ujanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Sio Wakenya tu wanaotuzidi Ujanja, hata Warundi, Waganda na Wanywaranda pia

    Kuna Mjadala sana siku kadhaa kuhusu Wakenya na ishunzima ya wakenya kuwa wengi sana Tanzania kwa uwekezaji ilihali sisi tukiwa na kampuni kama 30. Niliwahi enda Kigoma na nilikaa kaa sana kule na katika kakaa yangu nilikutana na Waganda, Warundi, Wanywarwanda yaani wale wana faidi sana Kigoma...
  2. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nisaidieni ujanja ili nitambue dhahabu halisi na feki

    Morning Fam, Kimsingi licha ya exposure katika mambo mengi tu yakiwamo mahusiano, magari, fashions na teknolojia nikiri tu kuna maswala mengine niko katika ujima. Hivi karibuni nimekumbwa na kipengele, nataka nikanunue Gold jewelleries zikiwemo hereni, chain na pete ila sasa kimsingi sijui...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kuna Mbunge ana vyeti vya "Ujanja ujanja" lakini kwa kuwa sifa ya Mbunge ni kujua KK basi watamalizana wenyewe!

    Rais Magufuli amesema kuna Mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja. Rais Magufuli amesema huyo Mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa Bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika. Bado najiuliza ni nani huyo? Au...
  4. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Hakuna ujanja kama kutembea na Muhudum wa kaunta

    Hata kama baa inakesha...sibanduki kaunta ni mwendo wa kata chupa leta chupa...wanakuwa na keep change nyingi sana wale.... Sio unasubiria mhudum wa kawaida kazi kukupiga mizinga tu Uzi tayari
  5. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji toa billion 20 ambazo zipo kimkataba, acha kutengeneza mazingira ya kuonewa huruma na ujanja ujanja

    Ni Tanzanian pekee mwekezaj anaanza kunufaika matunda ya kampuni bila hata ya kutoa ela ya umiliki (hisa) haya ndo maajabu ya afrika Na mwekezaj anapoambiwa ela ya umiliki wa hisa anakua mbogo, swali la kujiuiza mo dewji ameachwaje miaka mitatu bila hata ya kuchukuliwa hatua na mamlaka husika...
  6. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyans tupunguze Ujanja jameni, yaani hata FBI walishtuka

    When in November last year, the National Police Service said it had received information from Interpol that some Kenyans were wanted in the US for alleged fraud offences, one of the names released was that of Edwin Sila Nyumu, a man who had been on the run. Nyumu and his family were behind a...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wabunge waliotoroka wana madeni makubwa na ya ujanja ujanja hivyo atawakabidhi Serikalini wachukuliwe hatua

    Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni. Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kayumba, Mshindi wa BSS 2015 aeleza ujanjaujanja wa zawadi yake. Mh. Mwakyembe msikalie kimya haya

    Niliwawahi andika miaka hii haya mashindano ni ya kitapeli Wapo waliodhihaki Nenda mtandao wa salehe jembe usikie mwenyewe mshindi wa enzi hizo Kayumba na zawadi alizopata. 1) Anasema wazazi walipewa mil 2 tu 2) Aliletewa gari ambalo alikuwa jipya nakuwambiwa utakuwa ukitumia 3) Alipelekwa...
  9. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa na wapenzi wengi, ni ujanja ama ushamba?

    Kuwa na wapenzi wengi,ni ujanja ama ushamba? Unakuta binti ana wanaume lukuki, kila mmoja anapangiwa muda wake na mbaya zaidi unakuta hawafahamiani. Hivyo hivyo kwa wanaume pia, wanakuwa na mabinti (wanawake) wengi leo Ashura, kesho Mwanaidi, kesho kutwa Merry n.k Je huu ni ujanja ama ni ushamba tu?
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Barrick vs Tanzania: Tukubali tu kwamba tumezidiwa ujanja na Wazungu

    1. Hakuna kubadili sheria ya madini mpaka Barrick waondoke nchini. 2. Hakuna kuishtaki Barrick mahakama za ndani. 3. Barrick haitajisajili ndani ya DSE. 4. Hakuna Mtanzania atakayeweza kununua hisa kwenye kampuni. 5. Serikali itapata share ya net profit na net loss kwa 50%. Kwa mkataba huu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Watawala wa CCM wawe wazi kubadili mfumo wa kuendesha nchi, ujanja ujanja hautaisaidia Tanzania

    Kwa miaka hii minne Utawala wa CCM unashindwa kujipambanuwa. Kuna msigano wa wazi wa itikadi ipi hasa inafaa kufuatwa na mfumo upi hasa unapaswa uwe ndio mfumo wetu wa Utawala. Watu wengi wanaamini ni mfumo mpya " ulibatizwa jina na kuitwa " MAGUFULIZATION" Sijui mfumo huu unalenga nini...
Back
Top Bottom