupo kutafuta na kuvuja majaisho huko mtaani.
Iko hivi... Mimi huwa sipendi kununua vitu kidogo kidogo maana naona inakuwa gharama Sana kuliko ukanunua kwa wingi, mfano...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, zikijadili jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa letu. Makala hizi huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utalitoa wewe mwenyewe msomaji.
Makala ya leo ni kuhusu...
Naandika haya hii asubuhi kwa sababu ya tukio nililokutana nalo asubuhi stand, nimetoka zangu ubaruku- Mbeya narudi zangu jombe, nikiwa naingia kwenye gari ya abiria nimekutana na rafiki yangu yupo na dada mmoja ambaye wayback alikuwa mteja alinijumlishia sana michele, baada ya stori za hapa na...
Hili suala la kugongeana wapangaji sijui wenye nyumba kwangu halijakaa poa kabisa.
Unajua kabisa ana mtu wake either anakuja au anaishi hapo, hadi muda mwingine wakiwa ndani unapunguza sauti ya redio yako usikie wanachofanya and then akiondoka na wewe unamendea.
Unaona mwamba/demu kaingiza...
Ujinga wa Elon Musk ni pale pesa yake inaweza kubadili sayansi ya Mungu. Elon Musk ana mkakati kabambe wa kuhamishia makazi yake kwenye sayari ya Mars na tayari tunaambiwa Huko mji umeshaanza kujengwa
Mungu ametupa Dunia Moja tu kuwa sehemu bora kabisa ya kuishi, tumeichafua na kuinajisi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.