Masikio Masikio
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,840
- 3,376
Tarura wanatangaza tender location ni kupanua barabara ya changarawe kuanzia saweni juu mpaka gavao
Kabla ya kuomba kazi kampuni ya ujenzi inataenda kutembelea eneo husika ili kujirithisha sababu kuna habari za chini chini walizipata kwamba gavao hapafikiki kirahis
Safari inaanza wanaenda wanafika saweni chini kufika tu pale wenyeji wakawaambia gari mlilokuja nalo hamuwezi fika nalo gavao sababu barabara ni finyu sana na mbovu kupita maelezo magari yanayoweza kufika ni mfano wa zile stout za kizamani au boda boda ambayo ni elfu 20 kwa sehemu ya umbali wa kilomita 9
Katika maeneo yote ya upareni kutoka saweni chini mpaka saweni inaweza ikawa ndo sehemu ngumu kuliko hata chome au mbaga manka ule mlima umesimama na barabara imeenda sawa sawa na mlima ulivyosimama haijaenda kwa muundo wa s
Wakapanda gari ambalo linarakiwa kwenda gavao wakaenda wakafika gavao
Maisha ya gavao kuna watu wachache sana nyumba ziko mbalimbali sana ila ni wakarimu walifirahi sana kwamba barabara yao iko kwenye mpango wa kuongezwa wakiamini watu watakua tayari kwenda kuishi gavao ambako wengi wao wakiondoka hawarudi
Ile kazi makampuni mengi waliikataa kwa sababu utapandishaje vifaa gavao sababu hakuna barabara nzuri kuanzia saweni chini mapaka saweni juu laba barabara ya vunta inayoanzia headaru na inaenda mpaka mamba myamba ikikamilika inaweza chepushwa ikifika kirangare na kupelekwa gavao