Mo Dewji toa billion 20 ambazo zipo kimkataba, acha kutengeneza mazingira ya kuonewa huruma na ujanja ujanja

Science Priest

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
1,747
2,000
Ni Tanzanian pekee mwekezaj anaanza kunufaika matunda ya kampuni bila hata ya kutoa ela ya umiliki (hisa) haya ndo maajabu ya afrika

Na mwekezaj anapoambiwa ela ya umiliki wa hisa anakua mbogo, swali la kujiuiza mo dewji ameachwaje miaka mitatu bila hata ya kuchukuliwa hatua na mamlaka husika.

Mfano timu za ulaya huwezi enda miliki timu kienyeji enyeji na kijanja Kama anavyofanya Mo dewji, na lazima kuwe na uwazi juu ya mikataba inayoingia, mfano jezi ya Simba imejaa matangazo ya dewji je ni shilingi ngapi timu inapata.

Kwa nchi nyingine dewji angetakiwa apigwe penalty, na billion 20 sio kuja kusema Mara timu inapata hasara hizo ni janja janja.

Simba na Yanga ziko Kama zilivyo na zitabaki Kama zilivyo Kama zikiendelea na wawekezaj Kama dewji au Manji, na hata gsm anachofanya Yanga ni njia zile zile za kienyeji enyeji
 
Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
985
1,000
IMG_7610.JPG
 
king joniva

JF-Expert Member
May 14, 2018
252
500

UTOPOLO BHANA!! sasa atatoaje wakati mchakato haujakamilika, na una dosari na upande wapili wataweka lini maana MO anatoa b 20 kwa hisa 49% so upande wa simba nao inatakiwa waweke pesa zao. Propaganda za kiutopolo huwa hazi zai matunda Katu!!.
UTOPOLO MTAJIJU!!😁😁
 
Science Priest

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
1,747
2,000
UTOPOLO BHANA!! sasa atatoaje wakati mchakato haujakamilika, na una dosari na upande wapili wataweka lini maana MO anatoa b 20 kwa hisa 49% so upande wa simba nao inatakiwa waweke pesa zao. Propaganda za kiutopolo huwa hazi zai matunda Katu!!.
UTOPOLO MTAJIJU!!😁😁
Basi asifanye maamuzi kwenye timu sababu Hana authority anunue hisa asilimia 49 alafu ndo mambo mengine yaendelee
 
Nov 16, 2020
8
45
UTOPOLO BHANA!! sasa atatoaje wakati mchakato haujakamilika, na una dosari na upande wapili wataweka lini maana MO anatoa b 20 kwa hisa 49% so upande wa simba nao inatakiwa waweke pesa zao. Propaganda za kiutopolo huwa hazi zai matunda Katu!!.
UTOPOLO MTAJIJU!!😁😁
Sasa hapo miaka mitatu anafanya nini wakati mkataba bado?? Elewa kwanza😁😁
 
Chrisvern

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
2,440
2,000
Hatari sana, Khamis alisema ikaonekana ana kinyongo na kukosa mkopo wa pikipiki.
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
22,147
2,000
UTOPOLO BHANA!! sasa atatoaje wakati mchakato haujakamilika, na una dosari na upande wapili wataweka lini maana MO anatoa b 20 kwa hisa 49% so upande wa simba nao inatakiwa waweke pesa zao. Propaganda za kiutopolo huwa hazi zai matunda Katu!!.
UTOPOLO MTAJIJU!!😁😁
Pesa gani sasa wakati wao tayari wana klabu yenye thamani, hivyo wanatoa sehemu ya klabu kwenda kwa Mo kwa 20 billion, sasa waweke pesa gan tena
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,316
2,000
Ni Tanzanian pekee mwekezaj anaanza kunufaika matunda ya kampuni bila hata ya kutoa ela ya umiliki (hisa) haya ndo maajabu ya afrika

Na mwekezaj anapoambiwa ela ya umiliki wa hisa anakua mbogo, swali la kujiuiza mo dewji ameachwaje miaka mitatu bila hata ya kuchukuliwa hatua na mamlaka husika.

Mfano timu za ulaya huwezi enda miliki timu kienyeji enyeji na kijanja Kama anavyofanya Mo dewji, na lazima kuwe na uwazi juu ya mikataba inayoingia, mfano jezi ya Simba imejaa matangazo ya dewji je ni shilingi ngapi timu inapata.

Kwa nchi nyingine dewji angetakiwa apigwe penalty, na billion 20 sio kuja kusema Mara timu inapata hasara hizo ni janja janja.

Simba na Yanga ziko Kama zilivyo na zitabaki Kama zilivyo Kama zikiendelea na wawekezaj Kama dewji au Manji, na hata gsm anachofanya Yanga ni njia zile zile za kienyeji enyeji
Kijana unatafuta kulogwa ?
 
dejust

Senior Member
Mar 26, 2014
135
250
Kwa sasa tumempa uhuru jezi ajaze MO, kama unataka kamyanganye timu na kufanya anacho fanya hatuhitaji 20B bali timu inayoshinda na kuwa bora na afrika mashariki na kati huku kuwa Bora Afrika mipango ikiwa mezani kwahilo mo Ameweza
 
Science Priest

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
1,747
2,000
Kwa sasa tumempa uhuru jezi ajaze MO, kama unataka kamyanganye timu na kufanya anacho fanya hatuhitaji 20B bali timu inayoshinda na kuwa bora na afrika mashariki na kati huku kuwa Bora Afrika mipango ikiwa mezani kwahilo mo Ameweza
Kabla ya Mo kuja Simba ilikuwa na mafanikio ya makombe tayari, yeye sio chanzo Cha kuifanya Simba ishinde makombe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom