Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma (Dodoma Mjini kabisa).
Jioni moja nikachanganya makongoro kwenda kumsabahi rafiki wa muda mrefu mitaa fulani anayoishi, panafahamika kama Iringa Road.
Muda wa kutoka, tutoke na jamaa, shemeji akamkumbusha kuhusu tangazo lililotolewa la uwepo wa mkutano wa mtaa...