Nisiwachoshe sana na salamu niende Moja Kwa moja kwenye mada
Iko wazi kwamba no free lunch or dinner kama hutaki kuamini ngoja siku uje kusukumwa tope🤣
Siku hizi vijana wanaamini kwenye kamari na bahati nasibu,
Ila katika vitu vimeleta uvivu katika kujituma pamoja na fikra basi ni kamari...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza watumishi wa Halmashauri ya Wilaya Mlele wahamie mara moja kwenye nyumba 11 zilizokuwa za wajenzi wa Barabara ya Inyonga-Mlele na kukabidhiwa kwa halmashauri hiyo.
Watumishi ambao ameagiza wahamie kwenye nyumba hizo ni Afisa Usalama wa Wilaya (DSO), Kamanda...
Sitasahau kama ilivyo kwa kila Mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi hii.
Kulifanyika mambo ya ajabu sana yaliyotudhalilisha Watanzania na yaliyolidhalilisha taifa.
Kamwe tusirudie tena.
Pichani: Maafisa vipenyo wakiwa kwenye moja ya migahawa ya Bunge wakipima ukubwa wa samaki aliyepikwa.
Msikilize hapa, Siku maaskofu wamegeuza kibao sijui Bitozo atakimbilia nchi gani.
Kikwete anawajua vizuri sana hawa bwana. bila busara zao na kuwa karibu na pengo Kikwete awamu ya pili asingetoboa Dr Slaa alikuwa kachanja mbunga.
Wanabodi,
Makala ya Jumapili ya leo.
Juzi, Ijumaa, Tanzania tumeadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania, na kiukweli tumefanikiwa sana katika mambo mengi ya kisisasa, kiuchumi na kijamii, ila pia lazima tukubali, hapa tulipo, sipo mahali tungepaswa tuwe, tulipaswa kuwa mbali zaidi ya hapa...
Natamani kujua hili na huenda ikawa faida kwa wengi, alasiri ya leo 9.12.2022, nimekutana na mabehewa mapya yaliyoshushwa hivi karibuni yakiwa kwenye reli ya zamani Morogoro, je hayo mabehewa yanawezaje kupita kwenye reli hiyo huku ikitajwa kwamba upana wa reli hizo haufanani.
Habarini,
Naomba kuuliza kwa wajuvi wa mambo ya uwakala wa Bank mfano kama CRDB, NMB n.k,
Kuna jamaa namfahamu anajishughulisha na Tigo Pesa na M-Pesa, akajiongeza na kwenda kuomba kuwa wakala wa Bank, akapewa fomu na baadhi sehemu zinahitaji udhamini hivyo akaomba nimdhamini kwaa ajili ya...
Aisee sex sometime unajiona mjinga sana ukimaliza kufanya. Hasa hasa ukipata demu hana ile amsha amsha.
Siku hizi mademu wengi wamekosa amsha amsha labda malaya sana. Wengi niliofanya nao sex hawana sana zile amsha amsha.
Hasa hiki kizazi ila kuna demu nilimpata moro unatamani muendelee tu...
Hii miccm imevunja morali ya watanzania kuipenda nchi yao kwasabb ya uongozi mbovu na usio na dira wala mwelekeo.
Kila zama na awamu wamekuwa wakija na ahadi za kijanjajanja na ulaghai za kuboresha huduma za watanzania.
Tangu kuanzishwa kwa vyama vingi wamekuwa wakifanya hujuma kwa ama kuiba...
Nashangaa sana kuona watu wanalalamika udini kisa tu viongozi wengi wa ccm ni wa dini ya kiislam,
Kwenye fomu za uongozi CCM, hakuna kuulizwa dini!, unaulizwa sifa na vigezo, hakuna kigezo cha dini ya mtu!.
Kwenye kupendekeza majina wakristo walikuwemo hawakujipendekeza, kwenye kupiga kura...
Wanaume,
Acheni kutoa pesa kirahisi kwa wanawake. Wanawaona mapimbi tu mkiwapa pesa.
Penzi huja automatically, halinunuliki. Unaweza kupewa mpaka maku lakini hupendwi, just unaonjeshwa tu utelezi ili akuchune zaidi.
Wanaume wengi waliyodhani wanapendwa kumbe wanaliwa tu, baadaye hufilisika na...
Precision air yapata ajali Bukoba ziwa Victoria
===
NDEGE YA PRECISION YAANGUKA ZIWA VICTORIA MJINI BUKOBA
Ndege ya Shirika la Ndege la Precision, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6, 2022
Taarifa za awali zinaonesha ndege hiyo imeanguka ziwani, uokoaji...
Natoka zangu Mwanza nimechoka drive nikasema nipumzike Nzega, Mungu wangu yani mtu ana Birthday yake anaongoza Baa nzima
Mmiliki sikujui ujui ila huu ujinga usikubali tena. Nzega siyo kijiji hapo ni senta ya nchi na nje ya nchi miye nimeondoka baada ya huo ujinga so mmiliki wa hilo eneo play...
Kila kukicha umeme unakatika siku nzima tena wilaya nzima au mkoa mzima.
Ninauliza Tanesco, Tanzania tumeanza mgao wa umeme?
Nimeuliza ili tuanze kununua generator
Umaskini wetu ambao mahala kwingine umetopea, ujinga tulionao unaosababisha maradhi kwa watanzania wengi chanzo chake ni CCM.
Siku CCM ikiondoka madarakani, Umaskini utapungua, ujinga utakuwa kwa watu wachache na maradhi yatadhibitiwa.
Tena niseme afadhali na baadhi ya waswahili huwa wanaweza wakosoa vizuri tu Wazungu ukiacha wale wajinga wachache ambao nao huwa hawaoni makosa kwa wazungu.
Kuna Sisi waswahili wengine wapumbavu choka mbaya hutuambii kuhusu waarabu. Yaani hata kwenye match tukicheza nao wakitufanyia uhuni...
Jamani hivi ni wehu au ushamba wa haya ma dude ya rangirangi unaweza kuyatumia saa kumi jioni yakaleta impact? Yataakisi vipi sasa? Mwishowe sasa mtasema hadi tochi za simu zitawashwa!
Meneja wa kitengo wa timu unapotezea tu watu hela zao, wayanunue waje wayawashe washindane na mwanga wa jua...
Hivi ndivyo polisi Tanzania wanavyouwa watu wakiwamo watuhumiwa wa u panya road.
Ama kwa hakika wao na mashabiki wao, Mwalimu ana maneno sahihi zaidi kwao:
Nina uhakika asilimia zote CCM kwa maslahi yake inamuunga mkono yule binti Katibu Mkuu wa NCCR MAGEUZI ili kuleta mgogoro ili Mbatia afukuzwe na kubaki NCCR yenye u CCM ya hewala boss.
Sote tunatambua kosa la James ni pale alipojitokeza hadharani mwanzoni mwa Utawala wa Mtawala wa sasa kuuponda...
Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya Raila Odinga amerejea nchini humo akitokea Zanzibar
Raila amesema hakubaliani na uamuzi wa mahakama kushikilia ushindi wa Ruto na kusema mahakama ilifanya ujambazi na uamuzi wa kijinga
Amesema watafanya maandamano ya watu milioni kuelekea mahakama kuu kuwaondoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.