Heri ya mwezi mpya,
Sisi ni wataalamu wa mbao za aina mbalimbali zinazozalishwa nchini Tanzania. Tupo Dar es Salaam. Tunao ujuzi na uzoefu wa miaka mingi.
Kama inavyofahamika, shughuli za ujenzi wa majengo na baadhi ya miundombinu hapa kwetu kwa kiasi kikubwa bado hutegemea mbao kama mojawapo...