Wanawake Kanda ya Ziwa kuuza vitu wenza wao wakienda kutafuta maisha ni umasikini?

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
4,742
11,104
Hili tatizo nimekuwa nikikutana nalo sana huku Kanda ya ziwa. Vijana wengi wa kiume wanapofika Kanda ya Ziwa hasa ule msemo wetu wa kujitafuta na Mungu akawawezesha hununua samani za ndani na kuanza maisha aidha kwa kujenga au kupanga.

Sasa tatizo limekuwa ni hili kijana anaamua kutafuta mwenza wa kusogeza nae maisha na hapa ndipo tatizo huanzia, ikitokea kijana akayumba kidogo kiuchumi na akaamua kusafiri safari ya mbali kwa lengo la kutafuta fursa, mwanamke atasafisha kila kitu na kuuza au kukimbilia kwao.

Nimekutana na kesi nyingi sana za aina hii, sasa nauliza wanawake wa kanda ya ziwa je, hii inasababishwa na ujinga ama umasikini?
 
Naona ni umaskini pia na ukosefu wa elimu wengi badala ya kwenda shule wanachunga kondoo hvyo wanapoolewa mume akisafiri wanakimbilia kuuza vitu badala ya kufanya ujasiriamali
 
Hawana elimu kuanzia ya darasani hadi maisha,wengi wametokea jamii za kupata mimba utotoni hivyo hawana cha kuwazia maendeleo ya mbeleni. Ogopa sasa wale wa vijijiniwale kuchapiwa kisa jero ni sekunde tu
 
images (3).jpeg
 
Ni ukosefu wa elimu na ni dalili ya umasikini uliotopea Kwa mfanyaji wa Hilo tukio huwezi kuuza kitanda,Radio,Tv ukasema utapata pesa nyingi kwanza vitu vyenyewe vinakua Used utauza bei ya hasara ogopa sana mtu anayeona Kitanda godoro na Television ni Mali.
 
Hili tatizo nimekuwa nikikutana nalo sana huku Kanda ya ziwa. Vijana wengi wa kiume wanapofika Kanda ya Ziwa hasa ule msemo wetu wa kujitafuta na Mungu akawawezesha hununua samani za ndani na kuanza maisha aidha kwa kujenga au kupanga.

Sasa tatizo limekuwa ni hili kijana anaamua kutafuta mwenza wa kusogeza nae maisha na hapa ndipo tatizo huanzia, ikitokea kijana akayumba kidogo kiuchumi na akaamua kusafiri safari ya mbali kwa lengo la kutafuta fursa, mwanamke atasafisha kila kitu na kuuza au kukimbilia kwao.

Nimekutana na kesi nyingi sana za aina hii, sasa nauliza wanawake wa kanda ya ziwa je, hii inasababishwa na ujinga ama umasikini?
Kanda ya ziwa ndio wapi. Yaani kuanzia Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu na Mara watu wafanane tabia?
 
Sababu kuu ni umaskini na ujinga uliokithiri. Lakini vijana kama umeoa hama na mkeo mwende wote huko utakakokuwa na ikibidi kumwacha hakikisha unatuma hela za matumizi. Hakuna mwanamke utakayemwacha kwenye shida akabaki salama. Wachaga huwa wanawaacha kwenye usimamizi wa familia zao. Saa nyingine baba mkwe wake ndo anakuwa anajipigia kwa wakati wote utakapokuwa kwenye kutafuta.
 
Hili tatizo nimekuwa nikikutana nalo sana huku Kanda ya ziwa. Vijana wengi wa kiume wanapofika Kanda ya Ziwa hasa ule msemo wetu wa kujitafuta na Mungu akawawezesha hununua samani za ndani na kuanza maisha aidha kwa kujenga au kupanga.

Sasa tatizo limekuwa ni hili kijana anaamua kutafuta mwenza wa kusogeza nae maisha na hapa ndipo tatizo huanzia, ikitokea kijana akayumba kidogo kiuchumi na akaamua kusafiri safari ya mbali kwa lengo la kutafuta fursa, mwanamke atasafisha kila kitu na kuuza au kukimbilia kwao.

Nimekutana na kesi nyingi sana za aina hii, sasa nauliza wanawake wa kanda ya ziwa je, hii inasababishwa na ujinga ama umasikini?
Kanda ya ziwa sehemu gani?Maana kesi za wajinga wa sehemu fulani wanasingiziwa wote.Itaje hiyo sehemu.
 
Back
Top Bottom