Waziri Ujenzi tazama kasi ya ujenzi wa barabara ya bandari Dar, ikiwezekana wajenge usiku na mchana

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
8,400
2,000
Barabara inayopitia bandarini dar iko katika ujenzi!

Lakini kasi ya ujenzi iko taratibu sana!

Hili linawagusa pia mamlaka za usimamizi kwa kushindwa kumuelekeza mkandarasi umhimu na uharaka wa barabara hiyo kiuchumi!

Haiwezekani barabara kama ile ambayo ni lango la kuu la mizigo kimataifa ikajengwa kwa speed ya kawaida kama vile barabara ya Mwanarumango au buza kwa mparange!

Haiwezekani kabisa barabara kama hiyo mkandarasi akafanya kazi SAA 8 tu kwa siku yenye 24hrs!

Viongozi wenye dhamana na ujenzi huo, Mkandarasi anapataje mda wa kulala usiku na kufanya kazi mchana?

Kipande cha 2km kinachoweza kujengwa miezi miwili nyie mnataka mjenge miaka miwili kweli?

Haya bhana shauri yenu!!!
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
63,945

...Haya bhana shauri yenu!!!
Hawa jamaa wanajenga barabara nyeti utadhani wako kwenye majaribio. Wako slow sana wallah
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
63,945
2,000
Tuliwaonya kuwa wanaoshangilia kifo cha Magufuli wana jambo lao wewe ukapuuza vipi leo na wewe umegawiwa hizo hela za funga mwaka wa bajeti?

Au wewe ni kushangilia tu
We kweli hamnazo. Hii barabara imeanza kujengwa kabla ziraili hajafanya mambo yake.... na speed ilikuwa hii hii... kama wangekuwa makini mwendazake angeizindua hii barabara...
 
nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,499
2,000
Tuliwaonya kuwa wanaoshangilia kifo cha Magufuli wana jambo lao wewe ukapuuza vipi leo na wewe umegawiwa hizo hela za funga mwaka wa bajeti?

Au wewe ni kushangilia tu
Barabara ya Mwenge - Morocco ilijengwa kwa kasi sana. Matokeo yake haikuchukua muda mrefu ikaharibika kwa kasi pia.

Tuache kuingilia mambo ya kitaalamu. Tatizo letu wabongo tunajua kila kitu
 
dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
8,400
2,000
Tuliwaonya kuwa wanaoshangilia kifo cha Magufuli wana jambo lao wewe ukapuuza vipi leo na wewe umegawiwa hizo hela za funga mwaka wa bajeti?

Au wewe ni kushangilia tu
Wee nae !sijui unaongea nini, kwahiyo unamaanisha kauwawa kwa nderemo na vifijo? Au watu wasingeshangilia ndiyo angefufuka?
 
reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,813
2,000
Unazungumzia hili daraja hapa selander bridge?

Hivi lina kazi gani ya ZIADA sijawahi uliza.

Destination yake ni wapi?
 
dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
8,400
2,000
Hawa jamaa wanajenga barabara nyeti utadhani wako kwenye majaribio. Wako slow sana wallah
Na waziri yupo? Mkurugenzi yupo, RC yupo, DC yupo, Tanroad wapo, consultant yupo, na wote hao wanalipwa mishahara na posho na magari ya shangingi lakini HAWAONI
 
NewGapi

Senior Member
May 28, 2020
156
500
Wenye vitambulisho ya TPA sasahivi tunajiona tumepatia maisha.

Unaingia 7/8 unatokea no 2, Maisha yanaenda.

Kabla niwe na ID nilikuwa nawatamani sana watu wanavokunja pale sisi tunapambana na foleni ya round about ya bandari na Puma.

Sasa hivi mterezo, dk 5 nipo nyuma ya central.
 
dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
8,400
2,000
Wenye vitambulisho ya TPA sasahivi tunajiona tumepatia maisha.

Unaingia 7/8 unatokea no 2, Maisha yanaenda.

Kabla niwe na ID nilikuwa nawatamani sana watu wanavokunja pale sisi tunapambana na foleni ya round about ya bandari na Puma.

Sasa hivi mterezo, dk 5 nipo nyuma ya central.
Hahah
 
chibuga mugeta

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
1,097
2,000
Barabara ya Mwenge - Morocco ilijengwa kwa kasi sana. Matokeo yake haikuchukua muda mrefu ikaharibika kwa kasi pia.

Tuache kuingilia mambo ya kitaalamu. Tatizo letu wabongo tunajua kila kitu
Sio kweli kila kitu kina end date yake na comissioning date yake ndio maana Magu akipokuwa akiingia ubia na kandaras muda ukipita anakuzingua,contractors smtyms wanachukua hela wanaigawanya ktk miradi mingine,kazi inasimama,tujiulize contract imekaaje mwisho ni lini then kuanzia hapo tutajua,sio kuteteana au kusimangana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom