Mombasa panazidi kunoga, mkataba wa ujenzi wa daraja la Makupa watiwa saini

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,407
Mombasa inaendelea kuchukua nafasi yake kama mji wa pili kwa ubora mashariki mwa Afrika.

=========

President Uhuru Kenyatta on Thursday commissioned the construction of the Sh4.5 billion Makupa bridge that will offer a seamless flow of traffic in and out of Mombasa Island.

The historic Makupa Causeway will be replaced by a 450-metre long Makupa bridge whose construction begins any time after a contract was signed between China Communications Construction Company Limited and the Kenya National Highways Authority (KeNHA).

KeNHA director-general Peter Mundinia awarded China Communications Construction Company the contract last month.

The British colonial government built Makupa Causeway in 1929. It is one of the links between Mombasa and the mainland, serving as the main road link between the island and the hinterland.

President Kenyatta said on Thursday while commissioning the bridge the government would continue to roll out transformative development projects across the country.

When complete in January 2022, the four-lane bridge would pave the way for the demolition of Makupa Causeway and restoration of the ecosystem in the area including the free flow of water and marine life, according to a State House tweet.

Makupa Causeway is one of the three road links between the island and mainland, the others being Nyali bridge and Kipevu Causeway.

Source: Business Daily
 
Unajua nini maana ya "four lanes"..... bwana inshomire wa Kihaya...
1607824681615.png
 
Kongole Mombasa. Kenya tu ndio nchi East Africa ambayo mji wake wa pili unaweza bishana na miji ya kwanza kwa nchi zote za East Africa. Natumai miji kama Kisumu, Nakuru, Eldoret pia itafika hadhi hii alafu akina Thika, Kisii, Kakamega, Naivasha, Kitale, Machakos, Meru n.k yachukue nafasi za akina Kisumu na Nakuru.
 
KENHA-TO-CONSTRUCT-A-BRIDGE-ACROSS-MAKUPA-CAUSEWAY-IN-MOMBASA-800x500.jpg

Panazidi kunoga kweli. Nimeishi hapo Makupa na Tudor pia kwa muda na hizi kwa kweli ni habari njema sana kwa wakazi wa gatuzi 001. Inapendeza kwamba watabomoa hiyo causeway hapo Makupa na kurejesha mazingira na mandhari ya bahari kama yalivyokuwa hapo awali.

Hata kama causeway yenyewe imekuwa link kati ya kisiwa cha Mombasa na mainland kwa muda mrefu. Uharibifu wake kwa bahari na 'habitat' ya samaki na viumbe vingine kwasababu ya kudhibiti movement ya bahari sio jambo la kupuuzwa. Ningeshauri wakimaliza wajenge daraja lingine kwenye causeway ya Kipevu.
 
Back
Top Bottom