Wakuu heshima kwenu! Ninakiwanja mkoa wa pwani maeneo karibu na halimashauri, ukubwa wa kiwanja no sq 600, sasa usawa wa magu ni mgumu,ila kujenga kunahitajika......nimeenda kuuliza wadau maeneo hayo wakanipa point zifuatazo
Mchanga unaweza kuchukua kwa Bibi Fulani kwa gharama 15000, kwa ndoo...
Akizungumza Jana mjini Mtwara bwana majaliwa amedai kuwa "uchambuzi wa kimazingira umekamilika na punde tukiingia madarakani tutaanza ujenzi wa reli mpya toka bandari ya Mtwara hadi liganga na mchuchuma zaidi ya umbali wa 1000km"
Chanzo
China Radio international kiswahili (CRI kiswahili)...
Mimi ni fundi mahiri wa ujenzi. Nifundi mzoefu na mbobezi kwenye kujenga:-
Nyumba za makazi (single storey na double storey house)
Nyumba za biashara
Ujenzi wa mabwawa na
Mfumo wa kisasa wa maji taka ambao haujazi shimo uchafu
PIA
Nafanya renovation ya kubadili nyumba...
Mpaka 2015 private sectors zilikuwa zinashamiri. Jakaya aliacha mazingira mazuri na bora kabisa kwa sekta binafsi kukua na kuboreka. Ila tokea 2016 makampuni ambayo idadi yake haijulikani yamefungwa katika nchi hii, na bado yanaendelea kufungwa. Vijana lukuki wamepoteza ajira katika makampuni...
Shule za mkoloni zinaonesha kuchoka na kulegea.
Watoto wa kusoma wanaongezeka kila mwaka shule haziongezeki.
Kanda ya ziwa hakuna chuo kikuu cha serikali ni vijitawi tu.
Jana nilimuona mgombea anasema ataongeza madarasa matatu kweye shule yenye madarasa 10 na wanafunzi 3300+ nikapenda kujua...
Ujenzi huu ni maalumu na wa kimkakati ili kurahisisha Ujenzi wa Daraja la Kudumu la Kigongo - Busisi lenye urefu wa Kilometa 3.2
Matumî sahihi ya Rasilimali huleta Matokeo Mazuri Kwetu Sote
Habari za wakati huu wadau, natumaini mpo salama.
Naomba kufahamu kwa ukubwa wa kiwanja che nye sqm 473 ninaweza kuje nga nyumba yenye vyumba vingapi na nafasi ikabakia ya kutosha.
Ninataraji kuanza ujenzi siku za karibuni.
natanguliza shukran zangu za dhati.
Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama
Je, isingewezekana mkutano wa CHADEMA Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Mwaka 2015 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi , ambaye leo ni Rais wa Tanzania ndugu Magufuli, alitoa waraka wa mafanikio ya ya serikali ya awamu ya Nne ya ndugu Jakaya Kikwete, katika mafanikio hayo aliorodhesha mamiradi mengi mengi tu yaliyofanywa na serikali ya Mzee Kikwete.
Sasa najiuliza kama...
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ameridhishwa na ujenzi wa kivuko cha Mafia ambacho kitatoa huduma za usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo kati ya Nyamisati na Mafia.
Ujenzi wa kivuko hicho chenye urefu wa mita 36 na upana mita 12, umefikia asilimia 95 na kina uwezo wa kubeba abiria 200 na...
Ewe Serikali ya wanyonge nini kinajiri huko kwenye viwanda vya vifaa vya ujenzi? mbona Bei inapaa sana na hatusikii tamko la serikali kuhusu kupaa huku kwa bei?
Mathalani, kanda ya ziwa Cement ilikuwa inauzwa sh. 18500, baadae ikapaa hadi 19000, baada ya siku 5 ikapaa hadi 19500, baada ya siku...
Natafuta mtu mwenye interest ya kuingia kwenye construction industry.
Kampuni ilipata usajili brela 2014, baada ya kuhangaika mwaka mzima 2015 kutafuta miradi hatimae mwaka 2016 kampuni ilianza kupata projects mbalimbali. Tumefanikiwa kupata projects za majengo, barabara, na maji. Projects...
Ujenzi holela majengo katikati ya Jiji Mwanza vibali vyatolewa kwa Tsh. Milioni 50
Jiji la Mwanza chini ya Mkurugenzi wake, Kiomoni Kibamba limezidi kuchafuka na kukithiri kwa majengo yanayojengwa kiholela kutokana vibali vya ujenzi kutolewa kinyume na utaratibu.
Jiji hilo kupitia Idara ya...
Wadau wa ujenzi napenda kujua kwanza kabisa gharama (affordability) na pili ubora (uimara) kati ya msingi wa mawe na tofali kama malighafi zote zinapatikana kwenye eneo la ujenzi.
Msingi upi ni nafuu na bora kuliko mwingine?
Habari wadau!
Natafuta mafundi ujenzi wa nyumba n.k,kama
wewe ni fundi ujenzi naomba nitumie SMS kwenye namba hii 0687234549,halafu mimi mwenyewe nitakupigia baadae,Asante!
Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli
Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni na leo yuko Itigi mkoani Singida.
Magufuli akiwa na Mwigulu na wanaCCM wakiserebuka
Akiwa huko akaongelea uzuri wa nyumba za Singida na kusikitika zinavyopigwa vumbi ndipo ghafla akaitwa meneja wa Tanroad...
Sio siri tena, hoja ya matumizi ya pesa za serikali ili kununua ndege na ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege tena cha kisasa katika kijiji cha Chato wilayani Geita ndio inarindima zaidi kwenye majukwaa ya kampeni za Urais za CCM kwenye huu uchaguzi mkuu wa 2020.
Karibu kila mahali Rais...
Japo ni kweli kuwa umeme unaotokana na maji huwa ni wa bei nafuu kulinganisha na umeme unaotokana na vyanzo vingine kama vile mafuta, gesi, nuclear, n.k , lakini je,si kweli kuwa mkataba wa ujenzi wa chanzo husika cha umeme unaweza kufanya bei ya umeme kuwa kubwa kuliko inavyotarajiwa?
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.