Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,036
- 20,337
Licha ya Chato kuwa Mkoa ni nafasi ya upendeleo ebu tuangalie faida tutakazo zipata sisi wana Geita.
1: Tunahitaji kiwanja kipya cha Ndege kujengwa mkoani Geita kwa kuwa Geita tutakuwa hatuna kiwanja cha Ndege.
2: Kama tunavyojua Timu yetu ya Geita Gold FC rasmi imeingia ligi kuu. Hivyo tutakua na nafasi ya kujenga kiwanja chetu ndani ya mkoa wetu, kuliko kuiacha chato kua ndani ya mkoa wa geita ambayo tayari imebeba uwanja wa mpira wa mkoa.
3: Tutahitaji chuo kipya cha ufundi VETA kijengwe ndani ya Mkoa wa Geita tofauti na ilivyo Sasa vijana watatakiwa kwenda kujifunza Chato.
4: Tutahitaji Geita kujengwe bohari mpya ya madawa, ni tofauti na ilivyo Sasa Bohari ya mkoa ipo Chato.
5: Itakuwa ni rahisi Mkoa wa Geita kuwa na maendeleo kwakua itakua ni miongoni mwa Mikoa midogo hivyo kwa mapatao yatakayo patikana. Ni rahis kuratibu maendeleo na kucover karibu kila eneo la mkoa wa Geita, tofauti na geita kuachiwa eneo kubwa kipato kisingejitoshereza kwa kiwango kikubwa kufikisha maendeleo kila eneo Kama Chato itaachwa mkoa wa Geita.
Ushauri wangu:
Wakazi wa Mkoa wa Geita tusione kama tutapoteza chochote, tukiwa na viongozi wenye maono na Geita kwanza wao itawapunguzia ugumu wa kufikisha maendeleo kila sehem Mkoa na itakua rahisi kufanya yale mambo muhimu ambayo yalifanywa wilayani Chato.