ujenzi

  1. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya ujenzi wa stesheni za reli ya kisasa - SGR

    MAENDELEO YA UJENZI WA STESHENI ZA RELI YA KISASA - SGR Ujenzi wa Stesheni ya Dar es Salaam wafika 65% Ujenzi wa Stesheni ya Pugu wafika 80% Ujenzi wa Stesheni ya Soga wafika 90% Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  2. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Ujenzi Holela Hifadhini

    Ulishawahi kusikia ujenzi holela? Basi tazama hiyo picha hapo utajifunza kitu. Huwezi amini kuwa hayo ni majengo ya mojawapo ya hoteli za kitalii zinazoendelea kuibuka kama uyoga ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti! (Ninazo picha nyingi sana, nitaambatanisha nyingine very soon!). Hivi NEMC...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Zote ni ghorofa tofauti yake ni vifaa vya ujenzi

  4. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Dkt Bashiru akagua na kuridhishwa na ujenzi wa soko la kisasa Morogoro

    Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru Ali Kakurwa leo Jumamosi Februari 15, 2020 ametembelea na kukagua hatua za mwisho ujenzi wa Soko kuu la kisasa katika Manispaa ya Morogoro. Soko hilo la kisasa linatarajiwa kukamilika Machi 30, 2020 limegharimu kiasi cha *T. Shs Billioni 11,267,070,127.77...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe vs Prof. Kitila Mkumbo juu ya ujenzi wa SGR

    Zitto Kabwe: Uharibifu wa Uchumi unaofanywa na Serikali yaMagufuli ni mkubwa sana. Itachukua miaka 10 kurudi Hali ya mwaka 2015 ( ambayo nayo haikuwa nzuri) iwapo ataondolewa madarakani mwaka huu. Akipata miaka 5 mingine itachukua miongo 2 ( miaka 20, two decades) na Marais 2 kurudi 2015 Zitto...
  6. Ole

    JamiiForums Tanzania Msalato International Airport

    Africa's ambitious infrastructure: Tanzania secures $272m for new airport ''Several African countries, and the African Union itself have prioritised infrastructure development as a means of integrating the continent and connecting people to markets, with an objective of lifting millions out of...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa kokoto za ujenzi

    Wanajamvi, Kampuni yetu ya SASIL LTD inatafuta wateja wa kokoto bora kabisa za kujengea barabara, madaraja,majumba nk. Bei ni maelewano na ni nafuu sana. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwenye simu namba 0782094435. Ofisi yetu ipo Dar es Salaam lakini tunaweza kupeleka mkoa wowote kwa...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na miradi mingi ya ujenzi na yenye thamani kubwa sana. Kenya yafuata

    Wakati serikali ikiendelea kuwekeza katika miradi mikubwa ya maendeleo hasa katika sekta ya miundombinu, ripoti ya ujenzi ya The Africa Construction Trends Report (2019) iliyoandaliwa na Kampuni ya Deloitte kutoka nchini Uingereza inaonesha kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na...
  9. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Ujenzi na Mawasiliano katika kipindi cha miaka 10 iliyopita wawajibike: Barabara na madaraja mengi yalijengwa chini ya kiwango

    Tumejionea katika mvua hizi namna madaraja yanavyokatika kama chapati au keki. Ni aibu, mengine yana vinondo vya kama lenta za vibanda vya sokoni. Hili halisemwi, ni kwanini? Nini kinafichwa. Ukiangalia barabara nazo zinazolewa na mvua za wastani tu. Mifano ipo ya kutosha kuanzia Katavi...
  10. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Israel: Ujenzi wa mfumo mpya wa ulinzi wa chini ya ardhi

    Israel imeanza hii leo kuchimba eneo la mpaka wake na Lebanon kwa ajili ya kufunga mfumo wa kujilinda utakaopita chini ya ardhi hii ikiwa ni mujibu wa jeshi la nchi hiyo. Luteni kanali Jonathan Conrius amesema kwenye mfumo huo kutafungwa vifaa vya kutambua shughuli zozote za uchokozi. Amesema...
  11. Ryzen

    JamiiForums Tanzania Karibu uanze mwaka 2020 kwa kujipatia ramani na michoro bora kabisa ya Ujenzi wako

    Habari za Muda huu wadau, Poleni na majukumu ya kila siku, Ni tumaini langu mko vema kama ilivyo ada. Natumai kuna watu wanajenga msimu huu kuuanza mwaka 2020 kwa mafanikio ya aina yake, sasa iko hivi nipo hapa kuwarahishia majukumu yetu kwa namna hii, na design ramani za Nyumba (Architectural...
  12. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Bil 3/- zatua Mwanza kulipa fidia ujenzi daraja Kigongo - Busisi

    JUMLA ya Sh bilioni 3.145 zimepokelewa mkoani Mwanza na Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kwa ajili ya kuwalipa fi dia wananchi. Watu hao ni watakaopisha ujenzi wa Daraja la Kisasa la Kigongo- Busisi lililopo Wilaya za Misungwi na Sengerema mkoani Mwanza. Hilo ndilo daraja...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako aagiza mhandisi, mshauri elekezi ujenzi wa VETA kukamatwa

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako ameagiza kukamatwa mhandisi wa mradi wa ujenzi wa chuo cha Veta mjini Sumbawanga mkoani Rukwa, Dingi Fubing na mshauri elekezi, Swalehe Kyabega kwa kutosimamia kikamilifu ujenzi huo. Sumbawanga. Waziri wa Elimu...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza ujenzi wa flyover juu ya Tazara flyover ili iwe interchange kama Ubungo

    Kwa wale wanaotoka mjini kuelekea Airport and vice versa mambo ni murua, lakini wanaotoka Buguruni kuelekea bandarini na vice versa ni kiama kama awali if not worse. Solution ni rahisi, wajenge flyover nyingine juu ya Tazara flyover ili kuokoa matrillioni ya pesa yanayopotea kutokana na malori...
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka sasa tangu ujenzi uanze, sijaona kilichofanyika Bwawa la Rufiji

    Nasikia kuna trilioni kadhaa zimeshatumbukizwa huko, nilitegemea by now kuona walau bwawa limeinuka angalau hata sentimita 50, lakini wapi! Kuna anayefahamu kinachokwamisha?
  16. JOH CARLOS

    JamiiForums Tanzania Nakodisha mashine ya ujenzi (pedestrian roller, plate compactor, mixer, jumping hummer)

    Mashine nzuri za ujenzi ,za compaction ,za kuvunja etc Jumping hummer (mguu wa jini) Hand roller Plate compactor Jerk hummer Air compressor Call. 0768048752
  17. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kigoma na ujenzi wa masoko kudhibiti umasikini

    MKOA wa Kigoma unatekeleza miradi miwili ya ujenzi wa masoko katika maeneo ya mpakani mwa Tanzania na Burundi ili kutatua changamoto ya mazao ya kilimo kukosa soko. Masoko hayo ni yale yanayojengwa katika Kijiji cha Muhange, wilayani Kakonko na lile la Kijiji cha Mkarazi Wilaya ya Kibondo...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Benki ya Maendeleo Afrika yatoa mabilioni ya pesa kwa ajili ya ujenzi wa barabara Kenya na Tanzania

    Watu zaidi ya milioni tatu katika nchi za Tanzania na Kenya, watanufaika na Euro milioni 345 kutoka Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kusaidia ujenzi wa barabara. Barabara zitakazohusika ni za Mombasa-Lunga Lunga/Horohoro na Tanga-Pangani-Bagamoyo katika awamu ya kwanza, ikiwa ni asilimia 78.5...
  19. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania How do you say it in English "Wako katika ujenzi wa taifa"?

    Msaada tafadhali wanabodi kama mjuavyo hiki kizungu kilikuja na meli, sie zetu mashua.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya ujenzi wa soko la Tarime mjini

    Wafanyabiashara walipewa notisi na Halmashauri ya Mji wa Tarime juu ya kuvunjwa vibanda vyao ili kupisha ujenzi wa soko la kisasa. Pamoja na hayo walitakiwa kulipwa fidia ya vibanda vyao kitu ambacho Halmashauri ya mji wa Tarime hakikufanya. Wenzao wa Geita walipovunja mabanda katika mji wa...
Back
Top Bottom