ujenzi

  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA miradi ya ujenzi mnayoiponda ni wananchi wa maeneo husika ndio waliiomba, kuiponda ni kuwatukana

    CHADEMA imekuwa ikiponda ujenzi wa Miradi mbalimbali kuanzia reli, zahanati, mashule, mabarabara nk Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hio miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko bungeni. Kuiponda ni kuwaponda wananchi wapiga kura ambao ndio waliohitaji hiyo miradi. Hiyo...
  2. Mwamba1961

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya civil technician

    Position: CIVIL TECHNICIAN (INTERN) Location: Mwanza, Tanzania Duties and Responsibilities To assist in the preparation of contract drawings; To assist in field surveys and data collection; To assist in caring out the printing of drawings and documents; To do clerk works for construction...
  3. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania DRC Congo waanza ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme kuliko yote duniani, ‘The Inga Dam Project’, bwawa la RUFIJI linasubiri

    Sikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini. Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa...
  4. 911sep11

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wameachana na aina hii ya ujenzi inayovutia?

    Ukitizama aina ya nyumna zinazojengwa miaka hii ni tofaiti kabisa na hizo zinazo onekana hapa chini kwenye picha. Kwa maoni yangu naona ujenzi wa hizi nyumba unavutia na nyumba zinadumu tu sana na zinaleta mandhaari fulani hivi vutivu. Ila kwa miaka ya karibuni mambo yamekuwa tofauti. Ni...
  5. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Kampeni Mwanza uambatane na Ahadi za ujenzi wa Barabara njia nne zinazoingia jijini na ukamilishaji wa jengo la abiria uwanja wa ndege

    Kimsingi jiji la Mwanza linapanuka kila siku na ni kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati na hususani kusini ya Jangwa la Sahara. Jiji hili ni la pili kwa Dar na pia linachangia asilimia kubwa kwenye Pato la Taifa ikiwemo kilimo, viwanda, uvuvi, madini, mifugo nk. Hivo uwepo wa miundo...
  6. mgt software

    JamiiForums Tanzania Mwenge pawekwe mzunguko, ulipowekwa Ubungo foleni ilikwisha

    Habari WanaJF Ujenzi unaokaribia kukamilika mwakani wa barabara Mwenge to Morocco itakuwa vyema wakiweka round about badala ya taa. Hii itapunguza foleni na itaweka nakshi ya mji. Itaondoa na rushwa ndogo ndogo za matrafiki kuvizia wanaowahi taa. Itaongeza umakini na kupunguza ajali.
  7. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Je, unakosa muda wa kusimamia ujenzi wa nyumba yako? Huu ni ufumbuzi kwako

    Pwani Real Estate tumekuwa kwa muda wa miaka 4 mfululizo tunazalisha tofali na kuuza material ya ujenzi kwa cash na malipo ya awamu awamu. Lakini kutokana na wateja wetu baadhi kulipia materials kwa muda sasa bila kuyapeleka site, yamefanya tufanye tafiti na kujua chanzo. Sababu kubwa...
  8. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kujenga? Kwa ushauri na huduma ya ufundi kutana na fundi mahiri wa ujenzi

    Kwa wote wanaohitaji ushauri juu ya ujenzi wa nyumba za: Makazi Biashara Sherehe na Ibada karibuni sana. Najenga kwa Bei rafiki kulingana na mazingira ya mtanzania. Pia natengeneza mfumo mpya wa majitaka ambapo mashimo hayajai milele. Bei ya chini Ni TSH 2.5m. Bei inaongezeka kutokana na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awakabidhi waislamu mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti, Shekhe wa Wilaya amshukuru

    Rais Magufuli leo amekabidhi mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti zilizochangishwa jana katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Immakulata. Fedha hizo zimekabidhiwa kwa Shekhe wa Wilaya Suleiman Matitu na Katibu wa Rais ndugu Ngusa. Chanzo: East Africa Radio
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mamlaka nchini Malawi zinachunguza gharama za Ujenzi wa daraja la kiwango cha kawaida kugharimu USD 600,000

    Kitengo cha Kuzuia Rushwa nchini Malawi kinafanya Uchunguzi kubaini imekuwaje ujenzj wa daraja uliofanyika wakati wa Rais Peter Muthalika katika Mji wa Blantyre mnamo Aprili 2020 kugharimu USD 600,000 The Malawi Anti-Corruption Bureau (ACB) is investigating how a substandard bridge...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Deni la ujenzi wa reli ya SGR ni kitanzi kitakachotunyonga tusipokuwa makini

    Mwaka 2017, nchi yetu ilipata mkopo wa dola za kimarekani kutoka benki ya Exim ya Uturuki ya dola za kimarekani bilion 1.2 ambazo ni sawa na takriban shilingi Trillion 2.76 za kitanzania kwa ajili ya Ujenzi wa kipande cha Dar es salaam mpaka Morogoro tu. Kwa mujibu wa tweet ya mheshimiwa Zitto...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji atoroka katika kituo cha kazi baada ya kutuhumiwa kuiba Sh milioni 25 za ujenzi

    MGANGA Mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji cha Kibena wilayani Iringa, Hope Mwale ametoroka katika kituo chake cha kazi baada ya kutuhumiwa kuiba Sh milioni 25 za ujenzi wa choo cha jengo la wagonjwa wa nje la Kituo cha Afya cha Kibena unaoendelea kijijini hapo. Taarifa ya kuibwa kwa fedha hizo na...
  13. 1academ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujenzi wa mabwawa Mto Mara, Serengeti kugeuzwa jangwa

    Sources pale Wizarani zinasema mabwawa kwenye mto mara ambao ni lifeline kwenye Serengeti ecostsytem ziko kwenye finalisation, na ndani ya the coming weeks mzee wa Kenyatta atazindua kazi rasmi. Tumpe hongera kwa kusimama kidete kwa hili swalaa, maana kelele zipo nyingii ila nyingi ni toka...
  14. babalao 2

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
  15. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awachana Kilwa kwa kumchagua mpinzani Bwege. Awataka kutofanya makosa tena uchaguzi ujao

    Wakuu, MAENDELEO HAYANA CHAMA Rais Magufuli akiwa safarini kutoka Mtwara, ameombwa na mwanakijiji Jimbo la Kilwa kwamba hawana Stendi ya Magari hivyo anaomba wajengewe. Rais Magufuli amejibu kwamba siku nyingine waangalie wawakilishi wanaowachagua ili waweze kufanya vile yeye anavyowaagiza...
  16. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania AIIB: Jukwaa jipya la ujenzi wa binadamu wenye hatma ya pamoja

    Mwaka 2013 akiwa nchini Indonesia, rais Xi Jinping wa China alipendekeza rasmi kuanzishwa kwa Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) kwa lengo la kuboresha mazingira ya kijamii na kiuchumi katika bara la Asia. Pendekezo hilo lilipokelewa vizuri na jamii ya kimataifa, na mwaka 2016...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Benjamin William Mkapa Rais aliyeamini katika Ujenzi wa mifumo

    Ndugu Watanzania wenzangu Kwa hakika Taifa letu limepoteza kichwa, kichwa makini sana kilichoacha alama katika nyumba hii ya maendeleo tunayoendelea kuijenga. Rais Benjamin William Mkapa amefanya mambo mazito sana kwa nchi hii. Kwa kweli nchi hii ina afadhali leo hii kwa sababu alikuwepo mtu...
  18. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais kung'aka, Mkurugenzi TAKUKURU awang'ata watumishi 9 waliohusika ujenzi/usimamizi wa majengo 7 ya TAKUKURU

    TAKUKURU NG'ATA... Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbung'o, amewasimamisha kazi watumishi 9, ambao walihusika katika ujenzi na usimamizi wa majengo Saba ya Taasisi hiyo yaliyojengwa Chamwino, Mpwapwa, Ngorongoro, Manyoni, Masasi, Namtumbo na Ruangwa. ===== Hapo jana...
  19. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge jimbo la Korogwe Mjini kupitia CUF chama cha wananchi Mhe. Amina Magogo afanya ziara ya ujenzi wa chama Korogwe Mjini

    MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KOROGWE MJINI KUPITIA CUF CHAMA CHA WANANCHI MHE. AMINA MAGOGO AFANYA ZIARA YA UJENZI WA CHAMA KOROGWE MJINI
  20. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Sonia Magogo aendeleza ziara yake mkoani Tanga, kata kwa kata, jimbo kwa jimbo katika ujenzi wa chama mkoani Tanga

    HABARI MBUNGE VITI MAALUM CUF PIA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA HANDENI MJINI MHE. SONIA MAGOGO AIVURUGA HANDENI MJINI, AZUNGUKA KILA KATA KUIMARISHA CHAMA. Pichani ni kata ya kidereko ambapo alifanya mkutano wa ndani na Viongozi wa kata hiyo na kukutana na Baadhi ya Wanachama katika Kata hiyo Pia...
Back
Top Bottom